Monday 30 March 2015

Re: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA ASKARI 2

Wananchi nao wakizingira msitu, risasi zikiwaishia, watakamatwa, nao wanyongwe. Na hizo hela watalewea tu wala hawatofanya cha maana hata. Walaaniwe. Wachukue helikopta ya police ipite juu kuchunguza huku police, JWTZ na wananchi wakizagaa chini msituni. Lakini huko kuna Simba mla watu na wanyama wengine waliohama kutoka Selous na kuweka makazi huko. watakuta mengi na majambazi waliohamia kuweka makazi ya kudumu. Mungu awasaidie.


--------------------------------------------
On Mon, 30/3/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI KONGOWE NA KUUA ASKARI 2
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 30 March, 2015, 22:40

Majambazi
usiku huu yamevamia kizuizi cha Polisi cha Kongowe na kuua
askari wawili na kupora bunduki mbili za SMG kisha wakapora
Shell iliyoko pembeni ya Lake Oil na kutokomea katika msitu
wa Vikindu Mkuranga.Taarifa
zinasema mapambano ya Polisi na majambazi hayo yanaendelea
ndani ya msitu huo.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment