Tuesday, 31 March 2015

Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

Mnamuonaje waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba?Miaka 5 inatosha kuweka mwelekeo kama alivyofanya Mandela

From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, March 31, 2015 2:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

Comrades;
Binafsi naona hawa madaktari Magufuli & Mwakyembe seriousness yao katika utendaji inaweza kulisogeza Taifa hili hatua kadhaa mbele japo chama chetu CCM kuwapitisha inaweza kuwa mbinde,mana wanaweza kuwawajibisha waheshimiwa waliolipola Taifa.
Hawa ni watu ambao binafsi naona hata kama kuna wananchi watawashawishi kuingia katika kinyang'anyilo inaleta logic.
 
Reuben

On Tuesday, March 31, 2015 12:18 AM, 'Hezron Kaaya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kuna watu waliopigania uhuru wa nchi hii,Kuna watu baada ya nchi kupata uhuru walipigana kukataa ukoloni mamboleo na kuanza kujenga taifa  hili katika mazingira magumu ,wakajaribu kujenga taifa lenye usawa,wakaweka misingi ya amani ya nchi, Wakawa mstari wa mbele kwenye vita vya ukombozi wanchi za kusini mwa Afrika na Arika kwa ujumla.WAKAJITOA KUPIGANIA NA KUIMARISHA DEMOKRASIA Haya yote hayakuja kirahisi bali kwa mapambano dhidi ya maadui wa nje na ndani .HAWA NDIO AMBAO KWA MTIZAMO WANGU TUWAPE KIPAU MBELE KWENYE UONGOZI WA NCHI,tusmpe mtu uongozi wa nchi ambaye hana historia ya kulifanyia taifa hili jambo la kukumbukwa lenye manufaa kwa taifa.Na mambo ya kulifanyia taifa hili bado yapo .Haiwezekani mtu ametoka chuokikuu miaka miwili,minne iliyopita au kawa naibu waziri juzi tu hapa na hajafanya lolote la maana kwa taifa halafu anakazana kwa nguvu zote kutaka tumpe awe Rais wetu,tutafanya makosa makubwa kama yaliyotokea kwa ndege ya  kijerumani iliyoangushwa hivi karibuni na kijana ambaye kwa udogo wake hawakumjua kwamba kichwa yake mbovu.vijana wafanye kazi kwanza ya   kujenga taifa tupate muda wa kutosha kuwajua wana haraka gani hili taifa siyo jipya lina waanzilishi na waliofundwa na waanzilishi wapo hawa ndio tuchague miongoni mwao anayetufaa Anayeijua nchi,mwenye uzalendo asiye na tamaa ya mali bali ya maaendeleo ya watanznia wote, mwenye uwezo wa kuirejesha nchi kwenye maadili kupiga vita udini ,ukabila ambavyo vimeachwa na kuibuka upya.

Hezron Kaaya

On Tuesday, March 31, 2015 5:52 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Last time I looked Bilal was Kikwete's Vice President. Endelea.
em

Sent from my iPhone

On Mar 30, 2015, at 7:19 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Bilal amebeba kiasi gani mbona humzungumizii na mnaendelea kuenjoy us, hizo fedha zetu

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 30, 2015 3:52 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

How can a thief rescue a nation he has stolen from? Rescue it from what?
em

Sent from my iPhone

On Mar 30, 2015, at 6:16 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kiwasila
Hata umchukie aje atapita tu, utamfanishaje tembo na swala bana, Mwigulu is too theoritical while the guy is too practical and mathematical and thats why people are walking towards him crying for him to rescue the nation.....Wewe chuki zako baki nazo....nenda mondule fanya study tour na nenda kwa mwigulu then njoo tuletee ulicholearn madam not kushinda humu with few data kutuaminisha unachoelewa
Pole hilder weeeeeee....Mtachonga sana sisi tunasonga mbelee maandamano tu kila rika, kila kabisa kila kundi ni lowasa lowasa hadi kielewekeeeeee

From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 29, 2015 2:30 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

Nimemfahamu Mwiguli kupitia TV akitoa speech zake. Kijana ni Kichwa hapana mchezo, anaongea cha maana chenye logic na unaona kati ya vijana ambao wanaweza kupita ni mmojawapo. Mwingine ambaye ni kichwa hawezi kugombea ni kati ya waliosimamishwa. Lakini mbona Lowassa ana kashwa ya Richard wa Monduli (Richmond)? CCM ina wakati mgumu na waliolamba pesa za Lowassa. Bado tunahitaji akina Mugabe wa kusinzia vikaoni na kuharakishwa hospitali? Hii Bendera yafuatia Upepo itatuponza. NEC wanakazi kubwa na CCM itafikia wakati wabunge na mawaziri kutiana makonde ktk kupitisha majinaya watu wao. Tunaanza kunusa panya aliyekufa!!

--------------------------------------------
On Sun, 29/3/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 29 March, 2015, 23:00

NgupulaFor sure
utafit unambeba bure Mwigulu, nothing mwigulu anawez a
kuambulia bana, hes not known at all kwa watanzania na
hajafanya kitu jamani simple calculation, simkatai ila mimi
kungula jana nilikua mtwara na lindi nimejaribu kuhoji tu
mwigulu kama anakubalika nakuambia hata ubunge hawampi
akienda......kiukweli ccm ikmitaka wampitishe tu mwigulu
wako kama hawajapigisha pua chini..... Mwigulu nashaur
aendelee kujijenga atapata baadae kwa sasa ni uncle EDO kwa
kwenda mbele hata ccm wagome kumpitisha  watu wanasema
hawataenda kupiga kura sasa hao great thinkers wako nadhani
ni hawa wanapanda magar daily kutoka masaki kuingia ofsn and
back bu the situation on the ground is different....Lowasa
Lowasa kona zoteeeee

        From: 'ngupula'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  To:
wanabidii@googlegroups.com
  Sent: Sunday, March 29,
2015 10:06 AM
  Subject: [wanabidii]
Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers
Tanzania.
   
Kwa kadri ya tafiti nyingi zinazofuatilia hali
ya kisiasa nchini zinaonyesha kama CCM ikitoa rais mwaka huu
basi itakuwa ni Lowassa au Mwigulu Nchemba. Hata hivyo,
maoni ya wengi yanaonyesha uwezo wa Mwigulu na kasi yake ya
kuaminika katika jamii mpk kufikia May 2015 huenda ndiye
ataibuka kidedea na kuipeperusha bendera ya chama chake.
Kutokuwa na makundi katika chama, kutonunuliwa na matajiri,
utendaji wake kazi wa wazi, uadilifu na uzalendo vinampa
credit za kutosha Mwigulu Nchemba. Kila heri Mwigulu
Nchemba...nikutakie kazi njema endapo utafanikiwa kushika
madaraka hayo makubwa nchini. Nikuombe tu....kamwe usikubali
kurubuniwa na yeyote linapokuja suala la bandari zetu kwani
ni muhimu sana ziboreshwe na zitende kazi kwa ufanisi
mkubwa. Suala la gesi ni tumaini kuu kwa tanzania
yetu...kamwe usiangalie dini wala kabila la mtu katika
mustakhabali mzima wa gesi. Madini yote tunayogundua
yachimbwe na wachimbaji wadogowadogo ili kuleta tija kwa
watu wetu...vijana wengi hawana ajira. Utalii ni nguzo ya
uchumi wa Tanzania.Katika hilo usiweke siasa. Kwa bandari,
madini, gesi na utalii azma yako.ya Tanzania kujitegemea
inawezekana. Afya na elimu vishike kwa makini
sana...Ngupula.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment