Ngupula
For sure utafit unambeba bure Mwigulu, nothing mwigulu anawez a kuambulia bana, hes not known at all kwa watanzania na hajafanya kitu jamani simple calculation, simkatai ila mimi kungula jana nilikua mtwara na lindi nimejaribu kuhoji tu mwigulu kama anakubalika nakuambia hata ubunge hawampi akienda......kiukweli ccm ikmitaka wampitishe tu mwigulu wako kama hawajapigisha pua chini..... Mwigulu nashaur aendelee kujijenga atapata baadae kwa sasa ni uncle EDO kwa kwenda mbele hata ccm wagome kumpitisha watu wanasema hawataenda kupiga kura sasa hao great thinkers wako nadhani ni hawa wanapanda magar daily kutoka masaki kuingia ofsn and back bu the situation on the ground is different....Lowasa Lowasa kona zoteeeee
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 29, 2015 10:06 AM
Subject: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.
Kwa kadri ya tafiti nyingi zinazofuatilia hali ya kisiasa nchini zinaonyesha kama CCM ikitoa rais mwaka huu basi itakuwa ni Lowassa au Mwigulu Nchemba. Hata hivyo, maoni ya wengi yanaonyesha uwezo wa Mwigulu na kasi yake ya kuaminika katika jamii mpk kufikia May 2015 huenda ndiye ataibuka kidedea na kuipeperusha bendera ya chama chake. Kutokuwa na makundi katika chama, kutonunuliwa na matajiri, utendaji wake kazi wa wazi, uadilifu na uzalendo vinampa credit za kutosha Mwigulu Nchemba. Kila heri Mwigulu Nchemba...nikutakie kazi njema endapo utafanikiwa kushika madaraka hayo makubwa nchini. Nikuombe tu....kamwe usikubali kurubuniwa na yeyote linapokuja suala la bandari zetu kwani ni muhimu sana ziboreshwe na zitende kazi kwa ufanisi mkubwa. Suala la gesi ni tumaini kuu kwa tanzania yetu...kamwe usiangalie dini wala kabila la mtu katika mustakhabali mzima wa gesi. Madini yote tunayogundua yachimbwe na wachimbaji wadogowadogo ili kuleta tija kwa watu wetu...vijana wengi hawana ajira. Utalii ni nguzo ya uchumi wa Tanzania.Katika hilo usiweke siasa. Kwa bandari, madini, gesi na utalii azma yako.ya Tanzania kujitegemea inawezekana. Afya na elimu vishike kwa makini sana...Ngupula.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment