Monday, 30 March 2015

Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.

Mollel-Huko Monduli nimechakaza vijiji vyote mpaka Loliondo, Simanjiro, Babati. Nimekaa Mara miaka daily vijijini. Kaangalie degradation ilivyo huko mnazurura dunia nzima kutesa watu.Nimesimamial miradi 2010-2012 katika jimbo lake ninakufahamu vizuri. Tatizo la watanzania ni kukataa ukweli kwa matatizo yanayoonekana. Simchukii ila ninahoji yanayoonekana. Mchagueni si wafugaji mnamchangia mihela ya kuhonga daily misikitini, makanisani etc. Tatizo letu ni njaa za kujitakia na akili za kuazima, bendera yafuatia upepo. Nani anayemlilia wakati ukitoa 500/= za ujimbi unachaguliwa hata kama hufai. Chagueni hiyo mifugo itazagaa hadi ndani ya CRDB na NMB barazani kwenye mjengo, vita sio vya kidini ni wakulima na wafugaji na wachimbaji madini ambako mifugo inakausha mito.

Suala si mtu bali ubongo wetu. Usitegemee kuletewa bali kutenda. sasa kama kutenda-mbona jimbo lake si la mfano kimkoa, kitaifa, Africa tukaenda study tour kujifunza. uhodari kwa mitandao na maandamano ya pikipiki. Eti huwezi kulipia kadi ya afya O&M ya bomba la maji Naitolia or Erkusumet wanawake na watoto wanatembea km kadhaa kufuata maji bali unaandamana kilometa 1000 uende Lindi useme unamtaka fulani-kuna akili hapo kichwani. Gharama ya kula kulala, matengenezo ya piki2; mafuta etc yote si kitu. Aje tutampokea lakini wimbo utakuwa ule ule-serikali ituletee; msibughudhi wapika kura wangu au wa chama changu, foleni ya kwenda kumuona kuomba hela; Kama si ukanjanja hivi mzaramo utatawadhwa katika kilinge cha Mmasai uvae joho la kimasai wala mila na desturi zao hujapitia? Njaa kali, debe tupu haliishi kutika, unahaha kila kona upo Mollel, unataka kuficha nini? Vibabu madarakani tumechoka vikalee wajukuu na kushauri vijana wenye uwezo. Kuna nini huko
juu???? Hata wabunge wengine unawaona wapo hoi kiafya-bado wanautaka ubunge. Hao wa Urais hata majimboni kwao wengine hawafiki na hawajafanya kitu- lakini anaamini kuwa anapendwa!! Wapambe wanamla, wanamla hela na kumdanganya, anapokewa kwa mapikipiki aliyowagharimia mafuta! Daima tupo pale pale kimaendeleo kwa kutumia jazba, udugu, kukataa ukweli wa kuainisha vitu bali kujidanganya kwa kutumia misingi ya kijinga kama-kupendwa na wengi. Si hoja-umefanya nini-kijimbo, kitaifa na una uwezekano upi kubadili tusonge mbele? Tusimuweke mtu kwa popularity kuogopa upinzani kuchukua uongozi tukajikuta tunavaa chupi inayopwaya mapajani dudu kukaa nje!!

Tumkubali hata kama ni mpinzani mwenye uwezo tusonge mbele TZ. Tusiegemee ukale tu kama vile watanzania wengine hakuna. Kwa nini msimpe basi Kinana ambae hajastaafishwa na hana kashfa? Kama si rushwa ni nini? Unataka kwenda party ya mualiko kwa jirani unamfuata mtalaka sio mke ulionaye ndani wa ndoa mpya anayefahamika?

Tunachekwa na vinchi vidogo vinavyotupita. Tuache usiasa tuangalie maslahi ya umma na Taifa kwa ujumla. Ubarikiwe Mollel. Waliokaa kimya wengi, utafiti uliopita kiini macho kama vile sio wote waendao ngomani kuangalia mwali anatoka. Waliobaki home ni wengi hawana kimbelembele. Anza kutengeneza jeneza uingie ukishindwa. Lady JD anajua yanakopatikana mazuri ya kubadili kila baada ya kushindwa uchaguzi pressure ya kushindwa inapopanda kukumaliza!!

SIMCHUKII-NINAHOJI NA NI HAKI YANGU YA KIKATIBA.

--------------------------------------------
On Mon, 30/3/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 30 March, 2015, 13:16

KiwasilaHata umchukie aje atapita tu, utamfanishaje tembo
na swala bana, Mwigulu is too theoritical while the guy is
too practical and mathematical and thats why people are
walking towards him crying for him to rescue the
nation.....Wewe chuki zako baki nazo....nenda mondule fanya
study tour na nenda kwa mwigulu then njoo tuletee
ulicholearn madam not kushinda humu with few data
kutuaminisha unachoelewaPole hilder
weeeeeee....Mtachonga sana sisi tunasonga mbelee maandamano
tu kila rika, kila kabisa kila kundi ni lowasa lowasa hadi
kielewekeeeeee


From:
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 29,
2015 2:30 PM
Subject: Re:
[wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers Tanzania.


Nimemfahamu Mwiguli kupitia TV
akitoa speech zake. Kijana ni Kichwa hapana mchezo, anaongea
cha maana chenye logic na unaona kati ya vijana ambao
wanaweza kupita ni mmojawapo. Mwingine ambaye ni kichwa
hawezi kugombea ni kati ya waliosimamishwa. Lakini mbona
Lowassa ana kashwa ya Richard wa Monduli (Richmond)? CCM ina
wakati mgumu na waliolamba pesa za Lowassa. Bado tunahitaji
akina Mugabe wa kusinzia vikaoni na kuharakishwa hospitali?
Hii Bendera yafuatia Upepo itatuponza. NEC wanakazi kubwa na
CCM itafikia wakati wabunge na mawaziri kutiana makonde ktk
kupitisha majinaya watu wao. Tunaanza kunusa panya
aliyekufa!!

--------------------------------------------
On Sun, 29/3/15, 'lesian mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers Tanzania.
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 29 March, 2015, 23:00

NgupulaFor sure
utafit unambeba bure Mwigulu, nothing mwigulu
anawez a
kuambulia bana, hes not known at
all kwa watanzania na
hajafanya kitu jamani
simple calculation, simkatai ila mimi

kungula jana nilikua mtwara na lindi nimejaribu kuhoji tu
mwigulu kama anakubalika nakuambia hata ubunge
hawampi
akienda......kiukweli ccm ikmitaka
wampitishe tu mwigulu
wako kama
hawajapigisha pua chini..... Mwigulu nashaur
aendelee kujijenga atapata baadae kwa sasa ni
uncle EDO kwa
kwenda mbele hata ccm wagome
kumpitisha  watu wanasema
hawataenda
kupiga kura sasa hao great thinkers wako nadhani
ni hawa wanapanda magar daily kutoka masaki
kuingia ofsn and
back bu the situation on
the ground is different....Lowasa
Lowasa
kona zoteeeee

       
From: 'ngupula'
via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
  To:
wanabidii@googlegroups.com

  Sent: Sunday, March 29,

2015 10:06 AM
  Subject: [wanabidii]
Re:Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive
Thinkers
Tanzania.
   

Kwa kadri ya tafiti nyingi zinazofuatilia
hali
ya kisiasa nchini zinaonyesha kama CCM
ikitoa rais mwaka huu
basi itakuwa ni
Lowassa au Mwigulu Nchemba. Hata hivyo,

maoni ya wengi yanaonyesha uwezo wa Mwigulu na kasi yake
ya
kuaminika katika jamii mpk kufikia May
2015 huenda ndiye
ataibuka kidedea na
kuipeperusha bendera ya chama chake.

Kutokuwa na makundi katika chama, kutonunuliwa na
matajiri,
utendaji wake kazi wa wazi,
uadilifu na uzalendo vinampa
credit za
kutosha Mwigulu Nchemba. Kila heri Mwigulu

Nchemba...nikutakie kazi njema endapo utafanikiwa kushika
madaraka hayo makubwa nchini. Nikuombe
tu....kamwe usikubali
kurubuniwa na yeyote
linapokuja suala la bandari zetu kwani
ni
muhimu sana ziboreshwe na zitende kazi kwa ufanisi
mkubwa. Suala la gesi ni tumaini kuu kwa
tanzania
yetu...kamwe usiangalie dini wala
kabila la mtu katika
mustakhabali mzima wa
gesi. Madini yote tunayogundua
yachimbwe na
wachimbaji wadogowadogo ili kuleta tija kwa

watu wetu...vijana wengi hawana ajira. Utalii ni nguzo ya
uchumi wa Tanzania.Katika hilo usiweke siasa.
Kwa bandari,
madini, gesi na utalii azma
yako.ya Tanzania kujitegemea
inawezekana.
Afya na elimu vishike kwa makini

sana...Ngupula.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment