sasa mzee elisa propose Rais wa taste yako baba
But kiukweli Rais pekee wa taste wa watanzania ni EDO penda usipende, wewe chama chako cha CDM kimejaaa mafisadi huwasemi huyu ufisadi wako uko wapiiiiiii, acha hizo acheni kumshutum mtu hafu nyie mlioko humu opposant hakuna hata mmmoja anaejua taste ya watanzania shida yenu mnashinda kwenye computer u dont walk around
Jamani mwenzenu nimezunguka nchi nzima iam comfident with what i stand for people need hime regardless of the plotted richmond scandal sasa labda niweke sawa hapo.....sawa ana skendo huyo alokamatishwa lakini watanzania wanamtaka kwakua ana maamuzi ana vision na mbeba maono sasa nani tenaaaa....nitajie mr Elisa, au unamtaka mbowe na jazba zake za kuziara vikaoa, au mzee padri slaaa na mkono wakeeeee, nani elso mzeeee
Nakuomba kama kweli unaipenda tanzania na unataka Tanzania ibadilikesupport him i call upon u guys to make a u turn na support the guy, hujachelewa muda ndio huuuuuuuu
Elisa badilika hata kifikra sion sababu za kumkataa Lowasa wewe na mwenzako Reuben.....na kama mmmemkataa mleteni wenu sasa
Zitto mmemkataaa pia duuuuh
e
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 25, 2015 11:17 AM
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
Molel sina ujirani na EDO. hatupakanishi shamba. hatukuwahi kwenda shule moja wala hatukuwahi kugombea cheo. Ninaongozwa na mwelekeo wa taifa hili. Basi. Nasema ninachokiwaz. Sina interest na mtu kuwa rais bali interest yangu ni nchi kuwa na rais bora.
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 25, 2015, 5:44 PM
elisa ana chuki binafsi tu
na EDOTuleteee wa kwako elisa humu
unaandika point za kudandia tu na zisizo na punde ya
ukweli kulazimisha watu wamchukie EDO sasa kwa taarifa yako
watu wameng"amua janja zenu za kumpaka tope mpiganaji
na mkomozi wetu aliesalia...richmond richmond wewe un ajua
abc za richmond....ukiambia usimame mahali useme utadhubutu,
acha zako mzeeee? Lowasa hashawishi watu bali watu
wanmshawishi kwakua wamemkumbuka na wana imani nae
fullstop
From:
'shedrack maximilian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March
25, 2015 7:03 AM
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
Kila mwenye uwezo na sifa ajitokeze au
ashawishiwe .Hata wewe Elisa tumia nafasi hiyo kumshawishi
unayefikiri anafaa!!!
--------------------------------------------
On Wed, 25/3/15, 'eid omari' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 25 March, 2015, 9:12
Safi Elisa kwa mtazamo
wako, i like that........................
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA
FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX
1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276
3249MOBILE:+255 713
728 672FAX:+255 28 276
2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'Reuben
Mwandumbya'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 25, 2015, 7:49 AM
Elisa
&
Chamani;You have
said it all.Thanks Reuben
On Tuesday, March
24, 2015 6:38 PM, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote:
Unapata tabu ya
bure.
Bagamoyo iwe na Mashehe 80 bado tu
hujaelewa?
Walewale.
On Mar 24, 2015 11:35 PM,
"'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
TUSIPOANGALIA
RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS
Ambaye hakijui kisa cha
mtoto mdogo kumuumbua
mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu
wazima waliokuwa wanaogopa
kumsema
'vibaya' mfalme anisamehe maana
sitakieleza.
Lakini ningependa kusema
mimi katika utoto
wangu nawaonyesha
watu wazima habari za
mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana
nilizaliwa saa
9
usiku
wa kuamkia 5 September 1952 katika
zahanati
ya
Kashasha. I am a young boy of
63 years now.
Mfalme mwenyewe ni watu hawa
wazima
walioitikia kwa
kupotosha wito wa
Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa
kumshawishi mmoja wetu
ambaye
hata kama hataki lakini kama anaweza
kunamshawishi.
Watanzania wote tunajua kuwa
wapo wanachama
wa CCM ambao
wanatumikia
adhabu ya kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea
uRais kabla ya
wakati. Waliofungiwa
kufanya hivyo ni pamoja
na waziri Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa
Mpendwa wetu Edward Lowasa, Benard
Membe,
January Makamba, Wasira na
kadhalika.
Moja kati
ya matendo waliyokuwa wanafanya ni
kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti
kujidai wanatoa
michango. Watu
wenye akili wakatafsiri
matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka
waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa
tunaweza kumshawishi mmoja
wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda
hataki kujitokeza bila shaka
yoyote kwa
mtu
mwenye akili za kawaida (kila mtu ana
akili
lakini si kila mtu
anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza na
kuonyesha nia
ya kuutaka
urais mpaka
kufikia hatua ya kufungiwa
kuutaka
urais.
Haiingii
akilini.
Kitu
cha ajabu na cha kushangaza watu wazima,
viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi
mwenzetu Edward
Lowasa,
'kumuomba' 'akubali'
kugombea
urais. Haiingii
akilini katika
maeneo mengi.
Tuanzia
hapa:
i Yapo
maazimio ya Bunge kuhusu
kashfa ya Richmond
ambayo nadhani
hayajatekelezwa na
serikali.
Kama yakitekelezwa huwezi kujua kama
hayawezi
kudhibitisha uchafu wa wahusika
akilwemo
Lowasa wetu.
ii
Kashfa
muhimu na kubwa ni kuwa
capacity
charges zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume
ya
bunge ina mgao wa wahusika na
haijulikani kama
EL hayumo
iii
Katika michango ambayo EL alikuwa
akitoa
makanisani
misikitini na kwingineko inadhaniwa kuwa
huenda sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana
dalili kuwa kuna mambo
tume ya Bunge
chini
ya Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo
fulani
ambayo ingeyatoa
kuna watu wangepata shida. Tunakumbuka
aliposema aliwahi kufuatwa na mke wa mtu
fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti.
EL
hakuacha kutajwa katika hilo.
V Na
kadhalika.
Taifa letu
lina matatizo makubwa sana. Mengine ni
nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka
1995. Sasa
zimemeguka na
kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa
imezidi na
kupata jina
advanced tunaiita
UFISADI.
Kila mwenye
akili timamu
yuko anaumiza kichwa akitaka kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na tumjueje
ambaye si
fisadi. Kila
mwenye akili
sawasawa anajua kuwa
aliyekwisha
tajwa kwa
hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake kuupata
urais.
Sasa
katika mazingira
hayo:
1. Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea michango hiyo haramu wajisafisheje
mtu akisema
walinunuliwa na kuandaliwa
kwa wakati kama
huu?
2. Viongozi
wetu
hao wana upeo kiasi
gani kukubali
kutumiwa kihuni namna hii? Kweli walilenga
kwenda kumshawishi Lowasa
agombee kwa sababu wameona
amekaa
kimya yaani hafurukuti kugombea?
Yaani viongozi wetu
walidhani
hawatajulikana kuwa lazima
wamehongwa kufanya kazi
hiyo?
3.
Wanaweza kusimama na kujitetea mbele
ya waumini wao kuwa walifikiri Lowasa
hatajitokeza
kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi
na
kumchangia fedha?
Wameona wamejitokeza
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
asijitokeze?
4.
Wanataka Lowasa aje alisaidie taifa
hili
kufanya nini? Wanaona
taifa halina nini? Wengine
tunaona taifa
ni tajiri, Lina raslimali, lina
watu
wapole
waelekevu. Shida linakosa
kiongozi wa kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali ili mali
iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu mwenye
kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti
ya Tume
ya
Bunge anaweza kupendekezwa na
viongozi wa dini? Hii balaa.
Viongozi hao
ambao ni
waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira njema?
Siwaelewi.
Viongozi hawa
wamejua jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro katika viongozi wa kimila wa
kimasai? Na
kuwa mgogoro huo ni uimla wa
kutaka
kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka
amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
rais?
Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
Lowasa
anaweza kuwa rais lakini nafikiri
viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu
ya waliomsaidia.
Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza kuwa
rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha
tunaomsema. Lakini akiwa mbaya
kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata
urais wakati watu wakitabiri nani
atakuwa
waziri Mkuu wapo waliomtaja Lowasa.
Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa.
Sababu zilikuwa kwa
sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa
kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa
walisema atajitahidi
kutomudhalilisha
rafiki
yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
viongozi wa siasa wa
chama
chake. Hayo
tumeyazoea. Mitandao
ilikotufikisha ni wao
hakuna zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
wameelekezwa
na wanamtandao
na ni haki yao.
Wanakomea hapo.
Siwashangai
vijana wa
bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta wakishajaziwa
mafuta ya pikipiki zao basi. Nini zaidi.
Lakini viongozi wa
dini????
Nitaendelea
kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for
any
legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed
to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from
it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed to the
Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment