Wednesday 11 March 2015

Re: [wanabidii] Fw: NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Majaribu kupata Picha ya Bunge LA 2016. Julius Mtatiro,James Mbatia,Tundu Lisu, Zitto Kabwe, John Mnyika,Hakuna Madee,David Kafulila, Mh Mbowe,Joshua Nasari,.......  Kwa timu hii ninaimani Serikali kuwa atakaekuwa madarakani ana wakati mgumu sana

Regards
Magora

On Mar 11, 2015 8:24 AM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Poa mollel;
Siku njema

Reuben

Sent from Huawei Mobile

'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Reuben ni kweli na samahanini sana, nilikua nakimbiza mambo flani mapambano na si unajua bro so sorry for bad spellings....hua situkanagi mtu lakini napenda amani amani na upendo

From: 'Julius Mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 9, 2015 9:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Ninaishi pia jimboni na nimekaa Segerea kwa miaka 12 na wakati nilikuwa nagombea Ubungo  nilikuwa naishi Tabata. 

On 10 Mar 2015, at 02:26, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Smtatiro
Umeifanyia ini Segerea na je physically unaish huku au unataka tu ubunge wewe uke Ilala, ona Mnyika yupo Ubungoi daily wewe ukae snza ugombee ubung segerea umeifanyia nn jimbo hili which now u need to........mpendazoe anaishi huku wewe hata maeneo yetu huyajui bro
 
From: 'Julius Mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 9, 2015 6:02 AM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Mkuu,

Hiyo ilikuwa mwaka 2010, ulizia nini kimetokea Serikali za Mitaa. CUF imeshinda vibaya sana kuliko hata CHADEMA.

Na jambo la pili, watu waliompigia kura 39,000 Mpendazoe mwaka 2010 siyo CHADEMA, wengi wao ni CCM na CUF pia. Mgombea wa Cuf alipigiwa kura 19,000 wAkati ule japo hakuwa mshindani mzuri.

Nina uhakika kuwa kama tunakwenda kama UKAWA tutashinda, lakini tukienda kwa hiyo SPIRIT unayoisrma ya nani ana wanachama wengi, tutaanguka sote. 
Segerea siyo jimbo zuri ikiwa CUF na CHADEMA havitaweka mgombea mmoja na nina uhakika kuwa atawekwa mmoja, iwe ni mimi au mwingine.

Tutamuunga mkono yeyote aliyepitishwa.

-------------------
Julius S. Mtatiro,
 
On 09 Mar 2015, at 15:52, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

mtatiro ujue pale ni jimbo la CHADEMA baba CUF si wengi nashauri nenda kigamboni baba au kisarawe

From: 'frank chalamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; WANABIDII GROUP <wanabidii@gmail.com>
Sent: Sunday, March 8, 2015 12:48 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Ni jambo jema kutangaza nia ili mradi tu kama ulivyosema hujakikuka Taratibu, na kanuni.

On Sunday, March 8, 2015 7:32 PM, 'julius mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

NITAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA – DAR ES SALAAM.

Ndugu zangu, kesho Jumatatu 09 Machi 2015 saa 4.00 asubuhi, nitachukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Segerea kama ambavyo taratibu za ndani ya chama changu zinaruhusu. Hakutakuwa na mbwembwe vifijo wala nderemo kwa sababu bado hatutajajua kwa hapa Dar Es Salaam jimbo gani litaachwa kwa chama gani au ikiwa wagombea wa vyama vyote vya UKAWA watakutanishwa na kupigiwa kura ya maoni, vyovyote vile iwavyo niko tayari kukabiliana na demokrasia ya ndani ya chama changu na hata ndani ya UKAWA.

Hivi sasa nina umri wa miaka 32 tu lakini nikiwa nimepitia kila aina ya uzoefu wa kiuongozi, kisiasa n.k. Naamini kuwa nina uzoefu wa kutosha kuwavusha wana Segerea mahali ambako nimeishi kwa takribani miaka 12 huku shughuli zangu zote za ujasiriamali zikiwa jimboni humu. Ninalifahamu jimbo hili vizuri, watu wake, matatizo yao na changamoto zinazowakabili. Zaidi ya yote nina uwezo wa kushirikiana na wananchi tukioneshana njia ya kuzitatua changamoto hizi na wakati ukifika nitazieleza huku nikiweka wazi njia za kupita.

Pamoja na kwamba nina elimu ya darasani ya kutosha, uzoefu wa uongozi usio na shaka na tabia na mienendo ya maadili huku nikiwapenda watu wa kila namna, natambua kuwa kazi ya kuwa mbunge ni zaidi ya hayo, inahitaji weledi, wepesi, staha na heshima, kujali, kuwa karibu na watu na kujitolea kwa hali na mali kuwapigania wale ambao haki zao na mahitaji yao yanacheleweshwa – kaliba ya namna hii imejengeka na sina shaka kuwa ninakidhi sifa na vigezo hivi vya nyongeza.

Mimi ni muumini wa demokrasia, nitasaidia wagombea wote waliojitokeza kunipinga na kushindana nami ikiwa kutakuwa na haja hiyo, sitamtukana wala kumsema vibaya yeyote yule, kazi yangu kuelekea Oktoba ni kujinadi na kueleza sifa zangu na uwezo wangu huku nikivihusianisha na utatuzi wa matatizo ya wananchi wa Segerea kwa kushirikiana na wananchi.

Nawaomba wanachama wengine wa vyama vya UKAWA wenye sifa, vigezo na uwezo wajitokeze kwa wingi. Sote tutapimwa kwa uwezo na vigezo vyetu na mwisho wa siku atapatikana mmoja wetu na ataungwa mkono na sisi sote. Baada ya Oktoba 2015, Segerea itakuwa na mpambanaji mpya, mbunge wa wananchi na atakayepigana hadi tone la mwisho la damu kwa ajili ya wananchi wake. Na labda mtu huyo atakuwa ni mimi.

Nawatakia kila la heri na kwa ambao wangependa kunifahamu zaidi wanaweza kusoma katika kiunganishi hiki https://www.facebook.com/JuliusSundayMtatiro/posts/578218822317742:0

Julius Mtatiro,
+255 787 536 759, 0755 855 144, Juliusmtatiro@yahoo.com

Julius Mtatiro,
Cert in Linguistics(Nairobi), B.A(Hons)- Dar, M.A(Hons)- Dar, LLB (Candidate) - Dar,
Freelance Translator and Private Consultant in
Administration, Education and Political Science.
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam,
Phone; +255717536759+255787536759,
Email; juliusmtatiro@yahoo.com.
You'll need Skype CreditFree via Skype

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment