Wednesday, 11 March 2015

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..

Marcus, usitufanye hamnazo bana. Zitto hajafukuzwa kwa sababu alipeleka shauri mahakamani. Inabidi urejee huko nyuma kuhusu sababu za yeye kwenda mahakamani. Au unataka kusema nami nilifukuzwa kwa sababu nilienda mahakamani? Ni Aibu kwa chama cha upinzani na wafuasi wake kushabikia sheria na Katiba ya vyama zinazogandamiza Demokrasia. 

Sent from my iPhone

On Mar 11, 2015, at 2:02 PM, 'marcus kabwella' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mimi nami naomba nichangie mada hii.
Jana baada ya kusikia CHADEMA Imemfuta uanachama Mh. Zitto Zuberi Kabwe kila mtu amesikitika lakini nimejiuliza wamlikuwa wapi kumshauri Mh.Zitto kupeleka shauri hilo mahakamani alitoe na kuomba ridhaa ya kulimaliza nje ya mahakama? Kama CHADEMA ingeshindwa mngesema hayo msemayo leo?
Ukweli ni kwamba Zitto hakuwa na mpango wa kuwa na CHADEMA bali alipeleka shauri lake mahakamani ili kuulinda ubunge wake na sio kuwa alikuwa na mpango na chama.
Walichokifanya CHADEMA ni kwa mujibu wa sheria na hii ilitokea baada ya yeye mwenyewe kwenda mahakamani sasa leo wanaosema CHADEMA imefikia mwisho wana mawazo mgando kwani chama sio mtu bali watu na sera. Mimi naunga mkono yaliyotokea Mh.Zitto anayo nafasi kama atajirudi na imetokea baada ya kujiona ni maarufu kuliko chama,  Kuna vijana wengi wako tayari kukitumikia chama na ndiyo maana hata vyo vya elimu ya juu Tanzania vinaongozwa wanachama wa CHADEMA.
Kitendo cha kuhujumu chama ni kosa kubwa sana ingekuwa seikalini ni kama uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa lakini CHADEMA walitoa nafasi yao wajitetee sasa naibu katibu mkuu anakuwa na mipango ya kukiuwa chama wananchi mnaopiga kele mlitaka muione CDM ikisambaratika kama NCCR enzi za Mrema? Au muheshimiwa Chenge anavyokataa asijadiliwe na kwenda mahakamani anaogopa nini? au mnataka iwe kama CCM Ambayo kuna watu wanaonyesha kiburi cha hali ya juu lakini bado wanafumbiwa macho sasa hii ni CDM Bora ikae hata karne bila kuchukua dola kuliko kuwa na watu mamluki waliopitiliza kiasi hiki. Hata TFF kuna sheria hiyo

ZITTO KUONDOKA SIO PIGO BALI FUNDISHO KWA WENGINE WASOTAKA KUFUATA SHERIA NA KATIBA ZA VYAMA WALIVYOJIUNGA KWA HIARI

Sent from Yahoo Mail on Android


From:"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Wed, Mar 11, 2015 at 11:13
Subject:Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..

Watanzania tunaitarajia UKAWA iliyo imara.
Hebu tujadili hili: Zitto akifukuzwa CHADEMA akaenda CUF. Na CUF ikaja naye kama mgombea wa jimbo fulani. Nini mwelekeo wa mjadala wa kumpitisha kwa mwelekeo huo au msimamo wa CHADEMA wakati wa kuwajadili wagombea? Nini maana yake kwa wanachadema kuendelea mgombea wa CUF ndani ya UKAWA? Mambo haya yanahitaji kuangaliwa kwani yanaweza kutumiwa na hasimu wao kuwavuruga wapiga kura.
--------------------------------------------
On Wed, 3/11/15, George Fumbuka <fumbuka1953@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..
To: "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>, wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Wednesday, March 11, 2015, 9:50 AM

           
                                                           
            Pole kwa
masikitiko. As a matter of fact Zitto anajiunga ‎na CUF.
Alitaka kwenda ACT lakini it seems wamemtibua waliposema
Hamadi Rashidi ndiyo awe Mwenyekiti.                 
                                                           
                                                     
               
                                                           
                                                           
                                                        Sent from my BlackBerry 10 smartphone.   
                                                           
                                                           
                                                                                From: Hildegarda
Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]Sent: Wednesday, 11 March 2015
07:55To:
wanabidii@googlegroups.comReply To:
Wanazuoni@yahoogroups.comCc:
Wanazuoni@yahoogroups.comSubject:
[Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema:
Nimepokea Taarifa Kwa
Masikitiko..













 

 



 


   
     
     
      Hapo sasa jimbo la Zitto Kabwe litachukuliwa na CCM
au chama kingine ili kulipiza kisasi kuikomoa Chadema. Hii
imetokea pia kwa CCM kupoteza uongozi ktk serikali ya Mtaa
katika Mitaa mbalimbali kwa kuweka viongozi au wagombea
uongozi ambao hawakutakiwa na wananchi. Hivyo wana CCM
wakaamua kumpigia kiongozi mwingine yeyote wa chama kingine
chochote kuikomoa CCM na vijambo vyake ingawaje wanakipenda
chama chao walifanya hivyo ili viongozi wake wabadilike
wazingatie wanachama wao/raia wanataka nini ktk eneo lao na
wanamtaka nani wampendae. Tukiwasikia wapiga kura wakisema
hivi wakitoka kupiga Kura-Tumewakomoa, tumempigia CUF,
Chadema eti wamemuweka fulani ambaye kura za awali
hakushinda, hatumtaki mla rushwa, hatumtaki mbona huyu si
mkazi wa mtaa huu hatumjui....Haya ya Mh Zitto-ni mazito;
chuki binafsi na umimi zitatumaliza. Hapa CCM itavuna Jembe.
Kama budi aendelee na wadhifa wake bungeni jee haitowezekana
kuwa mbunge wa kuteuliwa na JK haraka sana? Hapa

  sasa Chadema imeruka tope la kinyesi Jangwani Mtaa wa Sunna
na kuangukia katika tope la mchanganyiko kinyesi cha
nguruwe, mbuzi na ng'ombe Tandale kwa Mtogole.



--------------------------------------------

On Wed, 11/3/15, Maggid Mjengwa
<mjengwamaggid@gmail.com> wrote:



Subject: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea
Taarifa Kwa Masikitiko..

  To: "wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>,
"mabadilikotanzania"
<mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
Wanazuoni@yahoogroups.com

  Date: Wednesday, 11 March, 2015, 6:28

 

  Nimepokea

  kwa masikitiko taarifa kuwa ndugu yangu Zitto Kabwe

  amefukuzwa kwenye chama cha Chadema. Ni habari ya

  kusikitisha unapotafakari demokrasia tunayojitahidi

  kuijenga.Zitto

  amekuwa mwanachama wa Chadema tangu akiwa kijana mdogo.

  Mwenyekiti wa chama hicho , Freeman Mbowe, amenukuliwa
mara

  kadhaa akikumbushia jinsi alivyoshirikiana na Zitto

  kuhamasisha vijana wengine waliokuwa vyuoni kujiunga na

  Chadema.Kwenye

  siasa za vyama kuna kutofautiana kifikra na kimitazamo.
Na

  mara

  nyingine migongano huwa inahusu kugombania nafasi za

  uongozi. Haya ni mambo ya kawaida kwa chama cha siasa.

  Hayapaswi kuwa sababu za viongozi wa vyama kuwafukuza

  wanachama.Kwenye siasa tofauti humalizwa

  kwa hoja, kwenye vikao. Na anayekiuka taratibu za chama

  kumfukuza kwenye chama ni adhabu kubwa na kali kama ya
kifo.

  Maana, anayejiunga na chama hufanya hivyo kwa mapenzi.

  Anapokosea anaweza kuonywa au kuadhibiwa, lakini,
kufukuzwa

  kwa misingi ya kutofautiana kifikra na kimitazano si
hulka

  njema.Zitto Kabwe ni

  mwanasiasa kijana na mahiri. Chadema ilipaswa imvumilie
na

  ishindane nae kwa hoja, lakini, si kumtupa nje kwa
staili

  tuliyoishuhudia.Chadema, kama

  chama cha siasa, isijiandalie mazingira ya wanachama
wake

  kuwa na hofu ya kufukuzwa pindi wanapotofautiana na
viongozi

  wa juu. Itapoteza kisiasa.Na

  hili la Zitto Kabwe linatukumbusha kile ambacho binafsi

  nimeandika mara kadhaa, juu ya udhaifu kwenye Katiba
yetu.

  Kwamba Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi anaishi kwa hofu
ya

  rungu la chama.Kwamba leo

  Wananchi wa Kigoma Kaskazini wanampoteza Mbunge wao

  waliyemchagua kwa maamuzi ya Chama anachotoka Mbunge
wao.

  Haya ni mapungufu makubwa. Wananchi hapaswi kuadhibiwa
kwa

  maamuzi ya vyama.Nachukua

  fursa hii kumtakia kila la heri ndugu yangu Zitto Kabwe,

  nikimuasa asikate tamaa, akipata fursa nyingine, aendelee
na

  siasa na hususan uongozi wa uwakilishi wa wananchi.
Aendelee

  kuwa sauti ya wasio na sauti, popote pale.Maggid
Mjengwa,Dar Es Salaam.

 

 

 

  --

 

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

   

 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

 

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 

   

 

  Disclaimer:

 

  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
hence

  statements and facts must be presented responsibly. Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 

  ---

 

  You received this message because you are subscribed to
the

  Google Groups "Wanabidii" group.

 

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails

  from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 

  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

 



   
     

   
    __._,_.___

         
 
 

   
     

   
       
        Posted by: Hildegarda Kiwasila
<khildegarda@yahoo.co.uk>       
     
     

   
                          Reply
via web post
                      •
           
                Reply to sender           
          •
           
              Reply to group           
          •
            Start a New
Topic
          •
                            Messages in this
topic
                (2)
                     

       








 




    Visit Your Group

     
      New Members
      5
   
 



 
    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






   

 
 
 
 



     




     

  .


   


 

__,_._,___






 
#yiv2382806505 #yiv2382806505 --
  #yiv2382806505ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp #yiv2382806505hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp #yiv2382806505ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad {
padding:0 0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad p {
margin:0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ygrp-lc #yiv2382806505hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ygrp-lc .yiv2382806505ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity span {
font-weight:700;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505activity span
.yiv2382806505underline {
text-decoration:underline;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505bold a {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p
span.yiv2382806505yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv2382806505 div.yiv2382806505attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 div.yiv2382806505attach-table {
width:400px;}

#yiv2382806505 div.yiv2382806505file-title a, #yiv2382806505
div.yiv2382806505file-title a:active, #yiv2382806505
div.yiv2382806505file-title a:hover, #yiv2382806505
div.yiv2382806505file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a,
#yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:active,
#yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:hover,
#yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv2382806505 div#yiv2382806505ygrp-mlmsg
#yiv2382806505ygrp-msg p a span.yiv2382806505yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505green {
color:#628c2a;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv2382806505 o {
font-size:0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505reco-category {
font-size:77%;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv2382806505 .yiv2382806505replbq {
margin:4px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg select,
#yiv2382806505 input, #yiv2382806505 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg pre, #yiv2382806505
code {
font:115% monospace;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg #yiv2382806505logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-msg
p#yiv2382806505attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-reco
#yiv2382806505reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor #yiv2382806505ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor #yiv2382806505ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor #yiv2382806505ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv2382806505











--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment