Sunday, 2 March 2014

[wanabidii] UZINDUZI WA CHAMA KIPYA CHA ACT - TANZANIA

WITO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUDHURIA PRESS CONFERENCE

UONGOZI WA CHAMA KIPYA CHA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY
(ACT – TANZANIA)
UNAWAALIKA WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI 
KUHUDHURIA PRESS CONFERENCE 
AMBAYO IMEANDALIWA NA UONGOZI WA TAIFA WA CHAMA. 
PRESS ITAKAFANYIKA LEO JUMATATU
MACHI 03, 2014. 
CONFERENCE ITAFANYIKA HOTELI YA LAMADA, 
ILALA SAA 4:00 HADI 5:30 ASUBUHI HII. 
TAFADHALI WAANDISHI FIKENI KWA WAKATI.
LENGO LA CONFERENCE NI KUKITAMBULISHA RASMI CHAMA 
KWA UMMA WA WATANZANIA NA
KUUTAMBULISHA UONGOZI WA MUDA TAIFA NA KUELEZA
MAMBO MENGINEYO YANAYOHUSIANA NA 
CHAMA IKIWA NI PAMOJA NA KUJIBU MASWALI YANAYOULIZWA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA 
LEOPOLD MAHONA: 0787 457970 AU 0758 409670.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment