Saturday, 1 March 2014

Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Mnonge, hayo mambo ya ndiyooooh! Ni mambo ya kishamba, niwakati sasa kila mtu awajibike kwa kura yake.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, March 1, 2014 10:04:30 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na Njia Ya Panda..

Hosea tatizo litakalojitokeza ni namna ya kupiga hizo kura, kundi la kura
za wazi watakataa utaratibu unaopendekeza kutumika. Na ukisema utumike
utaratibu wa kunyoosha vidole au kutoa sauti ya ndiyoooooo au hapanaaaaa
kundi la pili litakataa. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa kumchagua
mwenyekiti wa muda kura za siri zilitumika na hazikupingwa lakini sasa hivi
imekuwa nongwa.

Mjengwa has said it all, hawa watu wameanza vibaya na mwisho tusitegemee
yenye mashiko.

2014-03-01 0:31 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:

> Mie nashauri wanaotaka kura ya siri wajiorodheshe na wanaotaka kura ya
> wazi wajiorodheshe watakaokuwa wengi basi wafuatwe.
>
> Hii rasimu ya warioba inamapungufu mengi ikiwemo kusahaulika kwa serikali
> za mitaa, mabalozi wa nyumba kumi ni watumishi wa umma wasiojulikana,
> ukitaka kumwekea mtu dhamana police utaombwa barua ya balozi, mkopo wa
> saccos utaombwa barua ya balozi lakini katika muhimili wa utawala hatajwi.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
> To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,"wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, February 28, 2014 11:53:10 PM GMT+0300
> Subject: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Afrika Safari Nyingine Huanza Na
> Njia Ya Panda..
>
> Ndugu zangu,
>
> Jioni hii kupitia runinga nilimsikia Profesa Costa Mahalu, Mwenyekiti wa
> Tume ndogo ya Bunge Maalum kwa kazi ya kuandaa rasimu ya kanuni akitamka,
> kuwa swali la ama kura ya faragha (siri) au ya dhahiri ( wazi) wataachiwa
> Wabunge wenyewe waamue.
>
> Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Mheshimiwa Kificho naye hakuficha
> kuonyesha kwa sura na hata kauli, juu ya ugumu wa jambo hilo. Akatolea
> mfano wa mpira, kwamba sasa uko kwa Wabunge.
>
> Kwa kuziangalia baadhi ya sura za Wabunge wale, hakika ni vigumu kuwaonea
> wivu kwamba wamo ndani ya jengo lile. Wana wakati mgumu, maana, umma nao
> unawaangalia.
>
> Naam, nimepata kuandika, kuwa Afrika safari zetu nyingi ni za bure tu. Na
> nyongeza hapa, ni kuwa , safari zetu nyingine Afrika huanza na njia panda.
> Kwamba unapoianza tu safari unakutana na njia panda.
>
> Na ni kwenye njia panda ndipo mwanadamu unatakiwa utumie hekima na busara.
> Njia panda inakutaka ufikiri kwa makini. Maana, ukichagua njia kwa makosa,
> basi, safari yako itakuwa ni ya mwelekeo mwingine. Si kule ulikotaka
> kwenda. Na kazi ya kuirudia njia sahihi huwa ni ngumu sana.
>
> Jioni hii pia nimesoma tena baadhi ya vifungu vya Rasimu ya Katiba ya Tume
> ya Jaji Warioba. Kwa mara ya kwanza nimeipitia rasimu hii kwa masikitiko,
> maana, mbali ya kwamba ina mambo mengi sana mazuri kwa maendeleo ya nchi
> yetu na watu wake, kwa kizazi hiki na vijavyo, nahofia, kuwa kinachoendelea
> Dodoma, ambapo, ni dhahiri, kuwa zinaonekana dalili za mijadala kutawaliwa
> na ushabiki wa vyama kuliko wa nchi na mustakabali wake. Ni dalili za kuwa
> njia panda na pengine tumeshaanza kuifuata njia isiyo sahihi. Kwamba
> tunapotea kama Taifa.
>
> Na ninaposoma rasimu ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba na kupitia vifungu
> kama kile cha Sura ya Tisa, kinachohusu Bunge la Muungano, sehemu ya
> Kwanza, Ibara ya 113 kifungu cha 3 kinachosema;
>
> " Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za Ubunge, moja
> kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili ya mwanamme."
>
> Kabla ya hapo wanawake wengi waliingia Bungeni kwa njia ya Viti Maalum. Kwa
> rasimu hii ya Katiba, wanawake watapata nafasi ya kushindana wenyewe kwenye
> majukwaa ya uchaguzi. Ni maendeleo ya kidemokrasia.
>
> Najiuliza, hivi ni kwa nini Tume ya Jaji Warioba hawakuandaa Plan B kwa
> maana ya mpango 'B' . Na plan B hapa ingelikuwa ni kuandaa mazingira, kuwa
> endapo rasimu hii ya Katiba itakwama, basi, yale yote mazuri yaliyomo
> kwenye rasimu na yanayokubaliwa na pande zote, na yenye kuweza kuhamishiwa
> kwenye Katiba ya sasa bila kusababisha matatizo, basi, yangefanyiwa
> utaratibu wa kuingizwa, kwa maana ya kuifanyia marekebisho ya ' dharura'
> Katiba iliyopo. Najaribu kufikiri tu, kwa uhuru.
>
> Maggid Mjengwa,
> Dar es Salaam.
> 0754 678 252
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment