Wednesday, 10 August 2016

RE: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonyamumewake kutoshiriki UKUTA

Bwana Kamala,,

Niilimsahau dadetu Ma Lutgard Kagaruki pia kwenye orodha ya wanaharakati wetu jukwaani. Joyce inawezekana kweli kakosea kuileta hii huku jukwaani sababu is more personal lakini pia inawezakana ni makusudi ili aweze kufikisha ujumbe ktk jamii kubwa zaidi ukizingatia kuwa hili ni tatizo la kijamii at large.
Ndio wapo wenye interest zao binafsi kisiasa zaidi na ambao wanajitoa ufahamu na kuliona hili so mambo la msingi. Dhamira zao zinawasuta kwa ndani sababu ht wao pia wanalenga kujijenga kupitia Makundi haya na siasa hizi.
Wengi wao watajifungia maofisini au majumbani kwao na simu au vilaptop kusubiri tu kuandika matukio huku jukwaani. Hawatakwenda wao huko kwenye UKUTA though ni waongeaji/waandikaji na hapa ndio tunauona unafiki ktk ushabiki wao kisiasa!

Siku ya UKUTA haiko mbali sana nitakuwa nikifuatilia hawa wakereketwa wa UKUTA watakuwa wanaandika kutoka wapi na ama kushare images za pale watapokuwa wakishiriki maandamano.

Huyu mama ana hoja ya msingi na nategemea kina mama wenzake wamtetee wamsemee hapa hapa jukwaani. Bahati mbaya sijamwona hata mmoja. Uzi huu haupaswi ukamilike bila mchango wa kinamama. Mko wapi???
Naona kina Baba tu wanadominate mjadala wenye hisia za huyu mama.

From: J L Kamala
Sent: ‎8/‎11/‎2016 6:11 AM
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonyamumewake kutoshiriki UKUTA

Mshongi umenena. ningependa kusikia maoni ya wanaharakati wetu wa maswala ya kijinsia kwa mwanamke mwenzao hapa

2016-08-09 7:24 GMT+03:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Wapinzani/chadema hawajui hiyo thamani iliyomo ndani ya utu. Anayejua kwa hakika thamani ya mme ni mke wake aliyekula kiapo cha ndoa yao. Mtoto yatima peke yake ndiye anajua uhakika na thamani ya baba au mama. Huyo mme aliapa kwa ajili ya mke wake na watoto wake. Atambue kuwa baraka zake zinatokana na familia yake. Akikaidi anaweza kupata madhara makubwa katika maisha yake. Mkewe kamuonya hadharani. Inabidi ajitafakari hana sababu zaidi za kushupaza shingo yake.
Sent from Yahoo Mail on Android

On Mon, Aug 8, 2016 at 15:08, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii

Ha ha h. kakuru. Umeikumbush kituko fulani wakati Algentia iipovami visia vya Falklad na uingereza ikalazimika kupigana vita.marekni ilikuwa na mtihani mgumu-Kuungana na OAC (Orgaization of American Countries kuipiga uingereza au kumsaidia shoga wake Uingereza kuipiga Argetina. Sasa naona dilemma waliynayo hao uliowataja-Wamteteemama mwenzao au naihii

--------------------------------------------
On Mon, 8/8/16, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki UKUTA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 8, 2016, 1:50 PM

Humu
jukwaani huwa Kuna kinamama fulani wanaharakati wazuri sana.
Mama Nkya na Anna Mgwira sijawaona kabisa kwenye Uzi huu.

Ningefurahi kuona wao
wanalionaje hili make anayeongea hapa ni mama mwanamke
mwenzao anayejaribu au anayehangaika kuipigania km si
kuitetea familia yake, ambayo tayari ilishakutwa na madhara
kwa mazingira sawa na haya.

Waasisi wa harakati za namna hii huwa
wanaziweka mbali familia zao..huwa hazishiriki maandamamo.
Sana sana ni vijana zaidi bodaboda watajaziwa mafuta kwenye
pikipiki kuwekwa front kuwa ngao za waheshimiwa. Niliona
lawama nyingi Mh Masha alivyowekwa ndani kwa kuwabwatukia
polisi lakini wale makumi ya mamia ya vijana walioathirika
ktk harakati hizi sikuwahi ht kuona press conference
inayoandaliwa na waasisi kuwasemea ht kuwatembelea huko
Mahabusu ama mahospitalini. Hapa ndipo Kiria
anapopalalamikia! Tunawashawishi watu kuandamana lakini
hatushuhuliki nao wakipata madhara. Ni familia zao tu
zinazohangaika! Hapa kuna hoja, isibezwe.

Wanaharakati kina mama humu
jukwaani Jitokezeni mkamtetee mama huyu. Mnadhani ana hoja
ya msingi?

From:
'misangocharles'
via Wanabidii
Sent:
‎8/‎8/‎2016 9:53
AM
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] Joyce Kiria
azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki
UKUTA

Ngurumo,
andiko la Joyce liko sawa kabisa. Anayo haki ya kutetea uhai
na afya ya mumewe. Ndiye mlinzi wa mume na familia. Anayo
haki ya kumpigania ktka jambo analoona ni hatari kwake.
Kumbe badala ya kumbeza, tumtie moyo na
NAMSHAURI mume wake, atumie busara kumsikiliza mkewe na
watoto

Sent from my Huawei
Mobile

'Ngurumo'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Joyce Kiria ana
matatizo makubwa. Hii ni dalili tu!

On Aug 7, 2016 3:22 PM,
'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
HAYA NDO MANENO
ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA

Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala
nikapaza
sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata
kidogo lakini
ilinibidi kujitoa fahamu kwa ajili ya kuokoa familia
yangu.

Leo napoona dalili nyingine za kuingia kwenye matatizo
makubwa zaidi ya
haya, kamwe siwezi kukaa kimya…. Yes sintakaa kimya
nimwache aende
kutumbukia shimoni nitamwambia bila aibu kama
nilivyompigania bila aibu .

.

Dear love, umenikasirikia sana kwa kitendo hiki
ninachofanya… Lakini
naomba ukumbuke wakati unapitia matatizo, ni Mimi nilikuwepo
na wewe
wakati wote mpz wanmtoto nililazimika kumwachisha ziwa akiwa
mdogo sana
akalia sana akazoea nikamwacha na Dada kila ilipokuwa tarehe
ya kesi
nikaja kukutia moyo mpz wangu Tabora mbali kote…
Nikajikaza sanaaaa,
kukuonyesha tabasamu ili kukupa Amani japo njia nzima
nililia sana kwa
uchungu ulilia kila uliponionamimi nilijikaza sikulia mbele
yako ili
nisikuache na mawazooooo….

Kila nilipokuja Gerezani kukuona uliwaulizia rafiki zako
ulokuwa
unawaamini sana, tena uliamini wangekuja kesho yake,
hukuwaona mpaka
ukatoka…ulikuwa unawaulizia kama wamenitafuta, nilikujibu
hakuna
aliyenitafuta mpz ukaumia sana mpz wangu… Kuna wengine
hukutaka hata
kuongea nao baada ya kutoka ndani na kurudi uraiani….

My love, Siko tayari kupitia mateso niliyopata love, siko
tayari kukuona
  katika mazingira magumu kama yale mbaya zaidi ni ya
KULAZIMISHA… Labda
yatokee bahati mbaya… Lakini ya kwenda kuyatafuta hapana
baba….. Najua
tena nauhakika hauko tayari kuniona tena katika mateso kama
Yale…hilo
nauhakika nalo….Nimewaambia watoto wanisamehe kama
nitakuwa nimekosea,
lakini naimani hata wao cha moto walikiona, wasingependa
baba yao aingie
  tena kwenye shida kama ile au zaidi ya ile Popote ulipo jua
nakupenda
sana ndo maana nakulinda mume wangu kwa garama yeyote
.Kwangu Mimi
Familia kwanza, Taifa kwanza, chama baadae…..

TAFADHALINI UKUTA WEKENI KANDO MFANYE MAZUNGUMZO MEZANI…
MSIFANYE UBABE TULIZENI JAZBA KWA FAIDA YA FAMILIA ZENU NA
TAIFA ZIMA….

Chanzo Jf

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

J L Kamala

0 comments:

Post a Comment