Tuesday, 23 August 2016

Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.

Naam Chamani. Nina uhakika.
Nimpita mtera mara kadhaa. Mvua zilikuwa zinanyesha sana kuliko mwaka jana. Lakini maji yalikuwa hayakai. Wote tunajua kuwa chanzo cha mikataba ya umeme wa dharura ni bwawa la mtera kukauka.
Magufuli alipoingia madarakani alisema kuna watu walikuwa wanafungulia valv za kumwaga maji mtera ili tuendelee kukosa umeme. Niepita wiki moa iliyopita. Kiangazi chote maji hayakukauka.
Nina uhakika. Kuwa serikali ilitoa fedha kukarabati meli ya Victoria. Shilingo bilioni 6. Nina uhakika kuwa kuna aliyetimuliwa kwa sababu alizitumia kulipa mishahara. Sina uhakika nani alimshauri kufanya hivyo. Nina uhakika watu wa kanda hii walisema Meli haitatengenezwa kwa sababu kuna watu wana mabasi na malori. Kutokuwepo kwa meli kutawapa kazi. Matokeo yake ni ndizi na maparachichi yameshuka bei kwa wakulima Bukoba na kupanda bei kwa walaji Mwanza na shinyanga. hayo ni matokdo ya ufisadi.

Nina uhakika kuwa wenye malori ni sababu ya reli kuhujumiwa kila inapotengenezwa. Nina uhakik kudai demokrasia ni kisingizio cha kufunika uoza wa mafisadi. waliokuwa wankwepa kodi na sasa wanaona watalipa anajitahidi kuleta sintofahamu kwa watu.

Labda nikwambie uhakika mwingine. Nina uhakika kuwa juhudi kubwa zinazofanywa kumtia doa Magufuli ni kutaka kuwaletea agenda wananchi ili kusahau machungu niliyoyataja kwa matarajio kuwa wakipata nafasi waendeleze uhalifu wao. Nina uhakika pia kuwa watanzania walio wengi hasa vijijini wanamuelewa rais wao na kuwa wanaotaka kuleta rabsha hawatafanikiwa.
Nimejibu hoja?????
--------------------------------------------
On Tue, 8/23/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 23, 2016, 1:05 PM

Kaka
Muhingo
Una hakika na unalosema?

Tunaanza kuhesabu mipango na ahadi? Mbona JK alikuwa hodari
zaidi?

Mambo mengine ni Multiplayer za kiuchumi hivyo athari yake
haipo kabisa.

Sema tu sasa kanda ya ziwa tunaongezewa Uwanja wa Ndege hapo
nitaelewa.

Hayo yakiendelea si vibaya kuangalia hali ya mtu wa kawaida
na hata mfanyakazi alieongezewa punguzo 2% ya PAYE na
tukapiga makofi.

Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa.

Walewale

On Aug 23, 2016 12:53 AM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kazi
gani? ngazi ipi? Serikli imeanza. Nilipita Mtera majuzi.
Mvua ya mwaka mmoja bwawa limejaa na nyingine ya nwaka huu
litaanza kumwaga. Jamaa walikuwa wanamwaga ili Dowans
iendelee kuzalisha wa dharura. Kazi kubwa hyo.Kodi zinakusanywa sasa na wakwepa kodi sasa haba.Reli itatengenezwa na hujuma ili malori ya mafisadi yafanye
kazi sasa historia. Meli ziwa victoria iliyohujumiwa ili
mabasi na malori yafanye kazi sasa tunaelekea kuvuka.Uwajibikaji serikalini.

Watumishi hewa wameondolewa Bado tu hazzionekani?

Mazingira rafiki kwa wengi. Subiri uone eeneo litakalolimwa
mwaka huu mazao mbalimbali kubwa zaidi

Mengi tu tunayohitaji kufanya na yanatengenezwa na
yaliyokwisha kufanywa na serikali Miaka miwili tutaona. Kama
yakishindikana basi maandamano yaje. Sio sasa

------------------------------ --------------

On Mon, 8/22/16, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.
Magufuli.

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Monday, August 22, 2016, 4:02 PM Kufanya kazi gani

 labda? Walewale On Aug 22, 2016 4:00

 PM,  <haha12@poczta.fm>

 wrote: Hebu tujaribu kutekeleza motto ya raisi Magufuli

 -"KAZI TU" angalau kwa miaka 2 na mtaona
matunda

 yake. Nchi inahitaji sauti moja na sio ulanguzi na
kelele

 tu. Upinzani unatakiwa uwepo sio kwa manufaa tu ya
viongozi

 wake bali kwa taifa zima. LAKINI, iwapo upinzani
unatakiwa

 kuwa constructive na wenye kueleweka. Kususia miswada

 Bungeni sijui kama ni jambo zuri. Maandamano ya kila
mara

 pia hayana maana wakati Tanzania inafahamika duniani kuwa
ni

 nchi stable na yenye usalama. Tunachotakiwa ni
kuendeleza

 nchi chini ya katiba yetu na kila mwananchi aelewe kuwa

 anawajibu katika kuleta maendeleo nchini kwa kadri ya
uwezo

 wake. UMASIKINI, UJINGA na MARADHI hatutaweza
kuyashinda

 iwapo saa zote tutakuwa mitaani to strike badala ya
kufanya

 kazi Mtanganyika Od: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>

 Do: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>; Wysłane: 18:15 Niedziela 2016-08-21

 Temat: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
kujengwa

 duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.

 Magufuli.Marekani ilijengwa kwa katiba

 madhubuti. Ingawa kuna wakati ilikuwa inakiukwa lakini

 katiba hiyo hiyo ilitumiwa kuirudisha nchi kwenye mstari
wa

 mwelekeo wake.Bila katiba ndugu zangu weusi

 wangeendelea kuishi maisha ya kunyanyaswa. Bila katiba

 wanawake wasingeruhusiwa kupiga

 kura.em,

 2016-08-21 12:07

 GMT-04:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>: Hakuna jipya hapa! Mbona hujasema

 mandeleo ya Zimbabwe wakati huu wa Mugabe? Mbona
hujasema

 maendeleo ya Malawi wakati wa Kamuzu Banda? Mbona
hujasema

 maendeleo ya Uganda wakati wa Idd Amin? Maendeleo ya
Kongo

 (DRC) wakati wa Mobutu? Husemi maendeleo ya Burundi sasa
?

 Maendeleo ya Marekani kabla ya Demokrasia maana yake
nini?

 Husemi yaliyotokea DDR (Ujerumani Mashariki) wakati wa

  Erich Hönecker ukilinganisha na BRD (Ujerumani
Magharibi)

 wakati wa Helmut Kohl? Husemi Jugoslavia wakati wa
Tito,

 Husemi Romania wakati wa Nikolai Ciausescu ukilinganisha
na

 sasa? Husemi Philipines wakati wa Ferdinand Marcos?  Date: Sun, 21 Aug 2016 15:22:48 +0000

 From: wanabidii@googlegroups.com

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
kujengwa

 duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.

 Magufuli.

 Fuatilia

 nchi zote zilizoendelea anzia, Marekani, China, Urusi
na

 kwinginepo

 walitanguliza maendeleo kabla ya Demokrasia. Kwan chi
nyingi

 za Afrika

 tulitanguliza Demokrasia badala ya maendeleo. Kwa sasa

 nchi yenye mafanikio makubwa katika ukanda wa Afrika

 Mashariki ni Rwanda. Ukiambiwa miaka ya

 1990 kulikuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe
hutokubali

 kwa jinsi inavyokimbia kimaendeleo. Unajua kwa nini?
Ndani

 ya Rwanda kuna baba

 mmoja tu kwa sasa akisema wakalime wanaenda kulima
kulima,

 hakuna atakaebaki

 kwa kucheza pooltable au kuandamana, akisema rushwa
stop

 watu wanafunga wallet

 zao.

 Tanzania

 tumezoea kubembelezana sana, JK alituparuhusa ya
kuzurura

 zurura usiku na

 mchana tunapiga domo. Kwa miaka yote kumi ni maandamano
tu,

 mara operation

 sangara kama si sato au M4C na kadhalika, hata
wapinzani

 wenyewe walidiliki

 kusema tunahitaji rais  mkali zaidi ya JK

 na yeye mwenyewe alituahidi  kuwa atakuja

 na leo tumempata tunaanza kutafuta kick za hovyo 

 hovyo kabisa wakati shida kubwa ya sisi

 watanzania ni maendeleo wala si UKUTA kama wanavyotaka

 kutuaminisha.

 Nani

 aliyekuwa anaifahamu Libya ya mliyekuwa mnamuita
dikteta??

 Ni Libya hipi ya

 kukumbukwa hii ya leo inayoruhusu maandamano ya vurugu
kila

 leo na kushindwa

 kuyadhibiti na kulinda usalama wa raia wake na mali zao
au

 ile Libya ya

 aliyekuwa akiitwa dikteta Gadafi?

 Nendeni

 Misri ya leo nao kuanzia January hadi decemba 

 wapo mitaani wanaandama pamoja na kutafutana kwa

 mitutu ya bunduki

 halafu linganisheni na Misri ya aliyekuwa akiitwa
dikteta

 Mubarak akiwa

 madarakani.

 Dola zote

 kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na
watawala

 kama Mhe. Magufuli.

 Tafuta dola yeyote kubwa ya zamani halafu tafuta staili
zao

 za uongozi

 iliyokuwepo na maendeleo wanayojivunia leo.

 Lakini leo

 hii wanasiasa wetu wanataka na kutamani kufanya damu za

 watoto wa masikini kuwa

 daraja la wao kupata umaarufu, Serikali imeruhusu
maandamano

 kwa sharti la

 Mbowe mna Lowassa pamoja na familia zao ikiwemo wake na

 watoto wao kuwa mstali

 wa mbele katika maandamano, natamani tulione hilo
September

 1 lakini

 hawatathubutu ni waoga, wanapenda kuonyesha ujasiri
katika

 kamera za wanahabari

 huku wakiwafanya watoto wa masikini kuwa chambo cha wao

 kupata front page za

 magazeti na umaarufu.

 Natamani

 maandamano yao ya Septemba mosi  yaanzie

 kule Hai mkoani kililimanjaro, Mbowe awaitekina Sugu,

 Msingwa, Lema, Prof

 Baregu na wengineo pale nyumbani kwake au hotelini
kwakwe

 Protea kule Machame.

 Namshangaa

 sana Mbowe, anahubirije demokrasia wakati wakati yeye
haishi

 katika yale

 anayoyazungumza? Kama Kitilya,Mwigamba na Zitto watu
watau

 hao waliandika

 waraka na kuusevu kwenye PC zao ila waliishia kufukuzwa
kama

 mbwa hiyo ndiyo

 demokrasia anayoihubiri?

 Hivi Mbowe

 anapogombeaga uenyekiti wa chama huwa anashindanisahwa
na

 nani? Lowassa

 alipopewa nafasi yay a kugombea urais Chadema mwaka
jana

 alishindanishwa na

 nani?

 Watanzania

 wenzangu kwa kweli atakayekutana na mkono wa dola
kwenye

 maandamno ya tarehe

 1/9/2016 shauri yake na msianze kutusumbua kwa
kututumia

 picha mikiwa mmelowa

 damu nahilo ndilo wanalolitaka Mbowe na

 Lowassa.

 Ndudu zangu

 Watanzania hakuna hoja yeyote ya msingi ya kutufanya

 tuandamane nchi nzima hiyo

 tarehe 1/9/2016 hili ni jaribio la UHAINI. Kama

 swala

 la Tulia walimkimbia wenyewe na kama hakufuata kanuni

 zilizotungwa na bunge,

 hicho chombo kina taratibu zake za kudili naye na si
kuja

 kutusumbua wananchi.

 "Kila mmoja

 afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa, Kingu mbunge
wa

 Ikungi Magharibi

 afanye mikutano yake ale pale kwake alipoahidi shughuli
za

 maendeleo, Mbowe

 afanye siasa pale pale Hai aliochaguliwa na kuahidi
kuwapa

 maendeleo, kila

 mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake."

 "Sitaki

 kuona mtu anatoka HAI kwenda KAHAMA kufanya mikutano
n.k

 Mbunge au diwani wa

 HAI au Mbeya  hana mamlaka ya kuingia

 ndani ya majimbo ya yao. Huwezi kuwa mbunge wa Ubungo

 ukaenda kufanya vikao vya

 maendeleo kwenye eneo ambalo si lako".

 "Wanaotaka

 kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini
wasubiri

 mwezi wa 9? Wafanye mikutano

 hata leo ili wajue mimi ni nani. Siwezi kuigeuza hii nchi
ya

 sisa, nataka nchi

 ya maendeleo tu. Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI
muda

 huu ni wa KAZI TU". Hiyo

 ndiyo kauli

 Rais Magufuli, nafikiri ndio siku Mbowe atabatizwa kwa
moto

 kama atakuwa mstari

 wa mbele, ikiwa hawezi kuwa mstari wa mbele aache
kuwafanya

 chambo watoto wa

 masikini manufaa yao ya kisiasa na kupata

 umaarufu.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment