Friday, 26 August 2016

Re: [wanabidii] TATIZO LA CHADEMA WANAPIMA HOMA KWA KIGANJA!

Kipindi hicho CDM ingeitisha maandamano yangeungwa mkono kwa wingi wa watanzania. Kukosa hoja kwa sasa wengi waliokuwa wanaunga mkono maandamano walikuwa wanaunga mkono watu au maneno CHADEMA, si sera au hitaji la kitanzania. Ndiyo maana yalikufa siku yalipotangazwa
--------------------------------------------
On Thu, 8/25/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA CHADEMA WANAPIMA HOMA KWA KIGANJA!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, August 25, 2016, 3:06 PM

Mbega;Waliokuwa/aliyekuwa
ana moyo na mpinga ufisadi wa kweli katika CDM alishafukuzwa
na mpaka sasa anaishi uhamishoni.Waliobaki
hawawezi hiyo kitu na awali walikuwa wana msapoti kwa kuwa
alikuwa Boss,hii inafanana na kipindi ya Mwl ambacho
ukiangalia kwa makini almost mjamaa alikuwa peke yake
wengine walikuwa wanafuata upepo.Maana
baada ya yeye kuondoka na hatimae kufariki tumeona wimbi la
wizi lilikuwa kubwa,hii inaonyesha walikuwa wanasubiri paka
aondoke.Wangekuwa
wote/wengi wao walikuwa na traits za Mwl hali isingekuwa
hivi kwa kipindi kifupi na kwanza wangeona aibu na kuendelea
may be kuwa waadilifu. ReubenOn Thursday, August
25, 2016 11:18 AM, Daniel Mbega
<mbega.daniel@gmail.com> wrote:


TATIZO LA CHADEMA
WANAPIMA HOMA KWA KIGANJA!Kwa miaka kadhaa sasa,
Chadema imejipambanua kwamba ni chama kinachopinga ufisadi
na kiliweza kujijengea sifa na kuaminiwa na wananchi kwa
msimamo huo, huku kikiendesha kampeni nchi nzima kupinga
ufisadi pamoja na suala la kusamehe kodi ambalo lilikuwa
linaikosesha serikali mapato makubwa. Waliahidi kwamba, mara
watakapoingia madarakani – kama wangefanikiwa –
wangeanza kusafisha mafisadi wote na kuhakikisha kodi
inakusanywa ili nchi isiwe tegemezi. Soma zaidi: http://goo.gl/bJZ4Xl
--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &
PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
              
www.brotherdanny5.blogspot.com

"Kama
hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"
~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar
es Salaam, 1995
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment