Thursday, 25 August 2016

Re: [wanabidii] Mbinu za Rais Magufuli zinawaumiza wapinzani

".....CDM walishindwa kusoma watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi.
Walishindwa pia kumsoma magufuli ambaye anajulikana toka zamani....."
teh teh teh
Na mpaka leo CDM hawajatambua vizuri IQ za watanzania, Hawajajifunza
kupitia uchaguzi, Nimeongea na wapiga kura wa hali ya chini kabisa,
wale wanaoifahamu Demokrasia kwa kuamini ni uhuru tu wa vyama n.k.
hawapo na CDM!!

Nasubiri aibu yao tarehe 1. Siku hizi hata baadhi ya mikutano yao
kwenye televisheni hawaonyeshi tena umati wa watu, wanaonyeshwa
wasemaji tu kama ilivyokuwa CCM ya -2014.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment