Tuesday 30 August 2016

Re: [wanabidii] Kampuni ya TTCL yajitosa Miss Higher Learning Institutions 2016

For Sponsership au kwa issue gani?.Kama kwa Sponsership,hela wamepata wapi wakati Msajiri wa Hadhina juzi amesema TTCL is among Govt Public Companies zilizo hoi Financial mpaka zinapanga Foleni Hadhina kuomba Mishahara ya Wafanyakazi wake?.
--------------------------------------------
On Tue, 8/30/16, Joachim Mushi <mushijoa@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Kampuni ya TTCL yajitosa Miss Higher Learning Institutions 2016
To: "avila kakingo" <avila.kakingo@gmail.com>, "WILLIAM MALECELA" <willymalec@gmail.com>, "Bukoba Wadau" <bukobawadau@gmail.com>, "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Deogratius Rweyunga" <drweyunga@gmail.com>, "Richard Mwaikenda" <rmwaikenda@yahoo.com>, "uwazi@hotmail.com" <uwazi@hotmail.com>, "Sonda Sondacom" <ssondacom@gmail.com>, "Muhidin Sufiani" <sufianimafotoblog@gmail.com>, "Sophia Mbeyu" <sophiembeyu@msn.com>, "Subi Nukta" <subi.nukta77@gmail.com>, "Francis Dande" <dande15us@gmail.com>, "Luke Joe" <djlukejoe@gmail.com>, "Daniel Mbega" <brotherdanny5@gmail.com>, "zainul mzige" <zainul.mzige21@gmail.com>, "Blog za mikoani" <blogzamikoa@live.com>, zainul@modewjiblog.com
Date: Tuesday, August 30, 2016, 4:25 PM

[caption
id="attachment_74432"
align="aligncenter" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74432" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1293.jpg"
alt="Meneja Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL), Aron Msonga akizungumza na washiriki wa
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
pamoja na wageni wengine walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi
za TTCL jijini Dar es Salaam leo. Nyuma yake ni washiriki wa
shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions
2016." width="800" height="515"
/> Meneja Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL), Aron Msonga akizungumza na washiriki wa
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
pamoja na wageni wengine walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi
za TTCL jijini Dar es Salaam leo. Nyuma yake ni washiriki wa
shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions
2016.[/caption]
 
[caption id="attachment_74431"
align="aligncenter" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74431" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1271.jpg"
alt="Meneja Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL), Aron Msonga akizungumza na washiriki wa
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
pamoja na wageni wengine walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi
za TTCL jijini Dar es Salaam leo. TTCL ndiye mdhamini mkuu
wa shindano la Miss Higher Learning Institutions kwa mwaka
2016." width="800" height="548"
/> Meneja Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL), Aron Msonga akizungumza na washiriki wa
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
pamoja na wageni wengine walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi
za TTCL jijini Dar es Salaam leo. TTCL ndiye mdhamini mkuu
wa shindano la Miss Higher Learning Institutions kwa mwaka
2016.[/caption]
 
[caption id="attachment_74430"
align="aligncenter" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74430" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1261.jpg"
alt="Mkuu wa Hitifaki Kamati ya Miss Tanzania 2016,
Albert George Makoye (wa kwanza kushoto) akizungumza kutoa
shukrani kwa kampuni ya TTCL kwa kukubali kuwa mdhamini mkuu
wa Miss Higher Learning Institutions 2016. Wengine ni
viongozi na washiriki wa TTCL Miss Higher Learning
Institutions 2016. TTCL ndiye mdhamini mkuu wa shindano la
Miss Higher Learning Institutions kwa mwaka 2016."
width="800" height="466" /> Mkuu wa
Hitifaki Kamati ya Miss Tanzania 2016, Albert George Makoye
(wa kwanza kushoto) akizungumza kutoa shukrani kwa kampuni
ya TTCL kwa kukubali kuwa mdhamini mkuu wa Miss Higher
Learning Institutions 2016. Wengine ni viongozi na washiriki
wa TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016. TTCL ndiye
mdhamini mkuu wa shindano la Miss Higher Learning
Institutions kwa mwaka 2016.[/caption]
 
[caption id="attachment_74433"
align="alignnone" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74433" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1350.jpg"
alt="Mratibu wa shindano la TTCL Miss Higher Learning
Institutions 2016, Bi. Maya Nkiru (kushoto) akizungumza
kuishukulu kampuni ya TTCL kwa kukubali kuwa mdhamini mkuu
wa shindano hilo. Kulia ni Meneja Masoko wa TTCL, Beda
Kinunda akiwa katika hafla hiyo." width="800"
height="509" /> Mratibu wa shindano la TTCL
Miss Higher Learning Institutions 2016, Bi. Maya Nkiru
(kushoto) akizungumza kuishukulu kampuni ya TTCL kwa
kukubali kuwa mdhamini mkuu wa shindano hilo. Kulia ni
Meneja Masoko wa TTCL, Beda Kinunda akiwa katika hafla
hiyo.[/caption]
 
[caption id="attachment_74434"
align="alignnone" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74434" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1354.jpg"
alt="Meneja Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini
Tanzania (TTCL), Aron Msonga (kulia) akiwagawia line za TTCL
zenye huduma za 4G LTE kwa baadhi ya washiriki wa shindano
la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi za TTCL jijini Dar es
Salaam leo. TTCL ndiye mdhamini mkuu wa shindano la Miss
Higher Learning Institutions kwa mwaka 2016."
width="800" height="575" /> Meneja
Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL),
Aron Msonga (kulia) akiwagawia line za TTCL zenye huduma za
4G LTE kwa baadhi ya washiriki wa shindano la TTCL Miss
Higher Learning Institutions 2016 walipotembelea Makao Makuu
ya Ofisi za TTCL jijini Dar es Salaam leo. TTCL ndiye
mdhamini mkuu wa shindano la Miss Higher Learning
Institutions kwa mwaka 2016.[/caption]
 
[caption id="attachment_74435"
align="alignnone" width="800"]<img
class="size-full wp-image-74435" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1359.jpg"
alt="Washiriki wa shindano la TTCL Miss Higher Learning
Institutions 2016 wakiwa katika pozi walipotembelea Makao
Makuu ya Ofisi za TTCL jijini Dar es Salaam leo."
width="800" height="473" /> Washiriki
wa shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
wakiwa katika pozi walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi za
TTCL jijini Dar es Salaam leo.[/caption]
 
[caption id="attachment_74436"
align="alignnone" width="1000"]<img
class="size-large wp-image-74436" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1394-1024x647.jpg"
alt="Mkuu wa duka la huduma za TTCL Makao Makuu ya
shirika hilo jijini Dar es Salaam, Diana Obed (kulia) akitoa
maelekezo kwa washiriki wa shindano la TTCL Miss Higher
Learning Institutions 2016 juu ya bidhaa na huduma
mbalimbali za TTCL zinazopatikana katika duka hilo. "
width="1000" height="632" /> Mkuu wa
duka la huduma za TTCL Makao Makuu ya shirika hilo jijini
Dar es Salaam, Diana Obed (kulia) akitoa maelekezo kwa
washiriki wa shindano la TTCL Miss Higher Learning
Institutions 2016 juu ya bidhaa na huduma mbalimbali za TTCL
zinazopatikana katika duka hilo.[/caption]
 
[caption id="attachment_74437"
align="alignnone" width="1000"]<img
class="size-large wp-image-74437" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2016/08/IMG_1406-1024x588.jpg"
alt="Meneja wa Biashara wa TTCL Mkoa wa Dar es Salaam,
Augustino Mwakyembe (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa washiriki
wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
walipotembelea Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Makao
Makuu ya Ofisi za TTCL jijini Dar es Salaam leo. "
width="1000" height="574" /> Meneja
wa Biashara wa TTCL Mkoa wa Dar es Salaam, Augustino
Mwakyembe (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa
Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
walipotembelea Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Makao
Makuu ya Ofisi za TTCL jijini Dar es Salaam
leo.[/caption]
 
<strong>Na Mwandishi
Wetu,</strong>
<strong>KAMPUNI</strong> ya Simu
nchini Tanzania (TTCL) wameingia kama mdhamini mkuu wa
mashindano ya urembo kutafuta mrembo toka vyuo vikuu nchini
'TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016'
atakaye shiriki katika fainali za urembo kumpata mlibwende
wa Tanzania 2016. TTCL wametangaza kuingia katika udhamini
huo leo jijini Dar es Salaam ambapo warembo wa shindano la
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 walipotembelea
Makao Makuu ya TTCL kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa
na shirika hilo la umma nchini Tanzania.
Akizungumza katika tukio hilo Meneja Huduma kwa
Wateja wa TTCL, Aron Msonga alisema shirika hilo limevutwa
kusaidia mashindano hayo ili kuweza kuwapata warembo wenye
sifa stahiki watakao shinda katika kinyang'anyiro cha
'TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016' na
baadaye kushiriki shindano la Miss Tanzania
2016.
Alisema TTCL kwa sasa inafanya mageuzi makubwa ya
kibiashara na uendeshaji ambayo yameboresha huduma za
shirika hilo na bidhaa zake kwa ujumla yanayoinufaisha
jamii, hivyo haiwezi kujitenga na shughuli za kijamii
ikiwemo mashindano ya urembo. Aidha aliwashauri waandaaji wa
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 kufuata taratibu
zote bila upendeleo ili kuweza kuwapata wawakilishi wasomi
na wenye sifa za ulimbwende ambao watashiriki vema katika
kumpata Miss Tanzania 2016.
Kwa upande wake Mratibu wa shindano la TTCL Miss
Higher Learning Institutions 2016, Bi. Maya Nkiru
aliishukuru kampuni ya TTCL kwa kuunga mkono mashindano hayo
na kuahidi kutoa ushirikiano wa hali ya juu ili kuhakikisha
yanafanyika kwa mafanikio makubwa na hatimaye kupatikana
warembo wenye vigezo na sifa kuwakilisha tawi hilo kwa
ufasaha.
Mratibu huyo alisema shindano la kumpata mrembo
atakayewakilisha 'TTCL Miss High Learning 2016' kwa
mwaka huu limeboreshwa na litakuwa na burudani za kutosha na
utofauti mkubwa hivyo kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi
siku hiyo ili kuweza kushuhudia shindano hilo. Aidha alitaja
baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika shindano hilo kuwa
ni pamoja na msanii Ney wa Mitego, MB Dog, Msaga Sumu na
kundi la QS.
TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016
itafanyika Septemba 17, 2016 katika Ukumbi wa TTC
Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
___________________________________________________________________________________Joachim
Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na
Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:-
mushi@thehabari.com/
jomushi79@yahoo.com/
info@thehabari.com
Mobile:- 0717
030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  

          http://joemushi.blogspot.com




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment