Thursday, 25 August 2016

[wanabidii] Mafunzo ya ujasiriamali na ushauri wa bishara


Bwana Charles Nazi ni mjasiriamali na Mwanzilishi wa Kampuni ya CPM Business Consultants. Lengo lake ni kutoa mafunzo ya ujsiriamali kwa wajsiriamali. Mbinu anazozifundisha ni mbinu hizo hizo ambzo amekuwa akizitumia kupata pesa. katika mafunzo hayo utakayoyapata utajifunza namna ya kuanzisha biashara , kutafuta masoko , kutangaza biashara, kutunza kumbukumbu na kujifunza aina mbali mbali za bishara ambazo unaweza kuzifanya na kufanikiwa. Kampuni ya CPM Business consultants inatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa watu wote bila malipo yoyote. Unaweza kujiunga kwa kubofya hapa; http://tinyurl.com/mshauriwabiashara

Pia Kampuni ya CPM Business Consultants ni kampuni inayojishughulisha na kutoa ushauri wa biashara kwa wajasiriamali wadogo na wa kati SMEs pamoja na NGOs, SACCOS. Huduma za ushauri tunazozitoa ni kama zifuatazo
1..Kutoa ushauri wa biashara Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa,
2.Kuandaa michanganuuo kwa ajili ya kuomba mikopo benki na misaada kutoka kwa wafadhili.
3.Kutoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wafanyabiashara.
4.Kulea nakusimamia biashara hadi ikue (Mentorship)
5.Kuandaa katiba za vyama na nyaraka za uandikishaji wa makampuni na usajili wa majina ya biashara
6.Kufanya uchunguzi wa tuhuma za rushwa,ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka.
7.Usajili wa NGOs na SACCOS.
8.Kutangaza biashara yako.
9.Kuuza vitabu vya ujasiriamali, Mbinu za biashara1 na 2
10.Ushauri wa namna ya kutunga vitabu na kuviuza.
11. Ushauri wa namnaya kuendesha biashara ya mtandao (Network marketing)
12.Ushauri wa namna ya kuendesha biashara kwenye mtandao wa internet.
13. Kusimamia biashara yako kwenye mitandao yakijamii ( Social Media management)
Kwa maelezo zaidi na ukihitaji huduma zetu piga simu namba 0784394701

Kampuni ya CPM Business consultants inatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa watu wote bila malipo yoyote. Unaweza kujiunga kwa kubofya hapa; http://tinyurl.com/mshauriwabiashara

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment