Tuesday, 23 August 2016

Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.

Kaka Muhingo

Nafurahishwa na mahaba yako.
Kwa hiyo reli suala sio uzee na upana wake bali hujuma?
Uhakika mwingine unao wewe sie wengine tunaweza kuuupata wapi?
Binafsi nilikuwa na matumaini sana na mheshimiwa Rais na bado ninayo lakini kama atabadilisha namna ya mambo.
Kwamfano kuna ubaya gani kuwaacha hao jamaa walioshindwa yaani wapinzani wakapiga kelele na wakadharauliwa na wapiga kura?
Wakaitisha mikutano wakakosa watu wa kuwahutubia. Hicho kitakuwa kifo chao na hakutakuwa na huruma yoyote.
Kuna ubaya gani kwamfano wa kuonesha bunge live na watu wakaona kuliko hoja za ajabu na zenye kukinzana zinazotolewa na mawaziri wetu?
Kuna ubaya gani wa kuwa na mipango rasmi na ya kibajeti ya baadhi ya matukio kuliko kuendeshwa na hayo matukio? Mfano allocation ya pesa nje ya bajeti wakati CCM wana wabunge wengi wa kuweza kufanya chochote anachotaka rais wetu?
Kuna haraka gani ya kuenda Didoma wakati kwenda huko hakuko hata kwenye ilani ya CCM na hakuna faida yoyote ya kiuchumi ya kwenda huko?
Kulikuwa na haja gani ya kupingana kwenye suala la watoto wa UDOM na kuwafukuza vile?
Mbona kuna makosa mengi katika baadhi ya mambo na matamko au na hiyo ni hujuma ya mafisadi kwa kiongozi wetu?
Kuna haja gani ya kujenga uwanja Chato kwa sasa badala ya kununua helkopta nzuri na za kisasa kwaajili ya viongozi wetu?
Ni mengi nisaidie hayo Kakangu

Walewale

On Aug 23, 2016 5:17 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naam Chamani. Nina uhakika.
Nimpita  mtera mara kadhaa. Mvua zilikuwa zinanyesha sana kuliko mwaka jana. Lakini maji yalikuwa hayakai. Wote tunajua kuwa chanzo cha mikataba ya umeme wa dharura ni bwawa la mtera kukauka.
Magufuli alipoingia madarakani alisema kuna watu walikuwa wanafungulia valv za kumwaga maji mtera ili tuendelee kukosa umeme. Niepita wiki moa iliyopita. Kiangazi chote maji hayakukauka.
Nina uhakika. Kuwa serikali ilitoa fedha kukarabati meli ya Victoria. Shilingo bilioni 6. Nina uhakika kuwa kuna aliyetimuliwa kwa sababu alizitumia kulipa mishahara. Sina uhakika nani alimshauri kufanya hivyo. Nina uhakika watu wa kanda hii walisema Meli haitatengenezwa kwa sababu kuna watu wana mabasi na malori. Kutokuwepo kwa meli kutawapa kazi. Matokeo yake ni ndizi na maparachichi yameshuka bei kwa wakulima Bukoba na kupanda bei kwa walaji Mwanza na shinyanga. hayo ni matokdo ya ufisadi.

Nina uhakika kuwa wenye malori ni sababu ya reli kuhujumiwa kila inapotengenezwa. Nina uhakik kudai demokrasia ni kisingizio cha kufunika uoza wa mafisadi. waliokuwa wankwepa kodi na sasa wanaona watalipa anajitahidi kuleta sintofahamu kwa watu.

Labda nikwambie uhakika mwingine. Nina uhakika kuwa juhudi kubwa zinazofanywa kumtia doa Magufuli ni kutaka kuwaletea agenda wananchi ili kusahau machungu niliyoyataja kwa matarajio kuwa wakipata nafasi waendeleze uhalifu wao. Nina uhakika pia kuwa watanzania walio wengi hasa vijijini wanamuelewa rais wao na kuwa wanaotaka kuleta rabsha hawatafanikiwa.
Nimejibu hoja?????
--------------------------------------------
On Tue, 8/23/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, August 23, 2016, 1:05 PM

 Kaka
 Muhingo
 Una hakika na unalosema?

 Tunaanza kuhesabu mipango na ahadi? Mbona JK alikuwa hodari
 zaidi?

 Mambo mengine ni Multiplayer za kiuchumi hivyo athari yake
 haipo kabisa.

 Sema tu sasa kanda ya ziwa tunaongezewa Uwanja wa Ndege hapo
 nitaelewa.

 Hayo yakiendelea si vibaya kuangalia hali ya mtu wa kawaida
 na hata mfanyakazi alieongezewa punguzo 2% ya PAYE na
 tukapiga makofi.

 Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa.

 Walewale

 On Aug 23, 2016 12:53 AM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Kazi
 gani? ngazi ipi? Serikli imeanza. Nilipita Mtera majuzi.
 Mvua ya mwaka mmoja bwawa limejaa na nyingine ya nwaka huu
 litaanza kumwaga. Jamaa walikuwa wanamwaga ili Dowans
 iendelee kuzalisha wa dharura. Kazi kubwa hyo.

 Kodi zinakusanywa sasa na wakwepa kodi sasa haba.

 Reli itatengenezwa na hujuma ili malori ya mafisadi yafanye
 kazi sasa historia. Meli ziwa victoria iliyohujumiwa ili
 mabasi na malori yafanye kazi sasa tunaelekea kuvuka.

 Uwajibikaji serikalini.

 Watumishi hewa wameondolewa Bado tu hazzionekani?

 Mazingira rafiki kwa wengi. Subiri uone eeneo litakalolimwa
 mwaka huu mazao mbalimbali kubwa zaidi

 Mengi tu tunayohitaji kufanya na yanatengenezwa na
 yaliyokwisha kufanywa na serikali Miaka miwili tutaona. Kama
 yakishindikana basi maandamano yaje. Sio sasa

 ------------------------------ --------------

 On Mon, 8/22/16, amour chamani <abachamani@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
 kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.
 Magufuli.

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Date: Monday, August 22, 2016, 4:02 PM

  Kufanya kazi gani

  labda?

  Walewale

  On Aug 22, 2016 4:00

  PM,  <haha12@poczta.fm>

  wrote:

  Hebu tujaribu kutekeleza motto ya raisi Magufuli

  -"KAZI TU" angalau kwa miaka 2 na mtaona
 matunda

  yake. Nchi inahitaji sauti moja na sio ulanguzi na
 kelele

  tu. Upinzani unatakiwa uwepo sio kwa manufaa tu ya
 viongozi

  wake bali kwa taifa zima. LAKINI, iwapo upinzani
 unatakiwa

  kuwa constructive na wenye kueleweka. Kususia miswada

  Bungeni sijui kama ni jambo zuri. Maandamano ya kila
 mara

  pia hayana maana wakati Tanzania inafahamika duniani kuwa
 ni

  nchi stable na yenye usalama. Tunachotakiwa ni
 kuendeleza

  nchi chini ya katiba yetu na kila mwananchi aelewe kuwa

  anawajibu katika kuleta maendeleo nchini kwa kadri ya
 uwezo

  wake. UMASIKINI, UJINGA na MARADHI hatutaweza
 kuyashinda

  iwapo saa zote tutakuwa mitaani to strike badala ya
 kufanya

  kazi

  Mtanganyika

  Od: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>

  Do: "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>;

  Wysłane: 18:15 Niedziela 2016-08-21

  Temat: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
 kujengwa

  duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.

  Magufuli.Marekani ilijengwa kwa katiba

  madhubuti. Ingawa kuna wakati ilikuwa inakiukwa lakini

  katiba hiyo hiyo ilitumiwa kuirudisha nchi kwenye mstari
 wa

  mwelekeo wake.Bila katiba ndugu zangu weusi

  wangeendelea kuishi maisha ya kunyanyaswa. Bila katiba

  wanawake wasingeruhusiwa kupiga

  kura.em,

  2016-08-21 12:07

  GMT-04:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:

  Hakuna jipya hapa! Mbona hujasema

  mandeleo ya Zimbabwe wakati huu wa Mugabe? Mbona
 hujasema

  maendeleo ya Malawi wakati wa Kamuzu Banda? Mbona
 hujasema

  maendeleo ya Uganda wakati wa Idd Amin? Maendeleo ya
 Kongo

  (DRC) wakati wa Mobutu? Husemi maendeleo ya Burundi sasa
 ?

  Maendeleo ya Marekani kabla ya Demokrasia maana yake
 nini?

  Husemi yaliyotokea DDR (Ujerumani Mashariki) wakati wa

   Erich Hönecker ukilinganisha na BRD (Ujerumani
 Magharibi)

  wakati wa Helmut Kohl? Husemi Jugoslavia wakati wa
 Tito,

  Husemi Romania wakati wa Nikolai Ciausescu ukilinganisha
 na

  sasa? Husemi Philipines wakati wa Ferdinand Marcos? 

  Date: Sun, 21 Aug 2016 15:22:48 +0000

  From: wanabidii@googlegroups.com

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Subject: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi
 kujengwa

  duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.

  Magufuli.

  Fuatilia

  nchi zote zilizoendelea anzia, Marekani, China, Urusi
 na

  kwinginepo

  walitanguliza maendeleo kabla ya Demokrasia. Kwan chi
 nyingi

  za Afrika

  tulitanguliza Demokrasia badala ya maendeleo.

  Kwa sasa

  nchi yenye mafanikio makubwa katika ukanda wa Afrika

  Mashariki ni Rwanda.

  Ukiambiwa miaka ya

  1990 kulikuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe
 hutokubali

  kwa jinsi inavyokimbia kimaendeleo. Unajua kwa nini?
 Ndani

  ya Rwanda kuna baba

  mmoja tu kwa sasa akisema wakalime wanaenda kulima
 kulima,

  hakuna atakaebaki

  kwa kucheza pooltable au kuandamana, akisema rushwa
 stop

  watu wanafunga wallet

  zao.

  Tanzania

  tumezoea kubembelezana sana, JK alituparuhusa ya
 kuzurura

  zurura usiku na

  mchana tunapiga domo. Kwa miaka yote kumi ni maandamano
 tu,

  mara operation

  sangara kama si sato au M4C na kadhalika, hata
 wapinzani

  wenyewe walidiliki

  kusema tunahitaji rais  mkali zaidi ya JK

  na yeye mwenyewe alituahidi  kuwa atakuja

  na leo tumempata tunaanza kutafuta kick za hovyo 

  hovyo kabisa wakati shida kubwa ya sisi

  watanzania ni maendeleo wala si UKUTA kama wanavyotaka

  kutuaminisha.

  Nani

  aliyekuwa anaifahamu Libya ya mliyekuwa mnamuita
 dikteta??

  Ni Libya hipi ya

  kukumbukwa hii ya leo inayoruhusu maandamano ya vurugu
 kila

  leo na kushindwa

  kuyadhibiti na kulinda usalama wa raia wake na mali zao
 au

  ile Libya ya

  aliyekuwa akiitwa dikteta Gadafi?

  Nendeni

  Misri ya leo nao kuanzia January hadi decemba 

  wapo mitaani wanaandama pamoja na kutafutana kwa

  mitutu ya bunduki

  halafu linganisheni na Misri ya aliyekuwa akiitwa
 dikteta

  Mubarak akiwa

  madarakani.

  Dola zote

  kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na
 watawala

  kama Mhe. Magufuli.

  Tafuta dola yeyote kubwa ya zamani halafu tafuta staili
 zao

  za uongozi

  iliyokuwepo na maendeleo wanayojivunia leo.

  Lakini leo

  hii wanasiasa wetu wanataka na kutamani kufanya damu za

  watoto wa masikini kuwa

  daraja la wao kupata umaarufu, Serikali imeruhusu
 maandamano

  kwa sharti la

  Mbowe mna Lowassa pamoja na familia zao ikiwemo wake na

  watoto wao kuwa mstali

  wa mbele katika maandamano, natamani tulione hilo
 September

  1 lakini

  hawatathubutu ni waoga, wanapenda kuonyesha ujasiri
 katika

  kamera za wanahabari

  huku wakiwafanya watoto wa masikini kuwa chambo cha wao

  kupata front page za

  magazeti na umaarufu.

  Natamani

  maandamano yao ya Septemba mosi  yaanzie

  kule Hai mkoani kililimanjaro, Mbowe awaitekina Sugu,

  Msingwa, Lema, Prof

  Baregu na wengineo pale nyumbani kwake au hotelini
 kwakwe

  Protea kule Machame.

  Namshangaa

  sana Mbowe, anahubirije demokrasia wakati wakati yeye
 haishi

  katika yale

  anayoyazungumza? Kama Kitilya,Mwigamba na Zitto watu
 watau

  hao waliandika

  waraka na kuusevu kwenye PC zao ila waliishia kufukuzwa
 kama

  mbwa hiyo ndiyo

  demokrasia anayoihubiri?

  Hivi Mbowe

  anapogombeaga uenyekiti wa chama huwa anashindanisahwa
 na

  nani? Lowassa

  alipopewa nafasi yay a kugombea urais Chadema mwaka
 jana

  alishindanishwa na

  nani?

  Watanzania

  wenzangu kwa kweli atakayekutana na mkono wa dola
 kwenye

  maandamno ya tarehe

  1/9/2016 shauri yake na msianze kutusumbua kwa
 kututumia

  picha mikiwa mmelowa

  damu nahilo ndilo wanalolitaka Mbowe na

  Lowassa.

  Ndudu zangu

  Watanzania hakuna hoja yeyote ya msingi ya kutufanya

  tuandamane nchi nzima hiyo

  tarehe 1/9/2016 hili ni jaribio la UHAINI.

  Kama

  swala

  la Tulia walimkimbia wenyewe na kama hakufuata kanuni

  zilizotungwa na bunge,

  hicho chombo kina taratibu zake za kudili naye na si
 kuja

  kutusumbua wananchi.

  "Kila mmoja

  afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa, Kingu mbunge
 wa

  Ikungi Magharibi

  afanye mikutano yake ale pale kwake alipoahidi shughuli
 za

  maendeleo, Mbowe

  afanye siasa pale pale Hai aliochaguliwa na kuahidi
 kuwapa

  maendeleo, kila

  mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake."

  "Sitaki

  kuona mtu anatoka HAI kwenda KAHAMA kufanya mikutano
 n.k

  Mbunge au diwani wa

  HAI au Mbeya  hana mamlaka ya kuingia

  ndani ya majimbo ya yao. Huwezi kuwa mbunge wa Ubungo

  ukaenda kufanya vikao vya

  maendeleo kwenye eneo ambalo si lako".

  "Wanaotaka

  kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini
 wasubiri

  mwezi wa 9? Wafanye mikutano

  hata leo ili wajue mimi ni nani. Siwezi kuigeuza hii nchi
 ya

  sisa, nataka nchi

  ya maendeleo tu. Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI
 muda

  huu ni wa KAZI TU".

  Hiyo

  ndiyo kauli

  Rais Magufuli, nafikiri ndio siku Mbowe atabatizwa kwa
 moto

  kama atakuwa mstari

  wa mbele, ikiwa hawezi kuwa mstari wa mbele aache
 kuwafanya

  chambo watoto wa

  masikini manufaa yao ya kisiasa na kupata

  umaarufu.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha

  ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/

  optout.

 googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment