Wednesday 24 August 2016

Re: [wanabidii] ETI RAIS MAGUFULI ‘AMEWACHOKOZA’ CHADEMA!

Agenda muhimu kutolipuliwa.
Tukitaka kujua nani kachokoza mwenzake tuanzie mambo yalikoanzia. Tukianzia kwenye Tamko la Rais ataitwa mchokozi.
Nakumbuka mambo yalianzia pale rais alipotekeleza aliyoyaahidi. Huo sio uchokozi.
Kilichofuata ni CDM kubeza na kusema ni dictator (Huo ni/si uchokozi?
Rais akatamka Huo ni/si uchokozi?
Tukifuata mtiririko huo tutajua nanik kachokoza na kelele zitaisha.

Naamini CDM haiina fanatics wa kusikiliza kila kinachosemwa bila kukichambua. Wakichambua matamshi ya viongozi wao wataorodhesha kila alichokifanya Rais (serikali yake) na kupima comment za viongozi wao naa kuamua la kufanya.
Waanzie rais na safari za kushtukiza.; Kukamatwa kwa wakwepa kodi; Kuwasimamisha kazi wahalifu serikalini ili wachunguzwe; Kuanziasha kampeni ya madawati; Kuhamia Dodoma. Kazi hizi zote CDM walion ni makosa. Baadaye wakaema hawapingi kila kinachofanywa na serikali ya Magufuli.
Wakipitia mlolongo huo tunatarajia UKUTA kuwa na viongozi hao na walevi na wavuta bangi na vibaka tu.
Tuijadili mada objectively
Muhingo
--------------------------------------------
On Wed, 8/24/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] ETI RAIS MAGUFULI 'AMEWACHOKOZA' CHADEMA!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, August 24, 2016, 11:28 PM

ETI RAIS MAGUFULI
'AMEWACHOKOZA' CHADEMA!HAK'YANANI Rais John
Pombe Joseph Magufuli 'umewachokoza' Chadema. Na tayari
wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
wamekaa 'mguu sawa' kutekeleza amri 'tukufu ya kamanda
wao' Freeman Mbowe, ya kufanya maandamano nchi nzima hapo
Septemba Mosi, 2015 kupinga kile ambayo kiongozi huyo na
chama chake wanakiita 'Udikteta' ndani ya Serikali ya
Awamu ya Tano. Soma: http://goo.gl/uZA3m2

--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &
PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
               www.brotherdanny5.blogspot.com

"Kama
hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"
~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es
Salaam, 1995




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment