Wednesday, 24 August 2016

[wanabidii] NYUMBA INAKODISHWA KIBAHA MKOANI MSAE

Nyumba inakodishwa Kibaha mkoani eneo la msae.

·        Ina vyumba 3, masters 2, na kimoja cha kawaida,

·         ina fence na nafasi ya kutosha yenye bustani na miti ya matunda ndani.

·         Ni sehemu yenye utulivu, maji na umeme wa uhakika,

·         heater katika vyoo vya master,

·        sebule kubwa,na frem 6 za milango ya maduka (chaguo lako kukodi frem hizo)

·        kwa mawasilano nipigie simu mimi mwenyewe kwa namba zifuatazo:
0777245065 / 0715245065 / 0754245065

·        emails:mazikuj@hotmail.com

·        julius_maziku@yahoo.com

·        juliusmaziku@gmail.com

0 comments:

Post a Comment