Friday, 26 August 2016

Re: [wanabidii] TATIZO LA CHADEMA WANAPIMA HOMA KWA KIGANJA!

Unachosema Reuben ni sahihi, maana hivi sasa hakuna anayethubutu kusemea ufisadi. Nadhani wakiombe radhi hata Chama cha Mapinduzi kwa kukitukana kuhusu kukumbatia ufisadi kwa sababu wenyewe ndio wanaoukumbatia na kuutukuza kwa sasa.

2016-08-25 15:06 GMT+03:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mbega;
Waliokuwa/aliyekuwa ana moyo na mpinga ufisadi wa kweli katika CDM alishafukuzwa na mpaka sasa anaishi uhamishoni.
Waliobaki hawawezi hiyo kitu na awali walikuwa wana msapoti kwa kuwa alikuwa Boss,hii inafanana na kipindi ya Mwl ambacho ukiangalia kwa makini almost mjamaa alikuwa peke yake wengine walikuwa wanafuata upepo.
Maana baada ya yeye kuondoka na hatimae kufariki tumeona wimbi la wizi lilikuwa kubwa,hii inaonyesha walikuwa wanasubiri paka aondoke.
Wangekuwa wote/wengi wao walikuwa na traits za Mwl hali isingekuwa hivi kwa kipindi kifupi na kwanza wangeona aibu na kuendelea may be kuwa waadilifu.
 
Reuben

On Thursday, August 25, 2016 11:18 AM, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:

TATIZO LA CHADEMA WANAPIMA HOMA KWA KIGANJA!
Kwa miaka kadhaa sasa, Chadema imejipambanua kwamba ni chama kinachopinga ufisadi na kiliweza kujijengea sifa na kuaminiwa na wananchi kwa msimamo huo, huku kikiendesha kampeni nchi nzima kupinga ufisadi pamoja na suala la kusamehe kodi ambalo lilikuwa linaikosesha serikali mapato makubwa. Waliahidi kwamba, mara watakapoingia madarakani – kama wangefanikiwa – wangeanza kusafisha mafisadi wote na kuhakikisha kodi inakusanywa ili nchi isiwe tegemezi. Soma zaidi: http://goo.gl/bJZ4Xl

--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER & PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
               www.brotherdanny5.blogspot.com

"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment