Sunday, 28 August 2016

[wanabidii] Fw: UZINDUZI WA DR.AMON MKOGA FOUNDATION SOUTHERN SUN HOTEL TAREHE 25/8/2016

Ndugu Wanahabari
Naombeni mnifikishie habari hii,
Pichani Mwenyekiti wa Dr.Amon Mkoga Foundation na Bw.Habibu Msammy(Mwenye miwani)mwakilishi wa Katibu mkuu wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo pembeni ni Bw.Basel Haydar Meneja wa shirika la Ndege la Qatar nchini Tanzania ambao ni wadhamini wa kuu wa mradi wa madawati uitwao Simama kaa desk campaign ambao unaendeshwa na Taasisi hiyo.

Mradi huo mwenye lengo la kupunguza uhaba wa madawati unadhaminiwa pia na Halotel,Empress Furniture,TIRA,CBA Bank,Insignia,tayari mikoa ya Tabora na Pwani wameanza kufaidi matunda ya mradi huo

Wenu
 
AMON MKOGA
Mwenyekiti

P.O BOX 78566
MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
EMAIL dramontz2002@yahoo.com


DAR ES SALAAM
TANZANIA 

0 comments:

Post a Comment