Monday 22 August 2016

Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.

Kazi gani? ngazi ipi? Serikli imeanza. Nilipita Mtera majuzi. Mvua ya mwaka mmoja bwawa limejaa na nyingine ya nwaka huu litaanza kumwaga. Jamaa walikuwa wanamwaga ili Dowans iendelee kuzalisha wa dharura. Kazi kubwa hyo.

Kodi zinakusanywa sasa na wakwepa kodi sasa haba.

Reli itatengenezwa na hujuma ili malori ya mafisadi yafanye kazi sasa historia. Meli ziwa victoria iliyohujumiwa ili mabasi na malori yafanye kazi sasa tunaelekea kuvuka.

Uwajibikaji serikalini.
Watumishi hewa wameondolewa Bado tu hazzionekani?
Mazingira rafiki kwa wengi. Subiri uone eeneo litakalolimwa mwaka huu mazao mbalimbali kubwa zaidi
Mengi tu tunayohitaji kufanya na yanatengenezwa na yaliyokwisha kufanywa na serikali Miaka miwili tutaona. Kama yakishindikana basi maandamano yaje. Sio sasa
--------------------------------------------
On Mon, 8/22/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Mhe. Magufuli.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 22, 2016, 4:02 PM

Kufanya kazi gani
labda?

Walewale

On Aug 22, 2016 4:00
PM, <haha12@poczta.fm>
wrote:

Hebu tujaribu kutekeleza motto ya raisi Magufuli
-"KAZI TU" angalau kwa miaka 2 na mtaona matunda
yake. Nchi inahitaji sauti moja na sio ulanguzi na kelele
tu. Upinzani unatakiwa uwepo sio kwa manufaa tu ya viongozi
wake bali kwa taifa zima. LAKINI, iwapo upinzani unatakiwa
kuwa constructive na wenye kueleweka. Kususia miswada
Bungeni sijui kama ni jambo zuri. Maandamano ya kila mara
pia hayana maana wakati Tanzania inafahamika duniani kuwa ni
nchi stable na yenye usalama. Tunachotakiwa ni kuendeleza
nchi chini ya katiba yetu na kila mwananchi aelewe kuwa
anawajibu katika kuleta maendeleo nchini kwa kadri ya uwezo
wake. UMASIKINI, UJINGA na MARADHI hatutaweza kuyashinda
iwapo saa zote tutakuwa mitaani to strike badala ya kufanya
kazi

Mtanganyika

Od: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
Do: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>;

Wysłane: 18:15 Niedziela 2016-08-21
Temat: Re: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa
duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.
Magufuli.Marekani ilijengwa kwa katiba
madhubuti. Ingawa kuna wakati ilikuwa inakiukwa lakini
katiba hiyo hiyo ilitumiwa kuirudisha nchi kwenye mstari wa
mwelekeo wake.Bila katiba ndugu zangu weusi
wangeendelea kuishi maisha ya kunyanyaswa. Bila katiba
wanawake wasingeruhusiwa kupiga
kura.em,
2016-08-21 12:07
GMT-04:00 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:

Hakuna jipya hapa! Mbona hujasema
mandeleo ya Zimbabwe wakati huu wa Mugabe? Mbona hujasema
maendeleo ya Malawi wakati wa Kamuzu Banda? Mbona hujasema
maendeleo ya Uganda wakati wa Idd Amin? Maendeleo ya Kongo
(DRC) wakati wa Mobutu? Husemi maendeleo ya Burundi sasa ?
Maendeleo ya Marekani kabla ya Demokrasia maana yake nini?
Husemi yaliyotokea DDR (Ujerumani Mashariki) wakati wa
 Erich Hönecker ukilinganisha na BRD (Ujerumani Magharibi)
wakati wa Helmut Kohl? Husemi Jugoslavia wakati wa Tito,
Husemi Romania wakati wa Nikolai Ciausescu ukilinganisha na
sasa? Husemi Philipines wakati wa Ferdinand Marcos? 

Date: Sun, 21 Aug 2016 15:22:48 +0000
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa
duniani zilijengwa na watawala kama Mhe.
Magufuli.

Fuatilia
nchi zote zilizoendelea anzia, Marekani, China, Urusi na
kwinginepo
walitanguliza maendeleo kabla ya Demokrasia. Kwan chi nyingi
za Afrika
tulitanguliza Demokrasia badala ya maendeleo.

Kwa sasa
nchi yenye mafanikio makubwa katika ukanda wa Afrika
Mashariki ni Rwanda.

Ukiambiwa miaka ya
1990 kulikuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe hutokubali
kwa jinsi inavyokimbia kimaendeleo. Unajua kwa nini? Ndani
ya Rwanda kuna baba
mmoja tu kwa sasa akisema wakalime wanaenda kulima kulima,
hakuna atakaebaki
kwa kucheza pooltable au kuandamana, akisema rushwa stop
watu wanafunga wallet
zao.

Tanzania
tumezoea kubembelezana sana, JK alituparuhusa ya kuzurura
zurura usiku na
mchana tunapiga domo. Kwa miaka yote kumi ni maandamano tu,
mara operation
sangara kama si sato au M4C na kadhalika, hata wapinzani
wenyewe walidiliki
kusema tunahitaji rais  mkali zaidi ya JK
na yeye mwenyewe alituahidi  kuwa atakuja
na leo tumempata tunaanza kutafuta kick za hovyo 
hovyo kabisa wakati shida kubwa ya sisi
watanzania ni maendeleo wala si UKUTA kama wanavyotaka
kutuaminisha.

Nani
aliyekuwa anaifahamu Libya ya mliyekuwa mnamuita dikteta??
Ni Libya hipi ya
kukumbukwa hii ya leo inayoruhusu maandamano ya vurugu kila
leo na kushindwa
kuyadhibiti na kulinda usalama wa raia wake na mali zao au
ile Libya ya
aliyekuwa akiitwa dikteta Gadafi?

Nendeni
Misri ya leo nao kuanzia January hadi decemba 
wapo mitaani wanaandama pamoja na kutafutana kwa
mitutu ya bunduki
halafu linganisheni na Misri ya aliyekuwa akiitwa dikteta
Mubarak akiwa
madarakani.

Dola zote
kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala
kama Mhe. Magufuli.
Tafuta dola yeyote kubwa ya zamani halafu tafuta staili zao
za uongozi
iliyokuwepo na maendeleo wanayojivunia leo.

Lakini leo
hii wanasiasa wetu wanataka na kutamani kufanya damu za
watoto wa masikini kuwa
daraja la wao kupata umaarufu, Serikali imeruhusu maandamano
kwa sharti la
Mbowe mna Lowassa pamoja na familia zao ikiwemo wake na
watoto wao kuwa mstali
wa mbele katika maandamano, natamani tulione hilo September
1 lakini
hawatathubutu ni waoga, wanapenda kuonyesha ujasiri katika
kamera za wanahabari
huku wakiwafanya watoto wa masikini kuwa chambo cha wao
kupata front page za
magazeti na umaarufu.

Natamani
maandamano yao ya Septemba mosi  yaanzie
kule Hai mkoani kililimanjaro, Mbowe awaitekina Sugu,
Msingwa, Lema, Prof
Baregu na wengineo pale nyumbani kwake au hotelini kwakwe
Protea kule Machame.

Namshangaa
sana Mbowe, anahubirije demokrasia wakati wakati yeye haishi
katika yale
anayoyazungumza? Kama Kitilya,Mwigamba na Zitto watu watau
hao waliandika
waraka na kuusevu kwenye PC zao ila waliishia kufukuzwa kama
mbwa hiyo ndiyo
demokrasia anayoihubiri?

Hivi Mbowe
anapogombeaga uenyekiti wa chama huwa anashindanisahwa na
nani? Lowassa
alipopewa nafasi yay a kugombea urais Chadema mwaka jana
alishindanishwa na
nani?

Watanzania
wenzangu kwa kweli atakayekutana na mkono wa dola kwenye
maandamno ya tarehe
1/9/2016 shauri yake na msianze kutusumbua kwa kututumia
picha mikiwa mmelowa
damu nahilo ndilo wanalolitaka Mbowe na
Lowassa.

Ndudu zangu
Watanzania hakuna hoja yeyote ya msingi ya kutufanya
tuandamane nchi nzima hiyo
tarehe 1/9/2016 hili ni jaribio la UHAINI.

Kama
swala
la Tulia walimkimbia wenyewe na kama hakufuata kanuni
zilizotungwa na bunge,
hicho chombo kina taratibu zake za kudili naye na si kuja
kutusumbua wananchi.

"Kila mmoja
afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa, Kingu mbunge wa
Ikungi Magharibi
afanye mikutano yake ale pale kwake alipoahidi shughuli za
maendeleo, Mbowe
afanye siasa pale pale Hai aliochaguliwa na kuahidi kuwapa
maendeleo, kila
mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake."

"Sitaki
kuona mtu anatoka HAI kwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k
Mbunge au diwani wa
HAI au Mbeya  hana mamlaka ya kuingia
ndani ya majimbo ya yao. Huwezi kuwa mbunge wa Ubungo
ukaenda kufanya vikao vya
maendeleo kwenye eneo ambalo si lako".

"Wanaotaka
kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wasubiri
mwezi wa 9? Wafanye mikutano
hata leo ili wajue mimi ni nani. Siwezi kuigeuza hii nchi ya
sisa, nataka nchi
ya maendeleo tu. Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI muda
huu ni wa KAZI TU".

Hiyo
ndiyo kauli
Rais Magufuli, nafikiri ndio siku Mbowe atabatizwa kwa moto
kama atakuwa mstari
wa mbele, ikiwa hawezi kuwa mstari wa mbele aache kuwafanya
chambo watoto wa
masikini manufaa yao ya kisiasa na kupata
umaarufu.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment