Irenius,
Salha(mimi), ni mwanamke.
Nilishatetea msinamo wa Joyce in few days back.
Pamoja sana na Joyce!
This
SB
On Aug 11, 2016 8:38 AM, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Bwana Kamala,,
Niilimsahau dadetu Ma Lutgard Kagaruki pia kwenye orodha ya wanaharakati wetu jukwaani. Joyce inawezekana kweli kakosea kuileta hii huku jukwaani sababu is more personal lakini pia inawezakana ni makusudi ili aweze kufikisha ujumbe ktk jamii kubwa zaidi ukizingatia kuwa hili ni tatizo la kijamii at large.
Ndio wapo wenye interest zao binafsi kisiasa zaidi na ambao wanajitoa ufahamu na kuliona hili so mambo la msingi. Dhamira zao zinawasuta kwa ndani sababu ht wao pia wanalenga kujijenga kupitia Makundi haya na siasa hizi.
Wengi wao watajifungia maofisini au majumbani kwao na simu au vilaptop kusubiri tu kuandika matukio huku jukwaani. Hawatakwenda wao huko kwenye UKUTA though ni waongeaji/waandikaji na hapa ndio tunauona unafiki ktk ushabiki wao kisiasa!
Siku ya UKUTA haiko mbali sana nitakuwa nikifuatilia hawa wakereketwa wa UKUTA watakuwa wanaandika kutoka wapi na ama kushare images za pale watapokuwa wakishiriki maandamano.
Huyu mama ana hoja ya msingi na nategemea kina mama wenzake wamtetee wamsemee hapa hapa jukwaani. Bahati mbaya sijamwona hata mmoja. Uzi huu haupaswi ukamilike bila mchango wa kinamama. Mko wapi???
Naona kina Baba tu wanadominate mjadala wenye hisia za huyu mama.
From: J L Kamala
Sent: 8/11/2016 6:11 AM
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonyamumewake kutoshiriki UKUTAMshongi umenena. ningependa kusikia maoni ya wanaharakati wetu wa maswala ya kijinsia kwa mwanamke mwenzao hapa2016-08-09 7:24 GMT+03:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wapinzani/chadema hawajui hiyo thamani iliyomo ndani ya utu. Anayejua kwa hakika thamani ya mme ni mke wake aliyekula kiapo cha ndoa yao. Mtoto yatima peke yake ndiye anajua uhakika na thamani ya baba au mama. Huyo mme aliapa kwa ajili ya mke wake na watoto wake. Atambue kuwa baraka zake zinatokana na familia yake. Akikaidi anaweza kupata madhara makubwa katika maisha yake. Mkewe kamuonya hadharani. Inabidi ajitafakari hana sababu zaidi za kushupaza shingo yake.Sent from Yahoo Mail on Android
On Mon, Aug 8, 2016 at 15:08, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> wrote:--
Ha ha h. kakuru. Umeikumbush kituko fulani wakati Algentia iipovami visia vya Falklad na uingereza ikalazimika kupigana vita.marekni ilikuwa na mtihani mgumu-Kuungana na OAC (Orgaization of American Countries kuipiga uingereza au kumsaidia shoga wake Uingereza kuipiga Argetina. Sasa naona dilemma waliynayo hao uliowataja-Wamteteemama mwenzao au naihii
--------------------------------------------
On Mon, 8/8/16, ireneus kakuru <ireneuskakurumushongi@gmail.com > wrote:
Subject: RE: [wanabidii] Joyce Kiria azidi kupingana na CHADEMA, amuonya mumewake kutoshiriki UKUTA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 8, 2016, 1:50 PM
Humu
jukwaani huwa Kuna kinamama fulani wanahar
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment