Tuesday 2 August 2016

Re: [wanabidii] HUU NI MGONGORO?? KUJICHANGANYA?? AU KWELI KUNA NAFSI YA TATU??

Chamani, dugu yanu.
Niliyemwambiaaende google asome kurasa sabakati ya nyingi zinazoeleza kwa ufupi habari za jna hili ilitakaaondoe thana kuwa kuna kutafuta uteuzi katika kuandi kwangu. Nilitaka aomearicles zangu wakati wa mchakato wa uchaguzi 2005 na zile zilizofuata baada ya uchaguzi 2010. Nilijua atajua naaanisha na kulenga nini.
Sina naafasi ninayoitafuta ali nasaidia kuandaa mazingira ninayoyataka baada yangu kwa ajili y uzao wangu. Sikusudii kwenda geezani kutokana na uteuzi a mtu ndiyo maana upepo ukigeuka nitageuka kama nilivyofanya vipindi nilivyovitaja.
--------------------------------------------
On Mon, 8/1/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] HUU NI MGONGORO?? KUJICHANGANYA?? AU KWELI KUNA NAFSI YA TATU??
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 1, 2016, 4:41 PM

Kakangu
Muhingo.


Naona kama unajichanganya sana.

Anyway ndiyo gharama ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Yaliwakuta CUF yatapita japo hatujui vipi.

Hivi nafasi bado zipo za uteuzi?

Ukifanikiwa na mimi usinisau.

Niombee maana nami nilipiga debe japo NAJUTIA.

Walewale.

On Jul 30, 2016 11:33 AM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Jana Rais
alitangaza msimamo wake kuhusu kusudio la Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuitisha maandamanoo nchi
nzima ifikapo Tarehe 1 September

Sababu kubwa ya CHADEMA kuitisha maandamano na mikutano nchi
nzima ni kutetea demokrasia. Chama kinataja sababu kumi na
moja nadhani nisizitaje

Baadhi ya sababu zinatafutiwa ufumbuzi katika vyombo husika.
Mifano: Nakumbuka kuna kesi mahakamani kupinga zuio la
polisi kuendesha mikutano ya siasa. Kuna wabunge wametuma
rufaa kwa Spika kumshtaki Naibu spika. Hizi ni taratibu za
kawaida kutatua migogoro inayojitokeza.

Kuitisha maandamano nchi nzima na mikutano ni kitu
ninachosikia wengine wakisema ni kuleta 'Civil
Disobedience'. Yaani kuwafanya watu wasitii mamlaka kama
namna yao kutokubaliana na kinachofanywa na mamlaka. Mbinu
hii imetumiwa mara nyingi. Misri ilifanikiwa kumuondoa Hosni
Mubaraka kwa njia hiyo. Chauchesku wa Romania aliondolewa
kwa njia hiyo. Watu walichoka na kila njia ilishindwa ndipo
watu wakaingilia njia hiyo. Kwa hiyo CHADEMA imeona udhalimu
unaofanywa na serikali Tanzania hauna mfano katika eneo hili
la dunia ndipo wanaona watumie njia hii ya Civil
Disobedience.



Rais anasema; Kulikuwa na kipindi cha uchaguzi. Kampeni
ziliambatana na ahadi. Baada ya myaka mitano atapimwa. Ahadi
zake zilitegemea kila mtu kufanya kazi pale alipo.
{***Mkulima akilima. Muwekezaji atapata maligafi hivyo
atajenga kiwanda. Nchi itakuwa ya viwanda. Katika kufanya
hivyo atakusanya kodi. Hivyo atatumia kodi hiyo kutoa huduma
za jamii}. Anasema hatavumilia kuona watu wanazuiwa kufanya
kazi maana 2020 hatakuja kueleweka pale atakapokuwa
anaulizwa ''kiko wapi kisima cha maji, Iko wapi Barbara
ya lami". Anasema asiingiliwe katika kutekeleza ahadi
zake. Bila shaka inajulikana kuwa atatumia vifaa tulivyompa
kujihakikishia mazingira mazuri kutimiza wajibu wake kwa
kibarua chake cha myaka mitano. {***Maana yake ni kwamba
anayeona utaratibu huu haufai asubiri 2020 ajieleze kwa
wananchi}.

Sipendi kuwa upande wowote kati ya pande mbili. Inawezekana
kwa sababu na mimi nina upande wangu. Kuhakikisha Napata
nilichokitaka wakati wa uchaguzi. Nao ni upande na ni upande
mwingine.

Lakini najiuliza:

1)      Ni kweli kuwa ili Rais atimize wajibu wake
anahitaji watu kufanya kazi zao? Kama mimi nikiamua
kutopalilia shamba langu la kahawa inamhusu nini Rais? Si
akusanya kodi kwa watakaofanya kazi tu ili atujengee zahanai
na barabara za lami?

2)      Kama mtu akiona ni sahihi kutopalilia shamba lake
la kahawa kwa hiyo hatafaidi bei-tarajiwa kujiendeleza kwa
hiyo hali yake ikawa mbaya kiuchumi, 2020 atamlaumu rais na
kwa hiyo kumnyika kura?

3)      CHADEMA kama chama cha siasa kilichokuwa
kikitafuta ridhaa ya watanzania kuongoza nchi, na kswa hiyo
kinajitahidi kujionyesha kinaweza zamu nyingine; sasa
kinaona ni wakati wa kuwakusanya watu saa za kazi ili
kuigomea serikali-kimejihakikisha kuwa hayo ndiyo matakwa ya
watanzania? Kinaona kina sababu za kitanzania na za
watanzania wa sasa kuwashawishi waziache kazi
zinazowalipa?

4)      Hatua hizi za CHADEMA zinawiana na CHADEMA
tuliyoizoea ambayo kati ya 2005 na 2015 ilionekana kuwavuta
watanzania kwa hoja? Walipoibuka na hoja ya Ufisadi kila
mtanzania alielewa. Walipoibuka na kashfa za Richmond,
escrow na nyingine Watanzania waliwaelewa. Sasa wana hoja
gani ya kitanzania? Watanzania wamepiga kura na wameridhisha
na matokeo. Watanzania wana kero na sasa wanaona
zinashughulikiwa. Watanzania wanajulishwa kila kinachofanywa
na serikali. CHADEMA  wanataka demokrasia gani na wanataka
itusaidie kwenda wapi ili maisha yetu ya kila siku
yaboresheke? Yaani wameona watanzania tumekosa nini kiasi
wanaona watumie civil Disobedience kutupatia tunachokosa?

5)       Kuna mamlaka yoyote nyuma ya mpango huu (nafsi
ya tatu)? Ukosefu wa majibu sahihi hapo juu kunabakiza dhana
moja kuwa huenda CHADEMA  wanatumikia mamlaka fulani ndiyo
maana wanafanya hata wasichokijua.

Kikundi cha wanaharakani enzi zile huko ufaransa
kilipomwajili 'The Jackal' ili kumuua Charles Di-go
kilitumia watu kubomoa BENKI ILI KUPATA FEDHA za kumlipa the
Jackal. Walipokamatwa wezi walisema tunatumwa na viongozi wa
kikundi hicho cha wanaharakati. Mmoja wa wanaharakati
alipokamatwa akaulizwa fedha mlizotumwa kukusanya ni za nini
akakutwa hajui. Kwa maelekezo ya jasusi huyo ilibidi siri
iwe ya watu wachache. Swali Rais kusema 'kama kuna
aliyewatuma -----' alikuwa sahihi au alisema tu?
Yawezekana kuna mkakati ama wa kuivuriga CHADEMA  au
kuvuruga amani ya Tanzania na hii haijulikani kwa wengi?





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



 Disclaimer:

 Everyone posting to

 this Forum bears the sole responsibility for any legal

 consequences of his or her postings, and hence
statements

 and facts must be presented responsibly. Your continued

 membership signifies that you agree to this disclaimer
and

 pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message

 because you are subscribed to the Google Groups

 "Wanabidii" group.

 To unsubscribe

 from this group and stop receiving emails from it, send
an

 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment