Thursday, 21 July 2016

[wanabidii] Fwd: blog email

Habarini ndugu waandishi wa habari. Tukiwa kama mashabiki wa Simba hatujaridhishwa na hali ya timu yetu ni muda mrefu tunakuwa tunakosa makombe lakini wale viongozi wa Simba hawana lolote wanalofanya bora enzi za uongozi uliopita. Tunaomba mtoe katika vyombo vyenu tunataka Simba iende hatua nyingine. Tulijadiliana tukaona ndugu yetu MO anattaka kununua timu sasa kwanini tumnyime na hali ni mbaya. Tupeni msaada habari itoke...

Plz nisaidie--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment