Tuesday, 12 July 2016

Re: [wanabidii]

Sera za cdm ndio anazozifanyia kaz Rais hv sasa wee mzee vp,ccm hawakua na sera za kupambana na ufisadi, wala watumishi lege lege zote zinazotekelzwa hv sasa ni copy and paste though modality imekosewa ndio maana makelele ni mengi,'watu hawana pesa, wala sukari,wala watoto w chuon kutolipwa on time...wanakosea,'wawaone cdm wenye sera yao
Dira navyooona mm kiukweli ccm ndio imezimishwa haswaaa, its like died maana hata wanaotumbuliwa wote ni wa ccm na ndio maaana makelele yote kimyaa,cjaona tumbua ikiikuta cdm saana naona wanaogopwa wakikutana sehem tyr wanapelekewa police kutishiwa eti wanafanya siasa....this is un imaginable......its real terrible
Kua chama cha siasa maana yake nn, kwa kua ccm imepora sera za cdm na kuanza kutekeleza, hv sasa cdm imejipanga kivingine....ila hawatak kuwapa nafas maana kilichopo hapa ni kupumbazwa tu watu ccm ni ile ile, ya mizuka ......dodoma wapo na police wote wanalindwa nn maana yake...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>yama hivyo vinavyopokea kukosa dira na kukosa misimamo. Ni kweli kama CDM sio kuwa ilipokea makada wa CCM na kubadili mifumo yao ya kuchagua wagombea bali hata sera zilibadilika na hadi sasa haijulikani inapigania nini.
>Umesahau CUF ilivyompoteza James Mapalala. Ipo haja ya katika katiba kuweka taratibu zitakazo hakikisha vyama vinapingana kwa sera na si makelele
>--------------------------------------------
>On Tue, 7/12/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii]
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 12, 2016, 7:57 PM
>
> 1.
> Kwanini kada yeyote wa CCM, anayejiona maarufu kisiasa,
> anapoamua
> kuhamia upinzani, anawadharau viongozi wote wa vyama vya
> upinzani?
>
>
>
> 2. Kwanini katika dharau hiyo, kada wahuyo wa CCM anapoamua
> kuhamia
> upinzani, yeye ndiye hujiona pekee alfa na omega, kwa kutoa
> masharti
> ambayo kila kiongozi wa upinzani lazima ayatii na
> kuyatekeleza?
>
>
>
> 3. Kwanini makada hao wa CCM, wakishajiunga na upinzani,
> hawataki
> kusikia tena wala kuheshimu dhana nzima ya demokrasia, bali
> demokrasia
> inapaswa kufata mawazo yao?
>
>
>
> 4. Kwanini kila kada wa CCM anayejiona ni maarufu wa
> kisiasa, kila
> anapoamua kuhamia upinzani, basi anataka ajimilikishe yeye
> miaka yote
> nafasi ya urais hadi kifo?
>
>
>
> 5. Kwanini kila kada wa CCM, anayejiona maarufu akihamia
> upinzani
> anadai kwamba huko aliotoka CCM amekimbia kwa kuwa hakuna
> demokrasia,
> lakini akikaribishwa na kupewa fursa kanuni na misingi ya
> demokrasia
> inakuwa kazi ngumu kwake, hivyo hutaka yeye kuwa alfa na
> omega?
>
>
>
> 6. Kwanini vyama vyote vikubwa vya upinzani hapa nchini,
> vilivyokubali
> kuwapokea makada maarufu wa CCM na kuwafanya kuwa wagombea
> wao wa urais
> mfano vyama vya NCCR Mageuzi, TLP vya mlema, hatma ya vyama
> hivyo
> inakuwa kupotea katika ramani siasa nchini kama inavyoelekea
> kuwa hivyo
> kwa Chadema muda mchache ujao baada ya kumpokea Lowassa?
>
>
>
> Wadau ili kujua ninachomaanisha angalia ujio wa Mrema
> alipojiunga na
> NCCR Mageuzi 1995 na Mafuriko yake yanavyofanana na Ujio
> Lowassa
> alipojiunga Chadema 2015 na mafuriko yake hali ya kuwa wote
> wawili ni
> zao la CCM, Walilelewa na kujengwa kisiasa na CCM na wote
> wawili
> waliingiwa na mdudu wa tamaa , anayetamani kweli kweli
> nafasi ya urais.
>  
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment