Tuesday, 12 July 2016

Re: [wanabidii]

yama hivyo vinavyopokea kukosa dira na kukosa misimamo. Ni kweli kama CDM sio kuwa ilipokea makada wa CCM na kubadili mifumo yao ya kuchagua wagombea bali hata sera zilibadilika na hadi sasa haijulikani inapigania nini.
Umesahau CUF ilivyompoteza James Mapalala. Ipo haja ya katika katiba kuweka taratibu zitakazo hakikisha vyama vinapingana kwa sera na si makelele
--------------------------------------------
On Tue, 7/12/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii]
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 12, 2016, 7:57 PM

1.
Kwanini kada yeyote wa CCM, anayejiona maarufu kisiasa,
anapoamua
kuhamia upinzani, anawadharau viongozi wote wa vyama vya
upinzani?2. Kwanini katika dharau hiyo, kada wahuyo wa CCM anapoamua
kuhamia
upinzani, yeye ndiye hujiona pekee alfa na omega, kwa kutoa
masharti
ambayo kila kiongozi wa upinzani lazima ayatii na
kuyatekeleza?3. Kwanini makada hao wa CCM, wakishajiunga na upinzani,
hawataki
kusikia tena wala kuheshimu dhana nzima ya demokrasia, bali
demokrasia
inapaswa kufata mawazo yao?4. Kwanini kila kada wa CCM anayejiona ni maarufu wa
kisiasa, kila
anapoamua kuhamia upinzani, basi anataka ajimilikishe yeye
miaka yote
nafasi ya urais hadi kifo?5. Kwanini kila kada wa CCM, anayejiona maarufu akihamia
upinzani
anadai kwamba huko aliotoka CCM amekimbia kwa kuwa hakuna
demokrasia,
lakini akikaribishwa na kupewa fursa kanuni na misingi ya
demokrasia
inakuwa kazi ngumu kwake, hivyo hutaka yeye kuwa alfa na
omega?6. Kwanini vyama vyote vikubwa vya upinzani hapa nchini,
vilivyokubali
kuwapokea makada maarufu wa CCM na kuwafanya kuwa wagombea
wao wa urais
mfano vyama vya NCCR Mageuzi, TLP vya mlema, hatma ya vyama
hivyo
inakuwa kupotea katika ramani siasa nchini kama inavyoelekea
kuwa hivyo
kwa Chadema muda mchache ujao baada ya kumpokea Lowassa?Wadau ili kujua ninachomaanisha angalia ujio wa Mrema
alipojiunga na
NCCR Mageuzi 1995 na Mafuriko yake yanavyofanana na Ujio
Lowassa
alipojiunga Chadema 2015 na mafuriko yake hali ya kuwa wote
wawili ni
zao la CCM, Walilelewa na kujengwa kisiasa na CCM na wote
wawili
waliingiwa na mdudu wa tamaa , anayetamani kweli kweli
nafasi ya urais.
 --

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment