Sunday, 31 January 2016

Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Anaweza kuwa anaupotza au haupotezi. nadhani yeye kakumbuka uteuzi wa Ban kwenye nafasi aliyopo. alipewa na Tanzania kwa sababu ya kura yake wakati huo. naye alishukuru kwa kumteua mtaqnzania lakini akashindwa kazi fulani. Sasa anakamilisha shukrani yake. Ninadhani alimaanisha hilo hivyo hakukosea. Simsemei lakini -------------------------------------------- On Sun, 1/31/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote: Subject:...
Read More :- "Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto"

Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Makana uko sahihi, hata boss wa polisi afrika ya kusini sio mwanajeshi, na boss wa nato sio mwanajeshi, hivyo jk sio lazima awe tabibu On Jan 31, 2016 9:18 PM, "'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:swali lako halina uhusiano na uteuzi wa mh. Kikwete. Soma hiyo taarifa ya uteuzi wake kwa mtazamo chanya. Kateuliwa uenyekiti na kazi siyo lazima awe tabibu au mtaalamu wa afya.Sent from Yahoo Mail...
Read More :- "Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto"

[wanabidii] Mfuko wa Dharura wa UN watoa Dola Milioni 11 kusaidia wakimbizi wa Burundi na jamii ya Tanzania

Habari za asubuhi,Tafadhali pokea CODES hapa chini<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametoa dola za Marekani milioni 100 (US$ 100m, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 220) kutoka katika Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) kwa shughuli za misaada katika maeneo tisa yenye dharura duniani na yasiyo na fedha...
Read More :- "[wanabidii] Mfuko wa Dharura wa UN watoa Dola Milioni 11 kusaidia wakimbizi wa Burundi na jamii ya Tanzania"

[wanabidii] Mjengwablog.com Imekuchagulia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatatu...

http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/24557-habari-za-ndani-magazeti-ya-leo.html#.Vq7aRrIrLIU -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole...
Read More :- "[wanabidii] Mjengwablog.com Imekuchagulia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatatu..."

[wanabidii] Magazeti Leo Jumatatu...

http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/24556-magazeti-ya-leo-jumatatu.html#.Vq7XXLIrLIU -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility...
Read More :- "[wanabidii] Magazeti Leo Jumatatu..."

[wanabidii] Top Headlines: Woman can be 'karta'of a family: Delhi high court

Daily Newsletter | Monday, February 01, 2016TOP HEADLINESMORE » Woman can be ‘karta’of a family: Delhi high courtThe eldest female member of a family can be its “Karta”, the Delhi high court has ruled in a landmark verdict. A unique position carved out by Hindu customs and ancient texts, “Karta” denotes managership of a joint family and...
Read More :- "[wanabidii] Top Headlines: Woman can be 'karta'of a family: Delhi high court"

[wanabidii] 6 things no one tells you about working at Google

View this message in your browser TOI TechYour one-stop destination for everything tech01 February 2016 Tech Home | Tech News | Reviews | Jobs | Social | IT Services | Slideshows | How To | Mobiles | PCs   6 things no one tells...
Read More :- "[wanabidii] 6 things no one tells you about working at Google"