Nkya. Sijawa na uhakika juu ya ufisadi wa serikali na namna ya kuipata serikali hiyo na kuiwajibisha.
Lakini nina uhakika na ufisadi wa binadamu (individuals) walioko na waliokuwa serikalini ambao waliufanya ufisadi huo. Hao ndio tunataka kulia nao. Wengine walizuia mawazo ya wananchi kupita na kutuletea katiba bandia. Ninajua tunahitaji mtu ambaye ataliongoza taifa kuipata Katiba hiyo. Bila shaka awe yule mwenye historia isiyotiliwa shaka. Tunayemtilia shaka tutaendelea kumtilia shaka popote atakapokuwa. Kama tutag'ang'ania CCM bila kuingia ndani ya CCM kuona kulikuwa na nani wakati fulani na sasa kuna nani ipo siku tutaendelea kuinyooshea vidole CCM na wanyooshaji wakubwa wakiwa CCM ya zamani na sisi tukawaona wasafi kwasababu tu wamehama CCM. Hii nayo wananchi wameiona na itadhibitika 25 October kwa wale ambao hawajaona.
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 10/7/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 7, 2015, 12:56 AM
Elisa, fisadi papa ni serikali ya CCM
yenyewe (rejea EPA na Tegeta Escrow). Hivyo CCM ikingolewa
madarakani kisha Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi ikiandika--mazingira yanayofanya serikali kuwa
fisadi yatakuwa yameondolewa. Unang'ang'ana na Lowassa bure
unajidanganya wananchi wenyewe wanajua mzizi wa ufisadi uko
wapi na ndiyo sababu wameamua kufanya mabadiliko kwa
kuongozwa na Lowassa. Patamu hapo.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Tue, 10/6/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:49 PM
Hakuna kilichoisha ili mradi
kinachangia kufanya uamuzi tarehe 25 October. sauli
alibadilishwa. baada ya kubadilishwa hakuendelea kutetea
msimamo wake wa kuwaua wanafunzi wa Yesu. hakuna
aliyejitokeza kuyaanika madhambi yake ili tumlinganishe na
Sauli
--------------------------------------------
On Tue, 10/6/15, 'Paschal Leon' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:13 AM
achana na
mambo yaliyopita, nani alijua Sauli (Paulo)
angebadilika
na
kuhubiri Injili?
On Monday, October
5, 2015 10:42 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mike.
Wewe naweza kupata pa kuanzia kukujibu. Ni
kweli viongozi wa CCM wameharibu. Njia pekee ilikuwa
ni
kuiondoa CCM madarakani na kuweka chama kingine
makini.
Baada ya mambo mawili kutokea
1) Chama
kilichokuwa kinaonekana kuwa makini kushindwa kumpa
nafasi
mtu ambaye watanzania walimuona kama mtu makini;
badala
yake
akachaguliwa mtu aliyenyomwa nafasi hiyo toka CCM na
huku
akiandamwa na tuhuma lukuki za ufisadi. NA
2) baada ya kuona CCM imeanza kusoma alama za
nyakati na kuwanyima nafasi mafisadi kugombea urais,
badala
yake ikamteua mtu anayejitegemea na mwenye rekodi
nzuri
katika uadilifu na utendaji wake tena katika
mazingira
magumu-Watanzania wameamua kuchagua mabadiliko
kupitia
CCM.
Ni kweli hii inawafanya watu waliokwisha ichukia CCM
na
wale
walio na sababu za kutaka kuchagua kwa kutumia
misingi
yajiografia ya nchi kuungana kuendelea kuikataa CCM
na
mgombea wake. lakini mazingira yanaonyesha magufuli
atashinda. ikiwa hivyo si kuwa CCM itamdhibiti
Magufuli
bali
Magufuli anaizika CCM na kuibuka na CCM nyingine
ambayo
ilikuwepo enzi za mwalimu. Tuisubiri. haiepukiki.
Tutaishuhudia.
--------------------------------------------
On Mon, 10/5/15, 'Mike Zunzu' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 5, 2015, 8:05 PM
Cha
kufurahisha kuliko vyote ni kuli CCM kujitambua kuwa
wamenyea kambi, kiasi kwamba wanaogopa hata
kutamka kuwa
chama hicho kinamtu anaomba
urais kwa ridhaa ya chama
hicho.Bahati
mbaya sana watu wetu siyo wote wanawezanua
vitu kama hivyo,
baada ya kuona wanaogopa
kutumia jina basi wananchi
wangelikuwa
anajiuliza kulikoni? Mbona safari hii haiombi
kuchaguliwa, wamejificha chini ya mgogo wa
mgombea
wao.Kama
unataka
kufahamu CCM wapo puta, acha Mgufuli ashinde,
watamwambie wewe kazi yako ni kukaa mlangoni,
wenye funguo
ni sisi. Hao aliodhani
atawadhiti, yeye ndiye
watakayemdhibiti.
Tuombee
isije ikatokea
mbahati mbaya kama hiyo.
On
Monday, 5 October
2015, 17:55,
'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
MAGUFULI AKICHAGULIWA
UFIDADI NA UMASKINI VITAONGEZEKA
Ananilea Nkya
Watu wanaokampeni kushawishi
Watanzania
wamchague John Magufuli kuwa
Rais wa tano wa Tanzania
kwa kutumia
kigezo cha uadilifu wanadhani ataweza kuzuia
serikali ya CCM kuwa fisadi na hivyo umaskini
wa wananchi
kupungua.
Kimsingi
wanajidanganya
maana Magufuli akichaguliwa ufisadi wa
kimfumo unaofanywa na serikali ya CCM ili
chama hicho
kibaki madarakani utaendelea
kwa kasi na hivyo pengo kati
ya watawala
wachache kutajirika kufuru na mamilioni ya
wananchi maskini wa kutupa litaongezeka mara
dufu.
Nchi yetu ilipopata
uhuru
maadui wa ustawi wa wananchi walikuwa
ni watatu—adui mkuu
ujinga— na adui
wengine wawili wanaotokana na
ujinga---adui umaskini na adui maradhi.
Lakini katika zama hizi za
utandawazi na demokrasia ya vyama vingi vya
siasa
ameongezeka adui mwingine hatari
nchini kwetu--adui
ufisadi. Ufisadi
ameshamiri nchini baada ya mfumo wa vyama
vingi vya siasa kuanza mwaka 1992.
Chanzo cha ufisadi nchini ni CCM
kung'ang'ania madaraka kwa kutumia nguvu
ya fedha na
hivyo serikali yake kila
inapochaguliwa hugeuka kuwa
fisadi na
kuiba fedha na mali za umma.
Hivyo, ikitokea Magufuli akichaguliwa
wananchi wengi wataendelea kuwa maskini kwa
sababu
inaelekea Magufuli mwenyewe au
hajui au aamini kwamba
chanzo cha
umaskini nchini ni serikali ya CCM kuwa
fisadi na kuendekeza rushwa, ubabe, giliba,
uongo na siasa
za maji taka kushinda
uchaguzi.
Inaelekea
Magufuli hajatambua kuwa kuzuia
ufisadi
unaozaa mafuriko ya wananchi maskini Tanzania
kunahitaji nchi iweke misingi ya kikatiba,
lakini CCM
kwa kukataa Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi
isiandikwe 2014 iliikataa misingi hiyo kwa
sababu
kinajua kinanufaika kubaki madarakani
kutokana na
udhaifu wa kikatiba uliopo
sasa.
CCM inachofanya
sasa ni Magufuli kuwapumbaza
wananchi
kwamba eti baada ya yeye kuteuliwa kugombea Urais
kwa tiketi ya CCM, mafisadi wameanza
kuikimbia CCM.
Magufuli
anataka
kuwaaminisha Watanzania kuwa
umaskini unakabili
mamilioni ya
Watanzania umesababishwa na wanaCCM
walioondoka kwenye chama hicho baada ya yeye
kuteuliwa
kugombea Urais!
Pengine
ndiyo sababu
Magufuli anaahidi kwenye kampeni zake kwamba
akichaguliwa Rais ataanzisha mahakama ya
mafisadi kama
alivyokaririwa kwenye
mikutano yake ya kampeni huko
Dodoma.
Ninanukuu:
''Baadhi ya mafisadi wezi wameanza kukimbia baada
ya
CCM
kuniteua mgombea urais lakini nikiingia
Ikulu, nitawafuata
huko waliko ili
niwashughulikie vizuri ndiyo maana nimesema
nitaunda mahakama ya mafisadi''
Wananchi wanajiuliza kama ufisadi wa fedha
na
mali za nchi unafanywa na serikali
inayopewa dhamana ya
kuwa mlinzi wa fedha
na mali za Watanzania endapo Magufuli
atachaguliwa na serikali yake kuunda mahakama ya
mafisadi, je majaji wa mahakama hiyo
watapata wapi
ujasiri wa kumtia hatiani
fisadi mkuu (serikali) wakati
kiongozi
mkuu wa serikali (Magufuli) ndiye atakuwa
amewateua majaji wa mahakama hiyo? Je serikali
inaweza
kujihukumu yenyewe?
Aidha
wananchi
wanajiuliza je serikali ya CCM imekuwa
ikishindwa kuchukua hatua za kisheria
kudhibiti ufisadi
wa fedha na mali za
umma unaofanywa na serikali ya kwa
vile
nchi haina mahakama maalumu ya kushughulikia kesi
za
ufisadi au ni kwa vile chama chao ni mnufaika
wa ufisadi?
Wananchi
wanauliza swali hili
kwa sababu ipo
mifano mingi kuonyesha serikali ya
CCM
ni fisadi .
Mfano wa
kwanza: Ufisadi wa EPA kuiba kwenye Akaunti
ya EPA benki
kuu jumla ya shilingi bilioni
133 mwaka 2005/6. Wananchi
walishangaa
kuona Rais wa Jamhuri yetu alivyopata
kigugumizi kwenye ufisadi huo.
Wananchi wanajiuliza ilikuwaje mlinzi
mkuu
(serikali ya CCM) kama kweli
haikunufaika na ufisadi wa
EPA
haikuchukizwa na kitendo hicho cha aibu na kuchukua
hatu
za kisheria?
Kadhalika
wananchi
wanajiuliza, kama kweli wizi huo wa EPA
haukuhusisha serikali yenyewe kunufaisha CCM ni kwa
nini
serikali ya CCM ilisema waliokwapua fedha hizo
wamepewa muda
wa kuzirejesha benki na
hadi leo (miaka 10 baadaye)
haijawatangazia
Watanzania hatma ya fedha hizo?
Mfano wa pili: Ufisadi wa
Richmond. Kukotana na ukosefu wa umeme nchini
serikali ya
CCM iliingia mkataba na kampuni ya kigeni
Richmond ili nchi
ipate umeme.
Kabla
kampuni hiyo kuanza kuzalisha umeme zilitoka tuhuma
kwamba
Richmond ilikuwa ni kampuni feki.
Wakati huo Edward
Lowassa alikuwa Waziri
Mkuu, kimamlaka
hakuwa Waziri wa Nishati, lakini
aliamua kujiuzulu kulinda heshima ya serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya kujiuzulu
Lowassa kampuni ya Dowans iliyoirithi
Richmond
iliendelea kulipwa fedha nyingi
kila mwezi hadi zikafikia
bilioni 172.
Wananchi
wanajiuliza kama CCM ilikuwa hainufaiki na
mabilioni
hayo yaliyokuwa yanalipwa
Dowans na kwamba mnufaika wa
ufisadi huo
alikuwa ni Lowassa ni kwa nini Dowans
waliendelea kulipwa baada ya Lowassa kuachia ngazi?
Ni
kwa
nini Lowassa hajafikishwa mahakamani
hadi leo kama tuhuma
dhidi yake zina
ushahidi?
Mfano wa tatu:
Ufisadi wa kuuza kwa bei
chee nyumba
za Watanzania zenye thamani ya mabilioni ya
shilingi huku leo hii serikali ikitumia fedha
nyingi
za
umma kuwapangishia makazi hotelini
watawala.
Wananchi
wanafahamu kuwa
msimamizi wa
uuzwaji wa nyumba hizo ulifanyika
wakati Magufuli akiwa na Waziri nyumba na makazi.
Karibu nyumba za umma
elfu
kumi ziliondoka mikononi mwa umma na
hadi leo Watanzania
hawajaelezwa
zilipatikana shilingi ngapi kwenye mauzo ya
nyumba hizo na zilitumika kufanya jambo gani la
kuwaondolea wananchi umaskini.
Aidha
katika uuzaji wa nyumba
za umma Magufuli anatuhumiwa
kuwauzia
baadhi ya ndugu zake .
Wananchi
wanajiuliza kama Magufuli na Lowassa wote
walikuwa ni
watendaji katika serikali ya
CCM, na wote ufisadi
umefanyika
kwenye maeneo ambayo walikuwa na dhamana, ni
kwa nini leo Magufuli anashabikiwa na
CCM kuwa ni
mwadilifu ili hali Lowassa
akipakaziwa ufisadi ?
Aidha, wananchi wanauliza
ufisadi kwa
Magufuli katika kusimamia kwa niaba ya
serikali ya CCM uuzaji kwa bei poa nyumba za umma
umetoweka kwa vile tu anagombea Urais kwa
tiketi ya CCM na
tuhuma za ufisadi kwa
Lowassa mkataba wa Richmond umebaki
kwa
sababu tu ameamua kuondoka CCM na kugombea Urais
kwa
tiketi ya CHADEMA --chama kinachowakilisha
vyama vinne vya
upinzani vinavyoundwa Umoja
wa Katiba ya Wananchi-UKAWA?
Mfano wa Nne: Ufisadi wa
Tegeta escrow 2014, serikali ya CCM ilifisadi
bilioni
306.
Watuhumiwa wa ufisadi huo walienea
ofisi mbali mbali za
serikali hadi
ofisi kuu ya ya nchi --Ikulu
inayopaswa kuwa mahali patakatifu ilihusishwa na
ufisadi
huo!
Tena
wananchi
walielezwa jinsi mabilioni ya
fedha hizo
zilivyokwapuliwa kibabe
nyingine zikibebwa kwa magunia
na
tandarusi mchana kweupe.
Watawala wa CCM waliopaswa kujiuzulu kama
Lowassa alivyojiuzulu na kisha kupakaziwa ufisadi
tuliona
jinsi walivyosafishwa na serikali
ya CCM yenyewe!
Wananchi
wanajiuliza kama
ufisadi wa Richmond
haukuwa mkakati wa CCM wa kutumia siasa
za
maji taka kumtoa Lowassa kafara wa ufisadi
kudanganya
wananchi kwamba serikali ya CCM siyo
fisadi bali fisadi
ni Lowassa ni kwa
nini Magufuli kwa dhamana yake kama
Waziri wa Nyumba alisimamia ufisadi wa nyumba za
umma
CCM inamuona mwadilifu na Waziri wa
nishati Muhongo
aliyekuwa na dhamana
wakati wa ufisadi wa Tegeta escrow
alisafishwa ili hali Lowassa aliyesimamia
ufisadi
wa
mkataba wa Richmond anapakaziwa
ufisadi?
Zaidi wananchi
wanajiuliza
kama chanzo cha ufisadi
nchini kama vile Magufuli na CCM
wanayotaka
kuaminisha umma ni LOwassa na wengine walioondoka
CCM, je ni kwa nini serikali ya CCM
imekumbwa na
ufisadi wa Tegeta escrow
miaka saba baada ya Lowassa
kujiuzulu
uwaziri mkuu?
Hakika ziko
fisadi nyingi zilizohusisha
viongozi wa
serikali ya CCM iwe ni kwenye miradi ya
kitaifa au kwenye halmashauri na mikataba ya mali
za
nchi kama vile madini kuonyesha kwamba
umaskini wa
wananchi unasababisha na
ufisadi wa serikali ya CCM.
Ndiyo sababu kwa kutumia
mifano hii minne wananchi wanajiuliza ni kwa
nini
CCM
imtoe Edward Lowassa kafara wa
ufisadi ili hali
serikali ya CCM ndiyo
fisadi?
Kadhalika
wananchi wanajiuliza ni kwa nini
Edward
Lowassa ambaye ameamua kuondoka CCM kutumia haki
yake ya kikatiba kutimiza ndoto yake ya
kugombea Urais ,
CCM inamuona tishio na
hafai kuwa Rais?
Kama
alikuwa hafai kuwa Rais kutokana na
ufisadi ilikuwaje alipewa dhamana kubwa ndani ya
serikali
ya CCM kuanzia uwaziri hadi Waziri
Mkuu na akajiuzulu
uwaziri mkuu ili kuzuia
serikali ya chama chake isianguke
kutokana
na ufisadi?
Wananchi
wanajiuliza hivi tatizo hapa ni
ufisadi wa
Lowassa kweli au ni CCM kutaka
kung'ang'ania madaraka ya kuongoza hata kama
wananchi
whawakitaki tena chama hicho
kiongoze nchi?
Wananchi pia wanajiuliza hivi
tatizo ni
Lowassa ambaye anao uzoefu mkubwa wa kuongoza
serikali na ambaye rekodi yake inaonyesha
kuwa ni mchapa
kazi au tatizo ni kwa vile
anagombea Urais kupitia
CHADEM-UKAWA
na wananchi wamemkubali ingawa CCM
ilidhani umma ungemkataa kutokana na kuchafuliwa
kimkakati
kwa ufisadi?
Wananchi
wanajiuliza kama Magufuli ni mwadilifu
kuliko
Lowassa na kwamba CCM siyo inayonufaika na
ufisadi
unaofanywa na watumishi wa
serikali yake ni kwa nini CCM
wamekataa
kuandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba
kuziba mianya
kwa serikali ya chama
chochote kuwa fisadi wa fedha na
mali za
wananchi?
Wananchi
wanajiuliza ni kwa nini CCM inahaha
kumzuia Lowassa
kuwa Rais wa Jamhuri
kama CCM haiogopi hatari ya
kuachia
chama kingine kuingia madarakani wakati nchi
haijaweka misingi ya kuzuia serikali kuwa
fisadi na hivyo
wanaogopa kuwa serikali
ya CHADEMA na UKAWA nayo itakuwa
fisadi
kama ilivyokuwa serikali ya CCM?
Wananchi wanajiuliza kama Magufuli ni
mwadilifu kuliko Lowassa na kwamba CCM
siyo
inayonufaika na ufisadi unaofanywa na
serikali yake ni kwa
nini CCM wamekataa
kuandika Katiba Mpya inayotokana na maoni
ya wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba
itakayoziba
mianya serikali ya chama chochote kuwa
fisadi wa fedha
na mali za wananchi?
Vile
vile
wananchi wanajiuliza, kama Rais Jakaya Kikwete
ambaye
mwaka 2005 alipigiwa kampeni na CCM kuwa
ni mwadilifu,
kama anavyonadiwa Magufuli
sasa lakini kwa miaka 10
umaskini wa
wananchi umeongezeka –deni la taifa
limeongezeka kila Mtanzania anatakiwa kulipa
shilingi
800,000/-—je Magufuli atakuwa na ubavu gani
wa kuifanya
CCM na serikali yake
isiendelee kuwa fisadi?
Ni kutokana na hoja hizi ndiyo
sababu
wananchi wengi wanaona kumchagua Magufuli kuwa Rais
wa Tanzania ni kuchagua ufisadi na ni
kuchagua mamilioni
ya watanzania waendelee
na umaskini. HAIKUBALIKI.
Tena wakati mamilioni ya
wananchi
wanaendelea kuwa maskini watawala wa serikali ya
CCM, familia zao, wapambe wao kwenye kampeni
na marafiki
zao wataendelea
kujitajirisha kufuru na kwa kujigawia
fedha
na mali zinazopaswa kunufaisha Watanzania wote.
Ndiyo sababu wananchi
sasa
wanahamasishana kutambua kuwa
kumchagua Magufuli ni
kuichagua CCM na ni
kama kumpa tena ya ulinzi mlizi
mwizi!
Wananchi wanaona
ni
afadhali kuichagua CHADEMA-UKAWA kwa
sababu kwanza
mgombea wake wa Urais
Lowassa huenda akaonyesha
uadilifu na
uchapakazi wa hali ya juu kuwathibitishia
Watanzania kwamba CCM amepakaziwa na kutolewa
kafara ufisadi
ili CCM iendelee kubaki
madarakani bila kujulikana kwamba
serikali
yake ndiye malkia wa ufisadi nchini.
Wananchi wanatambua kuwa
kuirejesha CCM Ikulu kasi ya umaskini
itaongezeka
kwa
wananchi wengi kuaendelea kukosa
kipato, kukosa elimu
bure na bora hadi chuo
kikuu kuondoa adui ujinga na
wizi,
biashara chafu, uvunjifu wa haki za binadamu na
serikali kuwa mbabe, dikteta mminya
demokrasia
vitaongezeka na hivyo kuvuruga
amani ya nchi yetu.
Hivyo ni muhimu serikali ya
CCM ikaacha
sauti na maamuzi ya wananchi isikike katika
uchaguzi mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 ili endapo
wananchi wataamua kumchagua Lowassa kama
Rais wao
kupitia CHADEMA inayowakilisha
vyama vinavyounda Umoja
wa Katiba ya
Wananchi (UKAWA), waandike Katiba Mpya
inayotokana na maoni ya wananchi na
wasipofanya hivyo
uchaguzi wa 2010
wananchi wawanyang'anye madaraka.
Katiba mpya siyo tu
itampunguza madaraka ya Rais kuhusu uteuzi wa
watendaji
ikiwa ni pamoja na majaji wa mahakama, bali
pia itaweka
misingi ambayo mihimili
mitatu ya utawala wa nchi
---Serikali,
Bunge na Mahakama vitakuwa haviingiliani.
Kwa hivyo serikali ya chama
chochote ikiiingia madarakani na ikafanya
ufisadi
itawajibishwa na wananchi nao
wataacha na wizi na ujambazi
wa kutumia
silaha kujitajirisha kama watawala wao wanavyoiba
fedha za umma kwa kutumia ujambazi wa
kalamu.
Katiba Mpya ya
wananchi
ikiandikwa, serikali ikifisadi
fedha na mali za wananchi
itashtakiwa
na majaji hawataogopa kuihukumu serikali
bila kuipendelea kwa sababu hawatakuwa na
woga wa
kupoteza ajira.
Hayo ndiyo
mabadiliko
wanayotaka wananchi wa Tanzania katika
kukomesha ufisadi wa kimfumo ili kuepusha ongezeko
la
wananchi masikini wa kutupa kunakohatarisha
amani na umoja
wa kweli katika nchi
yetu.
Lakini CCM na
serikali yake vikitumia rushwa,
ubabe na
uchakachuaji katika uchaguzi wa tarehe 25 na
kushinda uchaguzi, tuendako serikali ya CCM
itafanya
ufisadi mkubwa zaidi, tena
ikitumia ubabe, udikteta na
dharau kubwa
kwa vyama vya upinzani na wananchi kwa
ujumla. Mungu ibariki Tanzania.
Note: Ninaruhusu yeyote anayetaka kutumia
,
kuchapisha au kusambaza andiko hili
afanye hivyo.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any
legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you agree to this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it,
send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment