Kuna wakati Mollel unanikumbusha hotuba za Idi amin alipokuwa akijieleza kama kiongozi maarufu Africa. Najua siku inafika Inzi atajipongeza kwa kushirikiana na tembo kulitingisha daraja mpaka likakaribia kuvunjika kwa sababu tu wakati tembo akivuka daraja nzi alikuwa mgongoni mwa tembo. Sina taabu kuelewa maelezo haya chini licha ya kukosa ceherency. Ninaamini unafuatilia kqmpeni zote unasikiliza ya maana na utumbo unaosemwa na viongozi wetu wagombea. Na wapiga kura wengi wanasikiliza na wengi zaidi wanafafanuliana. Hayo najua yanapuuzwa na watakaokuja kusema tumeibiwa kura na kuanza kusaidia ulimwengu kufikiri ulinzi wa taifa hili utapatikana ICC. Ukishindwa kuelewa usipayuke. Nyamaza tu. Hakuna atakayeuelewa mwisho wa uelewa wako.
--------------------------------------------
On Wed, 10/7/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To: "'Leticia Maruma' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 7, 2015, 2:44 AM
Mama nkya huyo mzee elisa
hua nahis anakremu,haelew anaongea nn,yeye ni kTi ya mijitu
isioona mbele na baht mbaya hata mia hawajampa basi
anakariri tu,kwake yeye anavokariri mbay tanzania hii ni
lowasa,wkt cc kaama wananchi tushaaamua baada ya
kung'amua ukweli kua lowasa si mwizi wala fisadi hata
kidogo ccm ndo ina majizi na mfisadi papa....
Cha kumsaidia tu ni kwamba kama alivyo dada
yake happyness katabaz,wanaoamini kua mungu yupo mtakuja
kuona trh 25 oct....lowasa ni chaguo la mungu,uyoke mapovu
utukuane cc na watanzania tushaamua kumpa lowasa....marufuku
kutoa lugha chafu kwakiongozi wetu mpendwa,kama kina kuuuma
kaa kimya,shut uuuup..kila siku lowasa lowasa...kakukosea
nn,mbn hutaji kina jk,kina chenge,kina tibaijuka,kina
ngeleja na muhonga au kwako hawa ninwaakatifu...kasha ipi
kubwa'escrow,epA....sukar,kashfa kibao..mbn hao jamaa
leo ni wagombea ubunge na mmewabriki na kuwaita wabrikiwa na
mashujaaaaa....mama tibaijuka ashakataliwa live na wananchi
lakin mmempitish a au hujui ni watuhumiwa wakubwaaa...achana
na mzee elisa aishie na hoja zako zisizo na mashiko za
kukariri na chuki binafsi'uzuri yeye si mungu
Lesian
'Leticia Maruma' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Sent
from Yahoo Mail on Android From:"'ananilea
nkya' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:Wed, 7 Oct, 2015 at 12:56 AM
Subject:Re: [wanabidii] MAGUFULI NA
UFISADI
Elisa, fisadi papa ni serikali
ya CCM yenyewe (rejea EPA na Tegeta Escrow). Hivyo CCM
ikingolewa madarakani kisha Katiba Mpya inayotokana na
maoni ya wananchi ikiandika--mazingira yanayofanya serikali
kuwa fisadi yatakuwa yameondolewa. Unang'ang'ana na
Lowassa bure unajidanganya wananchi wenyewe
wanajua mzizi wa ufisadi uko wapi na ndiyo sababu wameamua
kufanya mabadiliko kwa kuongozwa na Lowassa. Patamu hapo.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Tue, 10/6/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
MAGUFULI NA UFISADI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:49 PM
Hakuna kilichoisha ili mradi
kinachangia kufanya uamuzi tarehe 25 October. sauli
alibadilishwa. baada ya kubadilishwa
hakuendelea kutetea
msimamo wake wa kuwaua
wanafunzi wa Yesu. hakuna
aliyejitokeza
kuyaanika madhambi yake ili tumlinganishe na
Sauli
--------------------------------------------
On Tue, 10/6/15, 'Paschal Leon' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAGUFULI NA UFISADI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 6, 2015, 6:13 AM
achana na
mambo yaliyopita, nani alijua Sauli (Paulo)
angebadilika
na
kuhubiri
Injili?
On Monday,
October
5, 2015 10:42 PM, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mike.
Wewe naweza kupata pa kuanzia kukujibu.
Ni
kweli viongozi wa CCM wameharibu. Njia
pekee ilikuwa ni
kuiondoa CCM madarakani
na kuweka chama kingine makini.
Baada ya
mambo mawili kutokea
1) Chama
kilichokuwa kinaonekana kuwa makini
kushindwa kumpa nafasi
mtu ambaye
watanzania walimuona kama mtu makini; badala
yake
akachaguliwa mtu
aliyenyomwa nafasi hiyo toka CCM na huku
akiandamwa na tuhuma lukuki za ufisadi. NA
2) baada ya kuona CCM imeanza kusoma alama
za
nyakati na kuwanyima nafasi mafisadi
kugombea urais,
badala
yake ikamteua mtu anayejitegemea na mwenye rekodi nzuri
katika uadilifu na utendaji wake tena katika
mazingira
magumu-Watanzania wameamua
kuchagua mabadiliko kupitia
CCM.
Ni kweli hii inawafanya watu waliokwisha
ichukia CCM na
wale
walio
na sababu za kutaka kuchagua kwa kutumia misingi
yajiografia ya nchi kuungana kuendelea
kuikataa CCM na
mgombea wake. lakini
mazingira yanaonyesha magufuli
atashinda.
ikiwa hivyo si kuwa CCM itamdhibiti Magufuli
bali
Magufuli anaizika CCM
na kuibuka na CCM nyingine ambayo
ilikuwepo enzi za mwalimu. Tuisubiri. haiepukiki.
Tutaishuhudia.
--------------------------------------------
On Mon, 10/5/15, 'Mike Zunzu' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAGUFULI NA
UFISADI
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 5, 2015, 8:05 PM
Cha
kufurahisha kuliko vyote ni kuli CCM
kujitambua kuwa
wamenyea kambi, kiasi
kwamba wanaogopa hata
kutamka kuwa
chama hicho kinamtu anaomba
urais kwa ridhaa ya chama
hicho.Bahati
mbaya sana watu wetu
siyo wote wanawezanua
vitu kama hivyo,
baada ya kuona wanaogopa
kutumia jina basi wananchi
wangelikuwa
anajiuliza kulikoni? Mbona
safari hii haiombi
kuchaguliwa,
wamejificha chini ya mgogo wa
mgombea
wao.Kama
unataka
kufahamu CCM wapo puta, acha Mgufuli
ashinde,
watamwambie wewe kazi yako ni
kukaa mlangoni,
wenye funguo
ni sisi. Hao aliodhani
atawadhiti, yeye ndiye
watakayemdhibiti.
Tuombee
isije ikatokea
mbahati
mbaya
kama hiyo.
On
Monday, 5 October
2015,
17:55,
'ananilea nkya' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
MAGUFULI AKICHAGULIWA
UFIDADI NA UMASKINI VITAONGEZEKA
Ananilea Nkya
Watu wanaokampeni kushawishi
Watanzania
wamchague
John Magufuli kuwa
Rais wa tano wa
Tanzania
kwa kutumia
kigezo cha uadilifu wanadhani ataweza
kuzuia
serikali ya CCM kuwa fisadi na
hivyo umaskini
wa wananchi
kupungua.
Kimsingi
wanajidanganya
maana Magufuli
akichaguliwa ufisadi wa
kimfumo
unaofanywa na serikali ya CCM ili
chama
hicho
kibaki madarakani
utaendelea
kwa kasi na hivyo pengo
kati
ya watawala
wachache kutajirika kufuru na mamilioni ya
wananchi maskini wa kutupa litaongezeka
mara
dufu.
Nchi yetu ilipopata
uhuru
maadui wa ustawi wa wananchi
walikuwa
ni watatu—adui mkuu
ujinga— na adui
wengine wawili wanaotokana na
ujinga---adui umaskini na adui maradhi.
Lakini katika zama hizi za
utandawazi na demokrasia ya vyama vingi vya
siasa
ameongezeka adui
mwingine hatari
nchini kwetu--adui
ufisadi. Ufisadi
ameshamiri nchini baada ya mfumo wa vyama
vingi vya siasa kuanza mwaka 1992.
Chanzo cha ufisadi
nchini ni CCM
kung'ang'ania
madaraka kwa kutumia nguvu
ya fedha
na
hivyo serikali yake kila
inapochaguliwa hugeuka kuwa
fisadi
na
kuiba fedha na mali za umma.
Hivyo, ikitokea
Magufuli akichaguliwa
wananchi wengi
wataendelea kuwa maskini kwa
sababu
inaelekea Magufuli mwenyewe au
hajui au aamini kwamba
chanzo cha
umaskini nchini ni
serikali ya CCM kuwa
fisadi na
kuendekeza rushwa, ubabe, giliba,
uongo
na siasa
za maji taka kushinda
uchaguzi.
Inaelekea
Magufuli
hajatambua kuwa kuzuia
ufisadi
unaozaa mafuriko ya wananchi maskini
Tanzania
kunahitaji nchi iweke misingi
ya kikatiba,
lakini CCM
kwa kukataa Katiba Mpya
inayotokana
na maoni ya wananchi
isiandikwe 2014 iliikataa misingi hiyo
kwa sababu
kinajua kinanufaika
kubaki madarakani
kutokana na
udhaifu wa kikatiba
uliopo
sasa.
CCM inachofanya
sasa ni
Magufuli kuwapumbaza
wananchi
kwamba eti baada ya yeye kuteuliwa
kugombea Urais
kwa tiketi ya CCM,
mafisadi wameanza
kuikimbia CCM.
Magufuli
anataka
kuwaaminisha
Watanzania kuwa
umaskini unakabili
mamilioni ya
Watanzania umesababishwa na wanaCCM
walioondoka kwenye chama hicho baada ya yeye
kuteuliwa
kugombea Urais!
Pengine
ndiyo sababu
Magufuli
anaahidi kwenye kampeni zake kwamba
akichaguliwa Rais ataanzisha mahakama ya
mafisadi kama
alivyokaririwa kwenye
mikutano yake ya
kampeni huko
Dodoma.
Ninanukuu:
''Baadhi ya mafisadi wezi wameanza
kukimbia baada ya
CCM
kuniteua mgombea urais lakini nikiingia
Ikulu, nitawafuata
huko waliko ili
niwashughulikie vizuri ndiyo maana
nimesema
nitaunda
mahakama ya mafisadi''
Wananchi wanajiuliza kama ufisadi wa
fedha
na
mali za
nchi unafanywa na serikali
inayopewa
dhamana ya
kuwa mlinzi wa fedha
na mali za Watanzania endapo Magufuli
atachaguliwa na serikali
yake kuunda mahakama ya
mafisadi, je
majaji wa mahakama hiyo
watapata
wapi
ujasiri wa kumtia hatiani
fisadi mkuu (serikali) wakati
kiongozi
mkuu wa
serikali (Magufuli) ndiye atakuwa
amewateua majaji wa mahakama hiyo? Je
serikali inaweza
kujihukumu yenyewe?
Aidha
wananchi
wanajiuliza je
serikali ya CCM imekuwa
ikishindwa
kuchukua hatua za kisheria
kudhibiti
ufisadi
wa fedha na mali
za
umma unaofanywa na serikali ya
kwa
vile
nchi haina
mahakama maalumu ya kushughulikia kesi za
ufisadi au ni kwa vile chama chao ni mnufaika
wa ufisadi?
Wananchi
wanauliza swali
hili
kwa sababu ipo
mifano mingi kuonyesha serikali ya
CCM
ni fisadi .
Mfano wa
kwanza: Ufisadi wa EPA kuiba kwenye
Akaunti
ya EPA benki
kuu jumla ya shilingi bilioni
133 mwaka
2005/6. Wananchi
walishangaa
kuona Rais wa Jamhuri yetu alivyopata
kigugumizi kwenye
ufisadi huo.
Wananchi wanajiuliza ilikuwaje mlinzi
mkuu
(serikali ya CCM) kama kweli
haikunufaika na ufisadi wa
EPA
haikuchukizwa na
kitendo hicho cha aibu na kuchukua hatu
za kisheria?
Kadhalika
wananchi
wanajiuliza, kama kweli wizi
huo wa EPA
haukuhusisha serikali yenyewe kunufaisha CCM ni kwa nini
serikali ya CCM ilisema waliokwapua fedha
hizo
wamepewa muda
wa
kuzirejesha benki na
hadi leo (miaka 10
baadaye)
haijawatangazia
Watanzania hatma ya fedha hizo?
Mfano wa pili: Ufisadi
wa
Richmond. Kukotana
na ukosefu wa umeme nchini serikali ya
CCM iliingia mkataba na kampuni ya kigeni
Richmond ili nchi
ipate umeme.
Kabla
kampuni hiyo kuanza
kuzalisha umeme zilitoka tuhuma
kwamba
Richmond ilikuwa ni kampuni feki.
Wakati huo Edward
Lowassa alikuwa
Waziri
Mkuu, kimamlaka
hakuwa Waziri wa Nishati, lakini
aliamua kujiuzulu
kulinda heshima ya serikali.
Lakini
cha
kushangaza baada ya kujiuzulu
Lowassa
kampuni ya Dowans iliyoirithi
Richmond
iliendelea kulipwa fedha
nyingi
kila mwezi hadi zikafikia
bilioni 172.
Wananchi
wanajiuliza kama CCM ilikuwa
hainufaiki na
mabilioni
hayo yaliyokuwa yanalipwa
Dowans na kwamba mnufaika wa
ufisadi huo
alikuwa ni
Lowassa ni kwa nini Dowans
waliendelea kulipwa baada ya Lowassa kuachia
ngazi? Ni
kwa
nini
Lowassa hajafikishwa mahakamani
hadi leo
kama tuhuma
dhidi yake zina
ushahidi?
Mfano wa tatu:
Ufisadi
wa kuuza kwa bei
chee nyumba
za Watanzania zenye thamani ya mabilioni
ya
shilingi huku
leo hii serikali ikitumia fedha nyingi
za
umma kuwapangishia makazi
hotelini
watawala.
Wananchi
wanafahamu kuwa
msimamizi wa
uuzwaji wa nyumba hizo ulifanyika
wakati Magufuli akiwa na Waziri nyumba na
makazi.
Karibu
nyumba za umma
elfu
kumi ziliondoka mikononi mwa umma na
hadi
leo Watanzania
hawajaelezwa
zilipatikana shilingi ngapi kwenye mauzo
ya
nyumba hizo na
zilitumika kufanya jambo gani la
kuwaondolea wananchi umaskini.
Aidha
katika uuzaji wa nyumba
za umma Magufuli anatuhumiwa
kuwauzia
baadhi ya ndugu
zake .
Wananchi
wanajiuliza kama Magufuli na Lowassa wote
walikuwa ni
watendaji katika serikali
ya
CCM, na wote ufisadi
umefanyika
kwenye
maeneo ambayo walikuwa na dhamana, ni
kwa nini leo Magufuli anashabikiwa na
CCM kuwa ni
mwadilifu ili hali Lowassa
akipakaziwa ufisadi ?
Aidha, wananchi
wanauliza
ufisadi kwa
Magufuli katika kusimamia kwa niaba ya
serikali ya CCM uuzaji
kwa bei poa nyumba za umma
umetoweka
kwa vile tu anagombea Urais kwa
tiketi ya
CCM na
tuhuma za ufisadi kwa
Lowassa mkataba wa Richmond umebaki
kwa
sababu tu ameamua
kuondoka CCM na kugombea Urais kwa
tiketi ya CHADEMA --chama kinachowakilisha
vyama vinne vya
upinzani
vinavyoundwa Umoja
wa Katiba ya
Wananchi-UKAWA?
Mfano wa Nne: Ufisadi wa
Tegeta escrow 2014, serikali ya CCM
ilifisadi bilioni
306.
Watuhumiwa wa ufisadi huo walienea
ofisi mbali mbali za
serikali
hadi
ofisi kuu ya ya nchi
--Ikulu
inayopaswa
kuwa
mahali patakatifu ilihusishwa na ufisadi
huo!
Tena
wananchi
walielezwa
jinsi mabilioni ya
fedha hizo
zilivyokwapuliwa kibabe
nyingine zikibebwa kwa magunia
na
tandarusi mchana
kweupe.
Watawala wa CCM waliopaswa kujiuzulu kama
Lowassa alivyojiuzulu
na kisha kupakaziwa ufisadi
tuliona
jinsi walivyosafishwa na serikali
ya CCM yenyewe!
Wananchi
wanajiuliza
kama
ufisadi wa Richmond
haukuwa mkakati wa CCM wa kutumia siasa
za
maji taka kumtoa
Lowassa kafara wa ufisadi kudanganya
wananchi kwamba serikali ya CCM siyo
fisadi bali fisadi
ni Lowassa ni
kwa
nini Magufuli kwa dhamana yake
kama
Waziri wa
Nyumba alisimamia ufisadi wa nyumba za
umma
CCM inamuona mwadilifu na Waziri wa
nishati Muhongo
aliyekuwa na
dhamana
wakati wa ufisadi wa Tegeta
escrow
alisafishwa
ili hali Lowassa aliyesimamia ufisadi
wa
mkataba wa Richmond
anapakaziwa
ufisadi?
Zaidi wananchi
wanajiuliza
kama chanzo cha ufisadi
nchini kama vile Magufuli na CCM
wanayotaka
kuaminisha
umma ni LOwassa na wengine walioondoka
CCM, je ni kwa nini serikali ya CCM
imekumbwa na
ufisadi wa Tegeta
escrow
miaka saba baada ya Lowassa
kujiuzulu
uwaziri
mkuu?
Hakika
ziko
fisadi nyingi zilizohusisha
viongozi wa
serikali ya
CCM iwe ni kwenye miradi ya
kitaifa au kwenye halmashauri na
mikataba ya mali za
nchi kama vile
madini kuonyesha kwamba
umaskini
wa
wananchi unasababisha na
ufisadi wa serikali ya CCM.
Ndiyo sababu kwa kutumia
mifano hii minne
wananchi wanajiuliza ni kwa nini
CCM
imtoe Edward Lowassa kafara
wa
ufisadi ili hali
serikali ya CCM ndiyo
fisadi?
Kadhalika
wananchi wanajiuliza ni kwa
nini
Edward
Lowassa
ambaye ameamua kuondoka CCM kutumia haki
yake ya kikatiba kutimiza ndoto yake ya
kugombea Urais ,
CCM
inamuona tishio na
hafai kuwa Rais?
Kama
alikuwa hafai kuwa Rais kutokana na
ufisadi ilikuwaje
alipewa dhamana kubwa ndani ya
serikali
ya CCM kuanzia uwaziri hadi
Waziri
Mkuu na akajiuzulu
uwaziri mkuu ili kuzuia
serikali ya chama chake isianguke
kutokana
na ufisadi?
Wananchi
wanajiuliza hivi tatizo hapa ni
ufisadi
wa
Lowassa kweli au ni CCM kutaka
kung'ang'ania
madaraka ya kuongoza hata kama
wananchi
whawakitaki tena chama hicho
kiongoze nchi?
Wananchi pia wanajiuliza
hivi
tatizo ni
Lowassa ambaye anao uzoefu mkubwa wa kuongoza
serikali na ambaye rekodi yake
inaonyesha
kuwa ni mchapa
kazi au tatizo ni kwa vile
anagombea Urais kupitia
CHADEM-UKAWA
na wananchi
wamemkubali ingawa CCM
ilidhani umma ungemkataa kutokana na
kuchafuliwa
kimkakati
kwa ufisadi?
Wananchi
wanajiuliza kama Magufuli ni
mwadilifu kuliko
Lowassa na kwamba
CCM siyo inayonufaika na
ufisadi
unaofanywa na watumishi
wa
serikali yake ni kwa nini CCM
wamekataa
kuandika
Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba
kuziba mianya
kwa serikali ya
chama
chochote kuwa fisadi wa fedha
na
mali za
wananchi?
Wananchi
wanajiuliza ni kwa nini CCM
inahaha
kumzuia Lowassa
kuwa Rais wa Jamhuri
kama CCM haiogopi hatari ya
kuachia
chama kingine kuingia madarakani
wakati nchi
haijaweka misingi ya kuzuia
serikali kuwa
fisadi na hivyo
wanaogopa kuwa serikali
ya CHADEMA na UKAWA nayo itakuwa
fisadi
kama ilivyokuwa
serikali ya CCM?
Wananchi wanajiuliza kama Magufuli ni
mwadilifu kuliko Lowassa na kwamba CCM
siyo
inayonufaika na
ufisadi unaofanywa na
serikali yake ni
kwa
nini CCM wamekataa
kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni
ya wananchi ili kuweka misingi ya kikatiba itakayoziba
mianya serikali ya chama chochote
kuwa
fisadi wa fedha
na mali za wananchi?
Vile
vile
wananchi
wanajiuliza, kama Rais Jakaya Kikwete ambaye
mwaka 2005 alipigiwa kampeni na CCM
kuwa
ni mwadilifu,
kama anavyonadiwa Magufuli
sasa
lakini kwa miaka 10
umaskini wa
wananchi umeongezeka –deni la taifa
limeongezeka kila
Mtanzania anatakiwa kulipa shilingi
800,000/-—je Magufuli atakuwa na ubavu gani
wa kuifanya
CCM na
serikali yake
isiendelee kuwa fisadi?
Ni kutokana na hoja hizi ndiyo
sababu
wananchi wengi wanaona kumchagua Magufuli
kuwa Rais
wa Tanzania ni kuchagua
ufisadi na
ni
kuchagua mamilioni
ya watanzania waendelee
na umaskini.
HAIKUBALIKI.
Tena wakati mamilioni ya
wananchi
wanaendelea kuwa maskini
watawala wa serikali ya
CCM, familia
zao, wapambe wao kwenye kampeni
na
marafiki
zao wataendelea
kujitajirisha kufuru na kwa kujigawia
fedha
na mali
zinazopaswa kunufaisha Watanzania wote.
Ndiyo sababu wananchi
sasa
wanahamasishana
kutambua kuwa
kumchagua Magufuli ni
kuichagua CCM na ni
kama kumpa tena ya ulinzi mlizi
mwizi!
Wananchi wanaona
ni
afadhali kuichagua CHADEMA-UKAWA kwa
sababu kwanza
mgombea
wake wa Urais
Lowassa huenda
akaonyesha
uadilifu na
uchapakazi wa hali ya juu
kuwathibitishia
Watanzania
kwamba CCM amepakaziwa na kutolewa
kafara ufisadi
ili CCM iendelee
kubaki
madarakani bila kujulikana
kwamba
serikali
yake
ndiye malkia wa ufisadi nchini.
Wananchi wanatambua kuwa
kuirejesha CCM Ikulu kasi ya
umaskini itaongezeka
kwa
wananchi wengi kuaendelea kukosa
kipato, kukosa elimu
bure na bora hadi
chuo
kikuu kuondoa adui ujinga na
wizi,
biashara chafu,
uvunjifu wa haki za binadamu na
serikali kuwa mbabe, dikteta mminya
demokrasia
vitaongezeka na hivyo
kuvuruga
amani ya nchi yetu.
Hivyo ni muhimu serikali ya
CCM
ikaacha
sauti na maamuzi ya wananchi
isikike katika
uchaguzi mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 ili endapo
wananchi wataamua kumchagua Lowassa
kama
Rais
wao
kupitia CHADEMA inayowakilisha
vyama vinavyounda Umoja
wa Katiba ya
Wananchi (UKAWA),
waandike Katiba Mpya
inayotokana na
maoni ya wananchi na
wasipofanya hivyo
uchaguzi wa 2010
wananchi wawanyang'anye madaraka.
Katiba mpya siyo tu
itampunguza madaraka ya Rais kuhusu
uteuzi wa watendaji
ikiwa ni pamoja na
majaji wa mahakama, bali
pia itaweka
misingi ambayo mihimili
mitatu ya utawala wa nchi
---Serikali,
Bunge na Mahakama
vitakuwa haviingiliani.
Kwa hivyo serikali ya
chama
chochote ikiiingia madarakani na
ikafanya
ufisadi
itawajibishwa na wananchi nao
wataacha na
wizi na ujambazi
wa kutumia
silaha kujitajirisha kama watawala wao
wanavyoiba
fedha za umma kwa kutumia
ujambazi
wa
kalamu.
Katiba Mpya ya
wananchi
ikiandikwa, serikali
ikifisadi
fedha na mali za wananchi
itashtakiwa
na
majaji hawataogopa kuihukumu serikali
bila kuipendelea kwa sababu hawatakuwa na
woga wa
kupoteza
ajira.
Hayo ndiyo
mabadiliko
wanayotaka wananchi wa
Tanzania katika
kukomesha ufisadi wa kimfumo ili kuepusha ongezeko la
wananchi masikini wa kutupa
kunakohatarisha
amani na umoja
wa kweli katika nchi
yetu.
Lakini CCM
na
serikali yake vikitumia rushwa,
ubabe na
uchakachuaji
katika uchaguzi wa tarehe 25 na
kushinda uchaguzi, tuendako serikali ya CCM
itafanya
ufisadi
mkubwa zaidi, tena
ikitumia ubabe,
udikteta na
dharau kubwa
kwa vyama vya upinzani na wananchi kwa
ujumla. Mungu ibariki Tanzania.
Note: Ninaruhusu
yeyote anayetaka kutumia
,
kuchapisha au kusambaza andiko hili
afanye hivyo.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her
postings, and hence statements
and
facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that
you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this
group and stop
receiving emails from it,
send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and
hence statements
and facts must be
presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message
because you are
subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For
more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment