Monday, 12 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

Hv nyie kina reuben si mbakie ccm na mafisadi wenu papaaa.....
Mnamwonea lowasa jk jeeee...mbn mnashindwa kumtaja, ina maana yeye ndio msafi...yale mnaodhani ni ya lowasa sasa ni ya huyo boss wenu mnaemwogopa.....mtajen nae kama mnavyotokwa povu kwa lowasa kisa hajibu
Achen kujifanya hamwoni kinafiki,wez wote wako ccm ,uchafu wote uko ccm na hika zote zipo hapo
Mbn anaechGua hata jiwe kuliko ccm kuipa ccm kura ni kujifanya kichaa,nyie kwanza wengi wenu mnashinda na ma ipda makubwa kuchzt mnaendesha magar ya mikopo na hvo hata maisha ya vijiji vyetu hamyafaham
Najitaoa nimefanikiwa sana kutembea tanzania yote naifaham vzr, si halali kuendelea kuipa ccm nchi watanzania ni hoi vijijin, bira tuwape cdm ile iwe kama adhabu nao wakiharibu tuwape wengine italete changamoto kwa anaetaka kuongoza dola kkuliko kuendelea kuwabeba jamaaa wanaobweteka na kuona hata kama hawatawahudumia watanzania vilivyo wataendelea kupewa
Hv bara bara ya strabag mfano serikali inatamba kua ni inlet nzr ya kuingiza magar ya mataifa nane bado mnajenga kwa kiwango duni na nyembamba'ina maana hawaon mbeleeee' quit them out....tunaitaka njia kama za kenya
Kwa ccm bado nchi itakua na tabu na hasa huyu mgombea wao anaelipuka,nchi itachoka sana, boepra lowasa mara mia
Kura zote tumpe lowasa kama tuko serious
Lesian

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Bifabusha;
Ametubu?kwenye siasa sio kanisani hivyo kutubu sio agenda hata kdg.
Acha ubabaishaji,kuchaguliwa kiongozi kuna vigezo na kikubwa kimojawapo ni maadili.
Hakuna haki bila wajibu.
 
Reuben
Mob 0754/0655 885197



On Sunday, October 11, 2015 12:22 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:


Enough is enough. State house will never be life opportunity to few by just collecting from majority who contribute in term of capital while they have power of control, never again in Tanzania.
Mchakato wa kutetea nchi utengenezwe na kufanyiwa kazi instantly kabla ya Madhara makubwa.
1. Mkapa amkamate Kikwete, wafanye mbinu yoyote, kwa nguvu yoyote utawala usipotee. Kwa miaka 10 tunakuwa ndani ya mkakati mwingine mpya wa kutusogeza mbele kwenye mategemeo mengine mazuri sana.
Hilo wajue ni jukumu lao na wakishindwa tutawalaumu kwa kutupoteza njia.
We need Mkapa's brain here.
2. Kikwete, ni jukumu lako kusimama na kupiga kampeni ukimwelezea Lowassa na unafiki wa CDM kumsafisha, Fika kule CCM inapokubalika na upaze sauti, then habari zako ziwafikie pale usipokubalika kwa media maana ukienda utapigwa mawe bure. Kuna sehem watu hawakupendi kabisa. Huyu mtu alikuwa kwenye utawala wako na kafanya madudu akajiuzulu ukakubali. Onyesha innocence yako kwa kusema ubaya wa EDO. Toka nje tetea na rudisha nchi pale ulipoikuta. Okoa hatma ya nchi yako kwa maneno tu kutoka mdomoni. Kukaa kwako kimya kutakuletea laana ya watanzania katika kila hatua tutakayokuwa tunazidi kuumia. Umemaliza muda wako, lazima utupe mwelekeo mzuri wa kwenda!!! Simama mwongelee Lowassa yule uliyekubali ajiuzulu kwa kashfa nzito kuliko zote nchi hii. Tulikuamini tukakupa nchi yetu, tuambie umeifikisha wapi, na pale tulipoona kwa macho yetu ulikosea, tuelezee ulikwamishwa na nani? Ukweli utakuweka huru!
Gharamia ujinga uliojitokeza ndani ya kipindi cha utawala wako Mkuu.
As simple as that.
Thank you
Period
3. CCM waanze kuwekeza nguvu kwenye media haswa zinazofika vijijini. Kikiwa kama chama kilichosajiliwa, sidhani kama kuna sheria inawakataza kudhamimi vipindi vya televisheni na radio.vinavyoendelea kwa bei chee.
Ila wasiongee neno CCM kwa sauti. Magufuli awe ngao, kila kinachofanyika kiwe kwa jina la Magufuli. Kila matumaini tumwangushie yeye. Tukisikia neno CCM tulikatae kabisa, sababu kubwa ni:
CCM inaongozwa na mtu, ndio maana ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazifanani. Na hii ya Magufuli haitafanana na hizo. Chama hakina tamaduni ila viongozi ndio huambukiza watendaji na wanachama. haswa kwa nchi maskini kama yetu. Mfano mzuri ni Lowassa alivyoingia UKAWA bila taratibu na bado akapata haki zote as if amekulia pale maisha!!!!
Neno CCM lisahaulike vichwani mwa watu, wabakiwe na picha ya Magufuli mchapa kazi na Lowassa fisadi.
4. Waandae vipindi vyenye mijadala tija ya kuongelea hatma ya nchi, wagusie uzuri wa Magufuli tu, utendaji wake na ku-revise maneno yale yale yaliyoongelewa na UKAWA majukwaani kumhusu Lowassa. (Hapa kuna tatizo maana CCM wamekaa kama wanamwogopa EDO, hakuna anaeongelea mabaya ya Lowassa!!! Wajitambue hawapigani na UKAWA, wanapigana na EDO akikingiwa kifua na CDM, watu hawaijui UKAWA wanamjua Mbowe na CDM. na huu muda wanaaminishwa EDO ni mtu wao alionewa tu sema hakujua. CCM wapambane kumharibia EDO. Inaonyesha kila mmoja anaogopa kuyasema haya. Mbinu ya kuyaelezea ni namba 5)
5. EDO anaogopwa na CCM sio kwa sababu yeye binafsi ana miguvu ya kupiga watu 100 kwa sekunde. Kuna uhusiano kati ya kujiamini kwa EDO na kudhoofika kwa CCM kumsema. Uhusiano wao ni daraja flani la watumishi wa umma ndani ya mfumo wetu wa utawala tulio nao, watu wenye nafasi nyeti na zilizoshika hatma ya nchi yetu kwa namna nyingine.
Wanategemeana na EDO. Wako upande wake. Wanaweza kufanya chochote kwa maslahi ya EDO. Mfano mzuri ni kuondoka kwa KINGUNGE CCM. Ni nini unachoenda kukitafuta nje ambacho hukukipata toka TANU mpaka umri huo? Hii ndio ishara kuna watu wa ndani wako upande wa EDO.
Kingunge ni mtu nyeti sana tukiongelea mustakabali wa Taifa. Ana historia yetu na angetakiwa kuwa Mzee wa Busara mmojawapo ndani ya jopo la wazee wazalendo na Taifa. Wazee ni hazina. Yule ni mtu ambaye angetakiwa kushauri taifa kwa uzoefu wake ndani ya mipaka yetu na mambo maovu au mazuri ya majirani! Wafanyakazi wa Mwalimu hawa!!!
Hawa wenye kumpa EDO nguvu ya kusema ndio wa kukaa nao, waelezwe hatma yetu, nini malengo kama taifa na kwa nini ni muhimu kumweka Magufuli kama nahodha wetu kwa miaka 10. Wakikataa nguvu itumike tu.
Lowassa kama anaogopa mahakama, asijali, awekewe mkataba wa kumwacha huru na kusamehewa kesi zote. Tunajua yeye ni mtuhumiwa hata sasa hivi, lakini haitoshi, bado tunaelewa yeye alikuwa mmoja kati yao na si yeye peke yake. By the way, hata tukishitaki bado hatutaweza kwenda jino kwa jino tupate hiyo pesa in one installment. ( the Court has never been right place in term of my right on everything!! mostly its a total wastage of time!!!! Asamehewe maana wengine walioshiriki tumewakalia kimya na bado wapo Magogoni na kwingineko!!! Tusimbebeshe EDO mzigo wote.
Ubishi wa EDO wa kutaka kuwaonyesha wenzake mimi ndio mimi unasababishwa na Lowassa kuzidi kuchukulia mchakato huu kama wa UHURUTO Kenya, zinafanana kwa muonekano wa macho ya kawaida katika siasa. ila kimuundo ni vitu 2 tofauti. He have to give up no matter what!!!
6. Kila mmoja wetu anaeujua ukweli atafute mbinu ya kufikisha ujumbe, katika fani au kazi yoyote. 50 mil population ni ndogo sana kama una vitu 2 vilivyokuzunguka, Familia, Kazi na Marafiki + wale unaowaendea kwa shida ndogo ndogo kama dukani, sokoni, kanisani, misikitini n.k. ni watu wachache sana, ni ndogo haswa kwetu ambapo level ya wanaotegemea ni kubwa kuliko wanaotegemewa. Watafutaji ni wachache maana yake.
Tunahitaji mabadiliko, lakini lazima tujue tunayapataje, na yepi kati ya mazuri na mabaya. Lazima pia tujue hapa tulipo tunaondoka katika mazingira ya amani kiasi gani.
Advance the plan by changing missions in both two sides.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment