Monday, 12 October 2015

Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.

De Kleinson,

Mabadiliko siyo lelemama ukifanya kosa moja tu unajutia. Nilimtaadharisha Rais Kikwete kwamba ahakikishe anasimamia Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi iandikwe. Lakini alipuuza. Hakujua Katiba ndiyo msingi wa mabadiliko wanayoyataka Watanzania. Leo CCM inatania eti italeta mabadiliko. Ni mabadiliko gani endelevu huweza kutokea katika nchi bila misingi ya Katiba?
Majuto ni mkujuu.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Mon, 10/12/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila..ni ya kupinga ufisadi.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 12, 2015, 11:29 PM

Mama Nkya,

Unaongelea CCM ipi?

Chama ni watu, wakiwa wazuri na chama hupendeza, wakiwa
wabaya nacho mule mule kapu moja!! Ukiongelea CCM ya zamani
ntakubali kweli imetuharibia mambo mengi sana, ukiongelea
hii ya sasa ntakataa maana ni ile ya zamani imegawanyika,
wana-share risk!! Kuna CCM ya huko so called CDM, na hii
Original.
Original imebaki na vijidagaa na Papa kadhaa
wasio na madhara kwa utawala ujao, na hao waliokuja kwenu
ndio mipapa mikubwa tena yataka irudishwe majini, mule mule
ilipotolewa isiendelee kumaliza watu!! Wamekuja, wametawala
chama, na wanakiendesha wao! Mnataka kusema lipi??

Katiba ya CDM sijui inasema nini kuhusu mgombea, usikute EDO
tayari amekaimu na nafasi ya....

Watu wakubwa nyie bwana!!!!
CCM ipi unayoiongelea wewe? Ziongelee zote,
aliyoiacha  EDO na aliyokuja nayo huko.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment