Thursday, 1 October 2015

Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU

Duh...haki ya nani ....huyu EL angekua chakula ningemuonja nielewe....sijaona cdm Wa kumbadilisha EL...wote watacheza akiimba...tar. 25 will tell...kuiweka nchi mikononi mwa joka halafu kauli mbiu ikavishwa mabadiliko bila kufikiria baada ya tar. 25 kuna nini...sip rahisi namna hiyo kumtoa...sikuwaho ht kumsikia akipigia chepuo ile ya warioba kitakachomfanya aipigie chepuo imuhukumu sasa nini...uzuri kila MTU ataamua kura yake....kumpa ikulu asiyejua maana ya kutake personal responsibility...anaejificha nyuma ya Mimi victim nilitimwa htr

On 1 Oct 2015 16:20, "'ananilea nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mabadiliko ya kweli huletwa na  umma--umma ulioteseka na kuamua kuweka misingi ya Kikatiba kuleta mabadiliko endelevu. Walioamua kuandika Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi--hata kama anayegombea Urais kupitia chama hicho ni shetani--ni lazima shetani huyo amadilishwe na nguvu ya umma inayotaka mabadiliko. Hakuna kinachoshinda nguvu ya umma inayotaka mabadiliko. Lowassa wa CCM kamwe hawezi kuwa Lowassa wa CHADEMA--UKAWA ni lazima abadilike-- atekeleze matakwa ya nguvu ya umma. TUSIJIDANGANYE. Akichaguliwa Lowassa  Rais, serikali ya CHADEMA--UKAWA isipotii na kutekeleza matakwa ya nguvu ya umma-- Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi--uchaguzi 2020, Lowassa na CHADEMA-UKAWA watapigwa chini kwa kishindo cha kuanguka tembo.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, mary ndaro <mary.ndaro2@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Thursday, October 1, 2015, 3:15 PM

 Exactly na
 siwezi kuubeza ukubwa Wa lowasa na ndo maana sikubaliani na
 ubatizo mpya...lowasa km lowasa in system ni giant....km
 mabadiliko in kuuza roho kwa shetani hayo kwangu sio
 mabadiliko
 On 1 Oct 2015 13:44,
 "'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Ndaro
 soma historia ya mabadiliko duniani kote. Unadhani ni
 CHADEMA chini ya nani ingeleta mabadiliko? Usibeze LOWASA ni
 mtu mkubwa kisiasa. Huwezi kumlinganisha na yeyote ndani ya
 CHADEMA ya kabla ya LOWASA. 

 --------
 Original message --------
 From: 'Reuben
 Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 Date:
 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA
 MAAMUZI MAGUMU

 Ndalo;Exactly
 there you are.Nimekuelewa vizuri na
 hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
 mabadiliko.Haya ya sasa ni kubadili
 chupa tu. Reuben

      On Thursday, October
 1, 2015 4:50 AM, mary ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
 wrote:

  Natamani kungekuwa na mbadala kwenye haya
 mabadiliko...Mimi binafsi watu waliotumua mfumo mbovu
 kutufikisha hapa haijalishi wanaahamia wapi...hao sio jibu
 wala mabadiliko tunayoyataka. Nakubali wananchi wamechoka na
 mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu sio cdm chini ya EL
 On 10 Sep 2015 15:40, "'ananilea
 nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Ndugu Kim,

 Neno mabadiliko  katika muktadha wa uchaguzi  Tanzania
 mwaka  huu 2015 linatumika kumaanisha wananchi kuchagua 
 serikali mpya  tofauti na serikali ya CCM iliyoko
 madarakani ambayo ilikataa kuandika Katiba Mpya inayotokana
 na maoni ya wananchi.

 Katiba Mpya itaweka misingi ya kuzuia serikali kuwa chanzo 
 ufisadi wa  fedha za umma, watawala kujitajirisha na
 kuwatajirisha  wawekezaji kutoka nje  kwa kutumia
 rasilimali za nchi yetu  huku mamilioni ya wananchi
 wakibaki masikini wa kutupa.

 Mfano ufisadi wa   mwaka jana 2014 wa Tegeta escrow
 bilioni 306, ufisadi wa  Richmond bilioni 172 mwaka  2008
 na ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na hakuna
 aliyefikishwa mahakamani.

 Mabadiliko ya  kupata serikali  inayoongoza na  vyama
 vingine tofauti na CCM  ikiandika Katiba Mpya inayotokana
 na maoni ya wananchi ---Katiba hiyo  itaweka misingi 
 ambayo pamoja na mambomengine madaraka ya Rais
 yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.

 Kadhalika madadiliko  yataweka mihimili  isiyoingiliana 
 ya utawala—serikali—bunge na mahakama HIvyo  serikali 
 ikifanya ufisadi kama ule wa Tegeta escrow na EPA  watawala
 hawatakwepa mkono wa sheria  kama walivyokwepa.

 Kadhalika mabadiliko   yatazuia   watawala wachache 
 wakijitajirisha kwa kutumia fedha za wananchi  kujilipa
 mishahara mikubwa, mafao na marupurupu wakati  watumishi
 wengine wa umma madaktari, wauguzi, walimu, polisi na
 wananchi wengi wakibaki maskikini.

 Pia Katiba Mpya  itaweka misingi mizuri  ya kuwepo usawa
 wa kijinsia katika uongozi hasa 50 kwa 50 wabunge wanawake
 na wanaume  majimboni badala ya hili changa la macho ambalo
 baadhi ya vyama vinajidai eti kwa kuweka wagombea wanawake
 ni usawa wa jinsia.

 Je inawezekana kuwa  na usawa wa jinsia endelevu kama
 haijaandikwa kwenye Katiba ya nchi? Kama kweli serikali CCM
 walikuwa wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
 ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
 wananchi ambayo ilikuwa imependekeza utaratibu mzuri kabisa
 wa kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
 kutoka majimboni?

 Hivyo mabadiliko  wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa na
 umaskini hapa nchini   wao wenyewe wananchi  wamejipanga
 kuweka msingi wake hapo hapo tarehe 25 Oktoba 2015 kwa 
 kuiondoa CCM madarakani   na kuweka  serikali ya vyama
 vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi, CHADEMA  na NLD)
 ambavyo  vilipigania  Katiba Mpya inayotokana na  maoni
 ya wananchi na vimeahidi  kwamba  wakichaguliwa Katiba
 Mpya  ya wananchi itaandikwa.

 Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye kampeni zake
 ajuwe  akichaguliwa atatimiza yaliyobebwa katika tafsiri
 hii.  Kinyume chake hayo siyo mabadiliko wanayoyataka
 wananchi.   Mungu ibariki Tanzania.

 Ananilea Nkya

  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------

 On Thu, 9/10/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI
 MAGUMU

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Date: Thursday, September 10, 2015, 2:45 PM

  Kwanza

  MABADILIKO ni nini?

   Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake ni

  nini? ya wapi? kwenye nini? yatamgusa nani?
 yatatuchukua

  muda gani? yatatokea tokeaje?

  Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri

  kwenda baya, dogo kuwa kubwa au kubwa kuwa dogo,
 nyembamba

  kuwa pana au....

  Its all about "different" "utofauti wa
 hiki

  kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie sio mtaalam
 wa

  lugha!!

  Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike

  akituelezea vizuuri na kwa ufasaha jinsi watakavyoleta

  MABADILIKO nchini. i mean ameshawishikaje kuwa mnazi wa

  flani/chama flani kuamini watafanya MABADILIKO ndani ya
 kila

  mmoja wetu ili tukuamini na kukufuata popote ulipo!!
 Wanazi

  wote hapa mkae mkijua nyie ni mawakala wa HAO
 mnaowasemea!!

  kwa sababu sie hatumjui yule/wale vizur zaidi yako,
 umeamua

  kuwa agent wake/wao ina maana unayajua ya kwake/kwao!
 Latin

  proverb "if you host a guest, host his dog"

  Tukibaki kuainisha MAHITAJI YA NCHI na

  MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
 na

  kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
 mtu

  anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
 ati

  " ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya miaka

  5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
 will

  come later to filter HOW!!

  Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na

  hesabu ndogo ambazo tunazifanya kwenye maisha ya kila

  siku!!!!!????? Mpaka inakera.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment