Dada Nkya
Mimi shida yangu sio katiba tu. Kwani hats iwe nzuri kiasi gani kama watekelezaji in mafisadi tutabakia kulekule.
Huu ufisadi Wa CCM sio Sera ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
Aidha kitu kuwekwa kwenye Ilani haitoshi. CCM waliweka mahakama ya Kadhi iko wapi Leo na hili la katiba ya wananchi halikuwemo lakini lilifanyika japo lilihujumiwa.
Unasema Lowasa amebadilika. Kivipi?
CDM wanaweza vipi kumzuia kwa katiba tulionayo sasa?
Unasema wametudhibitishia kivipi mama?
Lowasa sio mdogo hivyo. Kama aliweza kuwaburuza CCM na serikali yake itakuwa CDM kweli?
Dadangu yanakutoka moyoni kweli hayo?
Site tuna hamu ya mabadiliko lakini sio kwa MTU huyu na kwa namna hii.
Tunapata mashaka sana.
CDM wamegeuka ghafla mno tunajuaje wakigeuka juhudi zenu hizi za mabadiliko? Kitu ambacho ni dhahiri?
Kwa hili tuvumiliane tutafute wabunge lakini kwa Urais sio kwa CDM hii toleo jipya la Lowassa.
Haoana Dada Mungu atuepushie mbali.
Walewale
Reuben na wengine hoja yangu ni kwamba: Dr Magufuli akichaguliwa serikali yake ya CCM itaendelea kuwa mlinzi mwizi (fisadi) kwa sababu chama chake CCM kinanufaika na ufisadi wa fedha na mali za umma vinginevyo watueleze ni kwa nini CCM ilikataa kuandikwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ambayo ingejenga misingi ya kuzuia serikali (mlinzi wa mali za nchi) iwe ni ya CCM, CHADEMA, CUF, NCCR -Mageuzi au chama chochote kile isiwe serikali fisadi?
Ninakubali kuwa mwanasiasa Edward Lowassa aliyeishi katika chama fisadi CCM (mfano ufisadi EPA bilioni 133, Richmond bilioni 172 na Tegeta escrow bilioni 306) anaweza kujihusisha na vitendo vya kifisadi na kufanya ufisadi hasa endapo chama alichohamia kitakataa kuandika Katika Mpya inayotokana na maoni ya wananchi kuweka kitakuwa misingi endelevu ya Kikatiba ya kuzuia serikali kuwa fisadi.
Ndiyo sababu nimesema ili kukomesha ufisadi nchini ni afadhali Watanzania wamchague Lowassa aliyeamua kujiunga na vyama vinavyochukia nchi kuwa na serikali fisadi na vimetuthibitishia kuwa Lowassa wa CCM hatakuwa Lowassa wa CHADEMA -UKAWA. Nasema hivi kwa sababu CHADEMA-UKAWA endapo watachaguliwa kuongoza nchi, Ilani yao inaonyesha kuwa wataandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi ili kuweka misingi ya kukomesha serikali zijazo iwe ya chama chochote kile zisiwe serikali fisadi--kuepusha nchi yetu kuendelea kuzalisha mafuriko ya wananchi masikini.
Ni vema sote tukaelewa kuwa chimbuko la ufisadi nchini kuwa ni CCM ambacho kinanufaika na ufisadi hivyo kinaogopa kuondoka madarakani kwa kuogopa chama kingine kikiingia madarakani nacho serikali yake itakuwa fisadi ili kiendelee kubaki madarakani hasa kwa sababu kwa sasa nchi haina misingi ya kuzuia serikali kuwa fisadi.
Lakini Lowassa wa CCM ni lazima abadilike awe Lowassa wa CHADEMA-UKAWA--ambaye atafanya mabadiliko ya Kikatiba kuepusha serikali kuwa fisadi. Ni afadhali hata wananchi elfu moja wawe mafisadi kuliko serikali ya chama kilichopewa dhamana ya kuwa mlinzi wa mali ya nchi yenye watu karibu milioni 50--serikali hiyo kugeuka kuwa fisadi. Serikali ikiwa fisadi kamwe haiwezi kudhiniti ufisadi, rushwa au maovu mengine yoyote.
Lowassa kama alikuwa fisadi na serikali ya CCM ingekuwa siyo fisadi--Lowassa leo hii angekuwa jela. Lakini mlizi akiwa mwizi, fisadi atamkamata fisadi au mwizi? Au kama mwizi anaiba ili kugawana na mlinzi mwizi je mwizi atakamatwa na nani?
Hiyo ndiyo lojiki ya hoja yangu na ndio ukweli kuhusu nani hasa chanzo cha fisadi, wizi na rushwa Tanzania.
Kumbuka ukiujua ukweli--ukweli utakuweka huru kweli kweli. Nitamshangaa kila Mtanzania atakayeridhia chama fisadi kupewa tena kazi ya ulinzi wa mali na rasilimali za nchi yetu nzuri Tanzania hapo tarehe 25 mwezi huu wa Oktoba mwaka huu 2015.
Ikitokea hivyo, utakuwa ni ushahidi kwamba moja ya chanzo cha umaskini Tanzania ni kwamba adui namba moja--adui ujinga hajaangamizwa na kwamba pengine adui huyu anaendelea kuongezeka na kuwa tishio kubwa kwa amani ya nchi yetu kila uchao. Mungu ibariki Tanzania.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 1, 2015, 2:10 PM
Mama
Nkya;Sidhani kama kuna yeyote
anapinga kwamba kura ndizo zitaamua nani Rais,Mbunge na
Diwani.Hapa Ndaro na mimi
niliyemuunga mkono tumejaribu kuongelea mantiki halisi ya
mabadiliko ikiwa na maana yanatakiwa kukamilika lakini haya
yatakuwa nusu.Maana yake
ni watu walewale waliotufikisha hapa tunawapa tena
regardless yupo chama gani. Amebadilika lini mpaka tuwe na
imani nae kubwa kiasi hiki?Basi hata kungekuwa na transition
period ya kumuangalia lakini hii ya miezi miwili
tusidanganyane Mama Nkya. Reuben
On Thursday, October
1, 2015 5:55 AM, 'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kubali usikubali,
wananchi wakishaamua hapo tarehe 25 Oktoba hakuna chombo
chenye mamlaka ya kukataa maamuzi ya wananchi. Wanaoumia ni
wananchi na watakaoamua hatma ya uongozi wa nchi hii ni
wananchi wenyewe kwenye sanduku huru la kura. Hivyo cha
msingi sisi wanamabadiliko tupiganie hilo sanduku la kura
liwe huru kweli kweli kusiwe giliba, vitisho, uzembe au
uchakachuaji utakaofanywa ama na chama cha siasa, serikali
iliyoko madarakani au Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tuwaachie
waamuzi---waamuzi ni wananchi wenyewe.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 10/1/15, 'Reuben Mwandumbya'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] 2015: NI KURA YA MAAMUZI MAGUMU
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 1, 2015, 1:37 PM
Ndalo;Exactly
there you are.Nimekuelewa
vizuri na hiyo ndio ingekuwa maana halisi ya
mabadiliko.Haya ya
sasa ni
kubadili chupa tu. Reuben
On
Thursday, October
1, 2015 4:50 AM, mary
ndaro <mary.ndaro2@gmail.com>
wrote:
Natamani kungekuwa na
mbadala kwenye haya mabadiliko...Mimi binafsi
watu
waliotumua mfumo mbovu kutufikisha
hapa haijalishi
wanaahamia wapi...hao sio
jibu wala mabadiliko tunayoyataka.
Nakubali
wananchi wamechoka na mfumo mbovu Wa ccm lkn majibu
sio cdm chini ya EL
On 10 Sep
2015 15:40,
"'ananilea nkya'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ndugu Kim,
Neno mabadiliko katika
muktadha wa uchaguzi
Tanzania mwaka huu
2015 linatumika kumaanisha wananchi
kuchagua serikali mpya tofauti na serikali ya
CCM iliyoko madarakani ambayo ilikataa
kuandika Katiba Mpya
inayotokana na maoni
ya wananchi.
Katiba Mpya itaweka misingi
ya kuzuia serikali kuwa
chanzo ufisadi
wa fedha za umma, watawala
kujitajirisha
na kuwatajirisha wawekezaji kutoka
nje
kwa kutumia rasilimali za nchi yetu huku
mamilioni ya wananchi wakibaki masikini wa kutupa.
Mfano ufisadi wa mwaka jana 2014 wa
Tegeta
escrow bilioni 306, ufisadi wa
Richmond bilioni 172
mwaka 2008 na
ufisadi wa EPA bilioni 133 mwaka 2005 na
hakuna aliyefikishwa mahakamani.
Mabadiliko
ya kupata serikali inayoongoza
na
vyama vingine tofauti na CCM ikiandika Katiba
Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
---Katiba hiyo
itaweka misingi ambayo
pamoja na mambomengine madaraka
ya Rais
yatapunguzwa—kuzuia Rais kuwa Mungu mtu.
Kadhalika madadiliko yataweka mihimili
isiyoingiliana ya utawala—serikali—bunge na
mahakama HIvyo serikali ikifanya ufisadi
kama
ule wa Tegeta escrow na EPA watawala
hawatakwepa mkono
wa sheria kama
walivyokwepa.
Kadhalika mabadiliko
yatazuia
watawala wachache
wakijitajirisha kwa kutumia
fedha za
wananchi kujilipa mishahara mikubwa, mafao na
marupurupu wakati watumishi wengine wa umma
madaktari,
wauguzi, walimu, polisi na
wananchi wengi wakibaki
maskikini.
Pia Katiba Mpya itaweka misingi mizuri ya
kuwepo
usawa wa kijinsia katika uongozi
hasa 50 kwa 50 wabunge
wanawake na
wanaume majimboni badala ya hili changa la
macho ambalo baadhi ya vyama vinajidai eti kwa
kuweka
wagombea wanawake ni usawa wa
jinsia.
Je inawezekana kuwa na usawa wa jinsia
endelevu kama
haijaandikwa kwenye Katiba ya
nchi? Kama kweli serikali CCM
walikuwa
wanataka nchi iwe na usawa wa jinsia katika uongozi
ni kwa nini waliikataa Katiba Mpya inayotokana
na maoni ya
wananchi ambayo ilikuwa
imependekeza utaratibu mzuri kabisa
wa
kupata asilimia 50 kwa 50 ya wanawake na wanaume bungeni
kutoka majimboni?
Hivyo
mabadiliko wanayoyataka wananchi wanaosumbuliwa
na umaskini hapa nchini wao wenyewe
wananchi wamejipanga kuweka msingi wake hapo
hapo
tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kuiondoa
CCM
madarakani na kuweka serikali ya
vyama
vinavyounda UKAWA (CUF, NCCR Mageuzi,
CHADEMA na NLD)
ambavyo vilipigania
Katiba Mpya inayotokana
na maoni ya
wananchi na vimeahidi kwamba
wakichaguliwa Katiba Mpya ya wananchi itaandikwa.
Hivyo yeyote anatumia neno mabadiliko kwenye
kampeni zake
ajuwe akichaguliwa atatimiza
yaliyobebwa katika
tafsiri hii. Kinyume
chake hayo siyo mabadiliko
wanayoyataka
wananchi. Mungu ibariki
Tanzania.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 9/10/15, De kleinson
kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
2015: NI KURA YA MAAMUZI
MAGUMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September
10, 2015, 2:45 PM
Kwanza
MABADILIKO ni nini?
Tukisema TUNATAKA MABADILIKO, maana yake
ni
nini? ya wapi?
kwenye nini? yatamgusa nani?
yatatuchukua
muda gani?
yatatokea tokeaje?
Mabadiliko yaweza kuwa baya kwenda zuri au zuri
kwenda baya, dogo kuwa
kubwa au kubwa kuwa dogo,
nyembamba
kuwa pana au....
Its all about "different"
"utofauti wa
hiki
kilichopo". nikikosea nisahihishwe. mie
sio
mtaalam wa
lugha!!
Mnazi awaye yeyote iwe wa Chama au mtu, aandike
akituelezea vizuuri na kwa
ufasaha jinsi
watakavyoleta
MABADILIKO nchini. i mean
ameshawishikaje kuwa mnazi
wa
flani/chama flani kuamini
watafanya MABADILIKO ndani
ya kila
mmoja wetu ili tukuamini
na kukufuata popote ulipo!!
Wanazi
wote hapa mkae mkijua nyie
ni mawakala wa HAO
mnaowasemea!!
kwa sababu sie hatumjui
yule/wale vizur zaidi yako,
umeamua
kuwa agent wake/wao ina
maana unayajua ya kwake/kwao!
Latin
proverb "if you host
a guest, host his
dog"
Tukibaki kuainisha
MAHITAJI YA NCHI na
MTU/CHAMA chenye SULUHU yake bila kuijadili, kuchambua
na
kuitafakari SULUHU yenyewe kwa kina, hatuna tofauti na
mtu
anaeajiri bila vyeti na interview. Akiulizwa kwa nini?
ati
" ameahidi ataongezea kampuni faida ndani ya
miaka
5" ****!!! Its the question of HOW not WHO!!! WHO
will
come
later to filter HOW!!
Watanzania tumelogewa wapi??? tunashindwa na
hesabu ndogo ambazo
tunazifanya kwenye maisha ya
kila
siku!!!!!????? Mpaka
inakera.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed
to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment