Wapendwa Watanzania na marafiki popote pale duniani,
Kwa niaba ya uongozi wa Tanzania Global Prayer Movement (TGPM) natoa shukrani za dhati kwa wale wote waliojiunga nasi kwenye maombi ya Jumapili hii na siku zote kuanzia Jumapili July 26 tukiombea utakaso wa kiti cha Raisi, Ikulu, viti vya wabunge na madiwani pamoja na amani wakati vyama vinajipanga sawa sawa na uchaguzi.
Yafuatayo ndiyo tunayoendelea kuombea mpaka siku ya Jumapili Agosti 9 ambapo itakuwa hitimisho la wiki tatu kuombea haya maswala. Endelea kuinua jina la Bwana.
1) Omba Mungu akupe mzigo wa kuombea nchi yako ya Tanzania.
2) Ombea amani nchini wakati vyama vinakamilisha uchaguzi wa wagombea wao wa nafasi ya Raisi.
3) Ombea utakaso wa Kiti cha Uraisi wa Tanzania.
4) Ombea utakaso wa Ikulu ikiwa ni mahali anapofanyia kazi Raisi wa Tanzania, pamoja na ikulu ndogo mikoani.
5) Ombea utakaso wa viti vya wabunge na madiwani nchi nzima.
6) Ombea mgombea Uraisi wa UKAWA kama jina litakuwa limetoka. Kama bado, tutaendelea kuombea amani huku mchakachuo ukiendelea.
Please join us via a prayer conference call this Sunday. To join the conference call every Sunday, please dial (218) 895 9661 and passcode is 222555. The prayer starts at 9pm Eastern, 8pm central, 7pm Mountain or 6pm Pacific time.
For more information about Tanzania Global Prayer Movement (TGPM), please visit our website at:
Tafadhali sambaza huu ujumbe kwa watu wote unaowafahamu.
Ubarikiwe sana na Yesu Mungu aliye hai!
Frank Mwakasisi, Ph.D.
Founder
Evangelist, Pastor, Teacher, and Preacher
Tanzania Global Prayer Movement - "Praying for the Power of the Resurrected Jesus Christ, our Lord to Transform Tanzania and spring forth Personal Renewal and Community Revival."
Chicago, Illinois
USA
Website: http://www.tgpm.org
Email: info@tgpm.org
_______________________________________________
Prayers mailing list
Prayers@tgpm.org
http://tgpm.org/mailman/listinfo/prayers_tgpm.org
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment