Bi. Samia Suluhu Ahaidi Ujenzi Hospitali ya Wilaya Ikungi, Bandari Kavu Manyoni
-- [caption id="attachment_61296" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61296" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00031.jpg" alt="Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi." width="800" height="408" /> Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61289" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61289" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00401.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi. " width="800" height="463" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61290" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61290" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0048.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi. " width="800" height="437" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61284" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61284" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00021.jpg" alt="Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi." width="800" height="383" /> Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
<strong>MGOMBEA</strong> mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameendelea kunadi ilani ya chama chake huku akiahidi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi pamoja na ujenzi wa bandari kavu wilayani Manyoni endapo wananchi watakipa ridhaa ya kuunda serikali mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015.
Bi. Samia alitoa ahadi hizo jana katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Ikungi, wilayani Ikungi ikiwa ni jitihada za serikali ya CCM kuhakikisha inaendelea kuboresha huduma bora za afya kwa wananchi mjini na vijijini.
Alisema serikali watakayoiunda itaendelea kushughulikia kero ya maji katika vijiji vyenye ukame na kuhakikisha kila kijiji kinapata maji safi na salama kwa matumizi, pamoja na kuvipelekea umeme baadhi ya vijiji vya Singida Mashariki ambavyo bado vijafikiwa na huduma kupitia awamu ya pili ya mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuchochea maendeleo vijijini. Alisema katika kuboresha miundombinu wataikarabati barabara ya Mung'aa kwenda Nkiku ili iweze kupitika na kuwasaidia wananchi wanaoitegemea barabara hiyo.
Akihutubia katika mkutano mwingine wa kampeni Wilaya ya Manyoni, Bi, Suluhu aliahidi ujenzi wa bandari kavu eneo hilo ikiwa ni jitihada za kuongeza nafasi za ajira kwa vijana na kukuza uchumi na maendeleo ya wilaya hiyo. Alisema Serikali watakayoiunda itaunda mfuko wa maji ambao utashughulikia kero za huduma za maji safi na salama kwa wakazi wake.
Aidha watahakikisha vijiji ambavyo bado havina mawasiliano vinapata huduma hiyo ili kuchochea maendeleo ya wananchi katika mawasiliano. Bi. Samia amewataka Watanzania kutofanya makosa ya kuvichagua vyama vingine vya upinzani maana havina muelekeo na kuviita vya kuunga unga.
"...Tusifanye mchezo kwa kuvijaribu vyama vya kuungaunga kuingia madarakani, huwezi kufanya majaribio ya kuonja simu...hivi mlisha ona wapi chama kinasimamisha wagombea ambao sio wao bali wameazimisha kutoka vyama vingine, hivi havitufai hata simu moja," alisema B. Samia Suluhu.
Mgombea huyo mwenza wa CCM kamaliza ziara yake mkoani Singida na tayari ameanza kunadi sera za chama hicho mkoani Dodoma.
[caption id="attachment_61300" align="aligncenter" width="620"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0104-1024x499.jpg" alt="Umati wa wanaCCM na wananchi wengine wakimsikiliza, mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) wilaya ya Bahi eneo ambalo alifanya mkutano wa hadhara kunadi ilani ya chama hicho." width="620" height="302" class="size-large wp-image-61300" /> Umati wa wanaCCM na wananchi wengine wakimsikiliza, mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) wilaya ya Bahi eneo ambalo alifanya mkutano wa hadhara kunadi ilani ya chama hicho.[/caption][caption id="attachment_61299" align="aligncenter" width="600"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0089.jpg" alt="Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Taifa, Ummy Mwalimu na Anjela Kairuki wakipunga mikono kuwasalimu wanaCCM na wananchi (hawapo pichani) waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu." width="600" height="603" class="size-full wp-image-61299" /> Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Taifa, Ummy Mwalimu na Anjela Kairuki wakipunga mikono kuwasalimu wanaCCM na wananchi (hawapo pichani) waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu.[/caption][caption id="attachment_61301" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0135.jpg" alt="Kikundi cha burudani kikitumbuiza umati ikiwa ni mapokezi ya mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu ambaye naye alivutiwa na kujichanganya kucheza kabla ya kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Jimbo la Bahi." width="800" height="533" class="size-full wp-image-61301" /> Kikundi cha burudani kikitumbuiza umati ikiwa ni mapokezi ya mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu ambaye naye alivutiwa na kujichanganya kucheza kabla ya kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Jimbo la Bahi.[/caption]
[caption id="attachment_61291" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61291" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00681.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Manyoni." width="800" height="440" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Manyoni.[/caption]
[caption id="attachment_61297" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61297" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00253.jpg" alt="Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Jimbo la Ikungi." width="800" height="351" /> Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Jimbo la Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61295" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61295" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_01371.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Bahi." width="800" height="491" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Bahi.[/caption]
[caption id="attachment_61288" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61288" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0012.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi. " width="800" height="397" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhuwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea uliofanyika katika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61285" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61285" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00062.jpg" alt="Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi." width="800" height="348" /> Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni ulofanyika Wilaya ya Ikungi.[/caption]
[caption id="attachment_61292" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61292" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0072.jpg" alt="Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Manyoni." width="800" height="503" /> Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Wilaya ya Manyoni.[/caption]
[caption id="attachment_61293" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-61293" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0096.jpg" alt="Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na viongozi anuaia mara baada ya kuwasili wilaya ya Bahi eneo ambalo alifanya mkutano wa hadhara kunadi ilani ya chama hicho." width="800" height="510" /> Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na viongozi anuaia mara baada ya kuwasili wilaya ya Bahi eneo ambalo alifanya mkutano wa hadhara kunadi ilani ya chama hicho.[/caption][caption id="attachment_61298" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0079.jpg" alt="Msafara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu ukitoka wilaya ya Manyoni kuelekea Wilaya ya Bahi ambapo alifanya mkutano wa kampeni kunadi ilani ya katika Jimbo la Bahi." width="800" height="511" class="size-full wp-image-61298" /> Msafara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu ukitoka wilaya ya Manyoni kuelekea Wilaya ya Bahi ambapo alifanya mkutano wa kampeni kunadi ilani ya katika Jimbo la Bahi.[/caption]
<strong>*Imeandaliwa na www.thehabari.com</strong>
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment