Saturday, 29 August 2015

Re: [wanabidii] WIMBI LA WAKIMBIZI ULAYA: NCHI ZA MAGHARIBI ZINAJIFUNZA NINI?

Dunia inabadilika sana nafikiri hata sababu za ufadhili wa maharamia inabadilika miaka hadi miaka.

Labda tuangalie tangu Nyerere alipotoa hotuba hiyo muhimu ambayo iligusa vitu vingi hasa ubepari na utendaji, afrika kwa sasa iko wapi? Tumesonga au tumedoro kabisaaa

On Aug 29, 2015 2:56 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jamani ehe hebu tukajipumzishe na mambo ya kwetu tujadili na yaha maana yanatuhusu.
Sasa hivi kuna wimbi kubwa la wakimbizi kutoka nchi za kaskazini mwa Africa na mashariki ya kati kukimbilia ulaya. Mahala pengine unyama umefanyika ma hata ubinadamu katika kuwashughulikia wakimbizi hao.
Lakini chanzo chake nini? Hili ni swala la mjadala na mtu waweza kusema mengi. Mimi naliona hivi. Wakimbizi hawa wanatokana na unyama unaofanywa na nchi za magharibi. Anayetaka kuwatetea awatetee lakini ni lazima tuangalie tulikotoka.
Mwalimu Nyerere akihutubia bunge la South Africa alitoa hotuba yenye vipengele viwili Cha Pili ni Africa is changing. Cha kwanza alisema Africa South of Sahara is Isolated. Akifafanua mada hii aliwachekesha wabunge kwa kusema Rais wa Mexico aliwahikusema 'Poor Mexico- far from God,  close to  United states of America' Rais wa Mexico aliona kuwa kuwa karibu na taifa hilo kubwa ni balaa badala ya Baraka.
Mwalimu altoa msemo mmoja kuwa mataifa yetu yakitaka television za ulimwengu ziumulike 'You just cause trouble somewhere' then the televisions come'.
Jamaa zetu wamekuwa wakifadhiri ugaidi na ndani ya ukanda wetu tunapata matatizo tunaishia kupata televisions
Tunakumbuka jinsi wahuni hawa walivyomfadhili Savimbi akaua waangola mpaka walipomchoka wakamtelekeza. Wakimbizi waliishia kwa majirani wa Angola.
Ukisema ndio walifadhili vita vya Rwanda kati ya kagame na habyarimana na wahutu na watutsi. Hii ya kuuana kwa wahutu na watusi, inabidi useme kwa uangalifu watusi wasikusikie. Lakini ni nchi hizo tu na wakimbizi wakaishia kwa majirani zake. Nenda Somalia, Ethiopia na kwingineko hukosi kukuta elements za wamagharibi hawa. Nenda Nigeria muulize rais Buhari kama hatakwambia ni Marekani inafadhili Bokho Haram. Akisema usimbishie.

Baada ya kujua kuwa wanaweza kuendelea kufadhili mauaji wakaingilia nchi za kiarabu.
Walianza na rafiki yangu Sadam Hussein. Wakafikiri wamemuua kumbe bado anaishi. Niliwahi kuandika mahala kuwa ili kumaliza mauaji yanayoendelea Iraq, inabidi Bush akutanishwe na Saddam.
Wakifikiri wameweza wakamwandama Ghadafi. Baada ya kummaliza wanamwandama Asaad wa Syria. Unaweza kujiuliza hawa jamaa wa dola la kiislamu wanapata wapi silaha? Lakini angalia walizo nazo zimetengenezwa wapi-ndiko wanakozitoa.
Kitu kimoja najiuliza kama wakimbizi wa Rwanda Burundi na DRC walikimbilia Tanzania wao walifikiri wakimbizi kutoka Yemen, Syria, Iraq, Libya na kwingineko wangekimbilia wapi? Kuna watu wanahusudu wazungu kuwa wana akili. Kwa nini wanashindwa hesabu hii? Na wajidanganye kuwa wakimbizi ni wa kiuchumi. Lakini ukweli unastahili kuwaumiza na wakiumia watajirudi wasiwazalishe popote iwe kwetu iwe kwao. Sasa waanze kwa kusikiliza matakwa ya serikali za mashariki ya kati kuliko kufadhili ugaidi halafu kulalamika

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment