Huyu si ndio magufuli aliekimbilia kikombe cha babu pale loliondo et kingemponya maradhi yake jamani,ana uzima gani sasa huyu magufuli?...tukianza kuzungumzia suaka la afya kama kigezo is a lost urguement....very poor of all, better we stick'on selling policies rather that scandal that do not help us as a nationa and voters needs to hear policies
Be blessed
Lesian
'frank chalamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
mimi swala la kuumwa sioni kama ni hoja ya kumchagua au kutomchagua kiongozi kwani anaeweza thibitisha afya z awanadamu ni Mungu pekee swala la msingi ni je sera za mtu huyo (awe mgonjwa au mzima) je zinauzika? maana CCm walitoa vipaumbele vyao nikawsikiliza ukweli vilikuwa na mashiko, japo chanagmoto hazikosekani lakini nimesikiliza vyama vingine imeniwia ngumu sana na bado nakwama kujua wanataka kufanya nini, labda pengine kwa sababu nilitumia muda mwingi kusikiliza huku nkitafakari na hivyo kupoteza mwelekeo ila wao ACT nimebaini kwamba hoja yao kubwa ni kubaini mapungufu ya vyama vingine na kuyatamka hadharani bila kusema wao wanataka kufanya nini kwa strategy ipi? zaidi ya kusema wao ni chupa ya kati illiypo kati ya chupa ya ccm na ukawa, kwa nini wake katikati, ina maana bila hawa CM na ukawa bwasi ACT haiwezi ku exist. kumbe basi tunapata somo kwamba sasa ni dhahiri watanzania wanaweza kuwa wanahitaji mabadiliko. lakini wasali/waswali sana ili kwamba Mungu awaongoze kupunguza mihemko na jazba na kutomchagua mtu kwa kuwa ametoa pesa. lakini mimi bado naamini mabadiliko yanaletwa na mtu mwenyewe. hii kudhani mtu fulani ataleta mabadiliko ni hatari katika nyakati za sasa.kitabu cha 7 habits of a good leader kinasema (you are the cause for change)
On Tuesday, September 1, 2015 12:11 AM, 'salhabakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
---------- Forwarded message ----------From: salhabakari <salhabakari@yahoo.com>Date: Aug 30, 2015 9:54 PMSubject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.To: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>,wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni - Informal Network of Tanzanian Intellectuals <wanazuoni@yahoogroups.com>
> True dada Ananilea!
> Umenikumbusha ileee, sidanganyiki!!
> So, HATUDANGAYIKI!!!!
>
> SB
>
> On Aug 30, 2015 8:27 PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >
> > Nakumbuka wakati Jakaya Mrisho Kikwete anaomba kuingia madarakani mwaka 2005 alizushiwa kuwa alikuwa anaumwa UKIMWI. Maana yake siyo kwamba alikuwa na HIV tu, virusi vinavyosababisha UKIMWI, bali alikuwa ameshafikia hali mbaya ya kuumwa UKIMWI kabisa na alizushiwa kuwa muda wowote angeondoka duniani kabla hata ya kumaliza miezi sita ya mwaka wa kwanza madarakani.
> >
> > Lakini ni miaka kumi sasa yupo anadunda. Hata Tezi Dume (kansa) ambayo yeye mwenyewe amewathibitishia Watanzania kwamba anayo haijamzuia kufanya kazi za Urais. Lakini zaidi ingawa ametuthibitishia Watanzania kuwa ana tezi dume, kuondoka kwake duniani anakujua Mwenyenzi Mungu, tunaweza kushangaa sisi binadamu kuona Mungu anampa kuishi miaka 40 hata 50 ijayo.
> >
> > Ninachotaka kusema hapa ni kwamba maisha ya binadamu uzima wake anaujua Mungu. Rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alikuwa mgonjwa mahututi wakati anaingia madarakani. Lakini Wakenye waliokuwa wanataka madadiliko walimchagua. Lakini leo yupo Kibaki yuko hai na zaidi miaka yake aliyoitumikia Kenya hakuna Rais aliyewahi kumfikia kwa kiwango cha kuwaletea Wakenya maendeleo.
> >
> > Hivyo wanaodhani kuwa kwa kusema Edward Lowassa ni mgonjwa eti hawezi kuongoza Tanzania kwa miaka 5 ijayo, hiyo ni kete tu ya kuwadanganya wapiga kura ili kuzuia mabadiliko. Lakini Watanzania wengi wa leo HAWADANGANYIKI. Hivyo ni vema wenye hoja ya ugonjwa waachane nayo maana itakufa kama ile hoja ya ufisadi wa Richmond ilivyokufa baada ya kubaini aliyekuwa kinara wa Richmond ni mkuu wa nchi na siyo Waziri Mkuu (Edward Lowassa). Wananchi wanajua serikali ya CCM ndiyo fisadi kamili anayekwapua fedha za wananchi kila uchao. Mfano ufisadi wa Tegeta escrow kinara wa ufisadi huo alikuwa ofisi kuu ya nchi Ikulu Wapiga kura wanauliza je Lowassa alikuwa Ikulu mwaka jana 2014?
> >
> >
> > Ananilea Nkya
> > E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> > --------------------------------------------
> > On Sun, 8/30/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Sunday, August 30, 2015, 9:55 AM
> >
> > Kwanza
> > tukubaliane hali ya Edo sio nzuri. Nadhani inaathiri hata
> > mfumo wake wa akili kwa mbaali.
> > Jana alikuwa anaongea kama amekariri, haraka
> > haraka, limited, its like he was running out of time!!!
> >
> > Mwenye akili zake akiri kuumwa kwake, halafu arudi na kuanza
> > kutetea ugonjwa wake (kama anaujua) ni jinsi gani hauna
> > athari zozote za muda mfupi.
> > Mambo mengine yapo wazi bandugu.
> >
> > ha ha ha haaaaa. hata angekuwa na ugonjwa wa kuonekana bado
> > raia mngeweka ngumu.
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and hence
> > statements and facts must be presented responsibly. Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment