Nimenukuu kipande hiki kwenye kauli za mkuu wa nchi akikemea kauli za uvunjifu wa amani, ukisoma kati ya neno na neno, na siyo kati ya mstari kwa mstari, katika sentensi hiyo utakuta kuna maneno yanayosema "CCM kuhakikisha imepata ushindi uchaguzi ujao". Kikawaida watu kwenye uchaguzi hutumia maneno ya yamkini, kwa kama CCM itashinda, kusema kuhakikisha, ina maana by any means. Na vitisho vya kupita nyumba hadi nyumba, je Tanzania inataka kunakili mbinu za wa south wakati wa ubaguzi, maana ndiyo ilikuwa njisi ya kulinda utawala wao usiangushwe.
Wakati huo huo, viongozi haowa ngazi za juu hwajasikia mgombea akitishia watu TZ itakuwa Libya kama CCM haitashinda, kauli hiyio ina maana gani. Kwa nini kufumbia macho upande mmoja, na kuona kiltama upande mwingine?
0 comments:
Post a Comment