Sunday, 30 August 2015

Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Amour Chamani,

Napenda kuamini kwamba unakosea kusema raisi ajaye "lazima awe na afya njema utake usitake". Hiyo lazima unaitoa wapi? Kipengele gani cha sheria ya uchanguzi? Na kwa maoni yako, tutajuaje ni nani kati ya wagombea wote ana/hana afya njema? Kwa maana kwamba mbali na maneno ya majukwaani na kwenye mitandao, nitajuaje kwamba Mafuguli ni mzima au si mzima kiafya? Vivyo hivyo na kwa wagombea wengine.
Na pointi yako kwamba uraisi  ni wa Watanzania na siyo mali ya familia sijaelewa inaingia wapi kwenye mjadala huu.


Da: amour chamani <abachamani@gmail.com>
A: wanabidii@googlegroups.com
Inviato: Domenica 30 Agosto 2015 16:17
Oggetto: RE: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Mrema.
Kwanini tutafute excuse kwenye hili?
Rais ajaye awaye anakazi kubwa sana. Bungeni na mtaani ambako watu wamepigika hawana kazi na vyeti vyao.
Lazima awe na afya njema utake usitake.
Ni sawa na tunavyoangalia jinsia hapa kwetu.
Kumbuka rais ni wa Watanzania na so Mali ya familia.



Walewale
On Aug 30, 2015 5:10 PM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Bandugu

Kuugua au kutokuugua kwa mgombea ni hoja nyepesi zinazoonyesha ushabiki bila umakini katika vitu vya msingi na mustakabali wa nchi yetu.  Kila mtu ni mgonjwa na kila mtu ni mfu anatembea na kifo chake.  Cha ajabu ni nini ?  Jamani hili jamvi linaweza likawa jamvi la manufaa sana kwetu kama tutalitumia vizuri na kutumia akili zetu tulizojaaliwa na Mola.

Cheers

Herment A. Mrema

> Date: Sun, 30 Aug 2015 02:28:23 -0700
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ukisema watu wanadhani ni siasa. Tungetaka kuongelea siasa tungemwambia atweleze alimaanisha nini aliposema nchi zote zinategemea miundo mbinu ya Reli Tanzania. Akataja Congo na Zaire. Hii ni lack of concentration ndiyo maana anaiona Zaire
> --------------------------------------------
> On Sun, 8/30/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, August 30, 2015, 11:55 AM
>
> Kwanza
> tukubaliane hali ya Edo sio nzuri. Nadhani inaathiri hata
> mfumo wake wa akili kwa mbaali.
> Jana alikuwa anaongea kama amekariri, haraka
> haraka, limited, its like he was running out of time!!!
>
> Mwenye akili zake akiri kuumwa kwake, halafu arudi na kuanza
> kutetea ugonjwa wake (kama anaujua) ni jinsi gani hauna
> athari zozote za muda mfupi.
> Mambo mengine yapo wazi bandugu.
>
> ha ha ha haaaaa. hata angekuwa na ugonjwa wa kuonekana bado
> raia mngeweka ngumu.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment