Ni aibu kwa serikali iliyoko madarakani Umoja wa Mataifa kusafisha soko.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
On Mon, 8/31/15, zainul mzige <zainul.mzige21@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] UN YAFANYA USAFI SOKO LA TEMEKE STEREO KUADHIMISHA MIAKA 70
To:
Date: Monday, August 31, 2015, 5:03 AM
Habari za
asubuhi,
Tafadhali pokea CODES
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy
akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (katikati) kabla ya kuanza
zoezi la usafi katika soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi
wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro
Rodriguez.(Picha zote na Zainul Mzige wa
Modewjiblog)
Na
Mwandishi
wetu
KATIKA
kuadhimisho miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa
(UN) wafanyakazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini
Tanzania na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa
Kimataifa walijumuika na wakazi wa Temeke katika kufanya
usafi kwenye soko la Temeke
Stereo.
Shughuli
hiyo wameifanya baada ya wiki iliyopita kufanya shughuli za
upandaji miti katika miteremko ya mlima Kilimanjaro. Wakiwa
katika miteremko ya milima Kilimanjaro walipanda miti
2,000.
Shughuli
hizo za kufanya usafi ambazo ziliongozwa na Mratibu wa
mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro
Rodriguez, zilifanyika katika juhudi za kuleta uhalisia wa
utunzaji wa mazingira kama umoja huo
unavyofanya.
Akizungumza katika shughuli hizo Mkuu wa wilaya ya Temeke,
Sophia Mjema, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa aliupongeza
Umoja wa Mataifa kwa kusherehekea miaka
70.
"Nachukua nafasi hii kupongeza watu wa Umoja wa Mataifa
nchini Tanzania kwa kufanya shughuli mbalimbali kuelekea
maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti 2,070 kwenye
miteremko ya Mlima Kilimanjaro na hili tendo la leo la usafi
kama mwendelezo wa kaulimbiu inayohimiza utunzaji wa
mazingira ya" Sayari moja, watu bilioni 7: Ulinzi wa
mazingira ni wajibu wetu,"
alisema.
Akisisitiza umuhimu wa kutunza mazingira na usafi, Mkuu huyo
wa wilaya alisema wajibu wa kutunza mazingira ni wa kila
mtu.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa salamu za
Umoja wa Mataifa katika kuadhimisha miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa ikiwemo kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kwa
wananchi na wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo
mwishoni mwa juma. Kushoto ni Kaimu Mwakilishi Mkazi wa FAO
nchini, Patric Otto. Wa tatu kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa
Wilaya Temeke, Sophia Mjema, Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (wa pili
kulia) na Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira manispaa ya
Temeke, Ally
Hatibu.
"Kutunza mazingira si wajibu wa mtu mmoja. Ni wajibu wako
kama ilivyo kwa jirani yako. Kunapokuwepo na watu wengi mara
nyingi hutokea watu ambao hawajali wala kuona umuhimu wa
kutunza mazingira, umuhimu wa kufanya
haya.
Nawaomba wote mlioshiriki katika shughuli hii leo kuwa watu
wa kuchunga mazingira katika maeneo yenu mnayofanyia kazi na
majumbani kwenu.Hakikisheni mnafundishana na majirani zako
katika suala hili na kuhakikisha kwamba kila mmoja
anayekuzunguka anawajibika katika kutunza
mazingira."
Akisisitiza menejimenti ya mazingira, Rodriguez, alizungumza
kwamba mabadiliko ya tabia nchi na mazingira endelevu ndio
ajenda kuu katika malengo endelevu ya maendeleo
(SDG's).
"Mwaka huu jumuiya ya kimataifa itakubaliana kuhusu SDGs
na kukamilishwa kwa malengo ya milenia (MDGs). Malengo ya
milenia yamewezesha kupatikana kwa mabadiliko makubwa katika
kukabiliana na umaskini, afya bora na kiwango kikubwa cha
watu wanaojiunga na shule. Mataifa ya Umoja wa Mataifa kwa
kupendezwa na mafanikio ya MDGs sasa wanataka kukubaliana
kuhusu
SDGs.
" SDG
itakuwa na vipengele 17 kikiwamo cha mabadiliko ya tabia
nchi. Umoja wa Mataifa umechagua suala la mabadiliko ya
tabia nchi kuwa ndio kipaumbele cha mwanzo kwani imebaini
kwamba ni tishio kwa maendeleo endelevu. Hii inatokana na
ukweli kuwa mabadiliko ya tabia nchi ni ya kweli na ni vyema
kila mtu kuwajibika ili kuhakikisha mazingira yetu
yanaendelea kuwa mazuri-tukianzia na mazingira yetu
yanayotuzunguka"
alisisitiza.
Rodriguez alizitaka jamii mbalimbali kutoa kiipaumbele
katika kusafisha mazingira na usafi binafsi hasa kipindi
hiki ambapo kumezuka ugonjwa wa Kipindupindu kwa mikoa ya
Dar es salaam na
Morogoro.
"Usafi wa soko hili ni muhimu kwa ajili ya afya yako na
uhai mrefu. Afya njema inatuwezesha kuendelea kufanya
shughuli zetu mbalimbali za kuchangia ukuaji wa uchumi.Hebu
angalia pembeni mwako imetuchukua saa chache kusafisha soko
la Temeke na je hamuoni tofauti? Nawaomba wakazi wa Temeke
na wafanyakazi wa soko hili kufanya shughuli hizi kila siku
kwani maisha yao, afya yao na uchumi unategemea soko
hili."
Pia
aliwaalika wananchi wote katika sherehe za miaka 70 za
Umoja wa Mataifa zitakazofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja
Oktoba 13 ili kushiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku
hiyo ya Umoja wa
Mataifa.
Pia
alihimiza serikali kuendelea kuelimisha wananchi juu ya
utunzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia
nchi.
wa Wilaya Temeke, Sophia Mjema akitoa nasaha zake kwa
wananchi na wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo, ambapo
aliwataka kuzingatia usafi wa maeneo yao ya biashara pamoja
na majumbani ili kuepeukana na mlipuko wa
Kipundupindu.
Katika
hafla hiyo ya kusafisha soko la Temeke, Umoja wa Mataifa na
serikali ya Tanzania kwa pamoja walitoa vifaa vya kufanyia
usafi vyenye thamani ya shilingi milioni 10. Vifaa hivyo
vilikabidhiwa kwa menejimenti ya soko la
Temeke.
Watu
wengine walioshiriki katika shughuli hiyo ni pamoja na
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Celestine Mushy; mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Sophia
Mjema, akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na
maofisa wengine wa serikali na wakazi wa
Temeke.
Balozi
Mushy katika risala yake ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya
usafi aliitaka jamii kutambua kwamba usafi ni jukumu la kila
mmoja wetu kwani bila usafi madhara yake ni makubwa
ikiwamo ya kutunzwa kwa
mazingira.
Alilitaka
jiji la Dare s salaam ambalo linalinganishwa na majiji
mengine duniani kama Nairobi, Kenya; Pretoria Afrika Kusini,
Washinton DC na Paris kujifunza kuwa wasafi kwani hata
mlipuko wa sasa wa Kipindupindu ni dalili tosha ya
kukosekana kwa
usafi.
Aidha
alisema kwamba suala la usafi si lazima kwenda kujifunza nje
kwani ipo miji na mikoa misafi ambayo inaweza kuulizwa
wamefanikishaje jambo hilo. Aliitaja miji hiyo ni Moshi,
Iringa na
Mwanza.
Alisema
katika kuadhimisha miaka 70 ya Umoja wa Mataifa, wameamua
kufanya usafi wa mazingira katika soko la Temeke kuonesha
kwamba inawezekana kufanya usafi kwa kuwajibika kwa lengo la
kufanya mazingira yawe masafi na ya
uhakika.
Kwa
kutekeleza usafi kwa maana nyingine kutasaidia kuondoa
gharama zinazoambatana na uchafu wa
mazingira.
Alitaka
kila mmoja katika soko hilo kuanzia wakulima hadi wachuuzi
kuwajibika kwa usafi ili mazingira yawe
salama.
chini ni wafanyabiashara wa Soko la Temeke Stereo, wananchi
na wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na wa Wziara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia kwa
umakini hotuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Temeke
(hayupo
pichani).
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati)
akikambidhi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto)
vifaa vya kufanyia usafi katika Soko la Temeke Stereo ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa.
Anayeshuhudia tukio hilo kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine
Mushy.
wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akivaa 'gloves'
tayari kushiriki zoezi la usafi katika soko la Temeke Stereo
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto), Mkuu wa
Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema pamoja na Mkurugenzi wa Idara
ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy wakifanya
usafi katika maeneo ya wafanyabiashara katika soko la Temeke
Stereo.
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy
akibeba taka katika soko la Temeke
Stereo.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Mkuu wa Wilaya
ya Temeke, Sophia Mjema wakishiriki zoezi la usafi katika
soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya kusheherekea
maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.
Umoja wa Mataifa wakijumuika na Mkuu wa Wilaya ya Temeke,
Sophia Mjema pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja
wa Mataifa, Alvaro Rodriguez wakiendelea na zoezi la
usafi.
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP),
Titus Osundina (kulia), Beatrice Mkiramweni pamoja na
Jacqueline Namfua wakifanya usafi kwenye maeneo ya soko la
Temeke
Stereo.
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP),
Titus Osundina akishiriki zoezi la kuzoa taka katika soko la
Temeke
Stereo.
Wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo, wafanyakazi wa
Umoja wa Mataifa na Wizara ya Mambo ya Nje wakishirikiana
kwa pamoja kufanya usafi katika soko hilo ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.
Nasser Ngenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
wakishikishiriki zoezi la usafi katika soko la Temeke
Stereo.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano alipomulikwa na kamera
ya Modewjiblog
likiendelea.
katika ubora
wake.
......Usia Nkhoma Ledama akiwajibika katika zoezi la usafi
soko la Temeke
Stereo.
Umoja wa Mataifa na wafanyabiashara wakishirikiana katika
zoezi
hilo.
Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania,
Hoyce Temu (kulia) akiteta jambo na na baadhi ya maafisa wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
walioshiriki kwenye zoezi la kufanya usafi wa mazingira
katika soko la Temeke
Stereo.
KAWAIDA
Mkurugenzi wa Idara
ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akizungumza
machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya
Temeke, Sophia Mjema (katikati) kabla ya kuanza zoezi la
usafi katika soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto
ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro
Rodriguez.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)Na Mwandishi
wetuKATIKA kuadhimisho miaka
70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN) wafanyakazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa walijumuika na
wakazi wa Temeke katika kufanya usafi kwenye soko la Temeke
Stereo.Shughuli hiyo wameifanya
baada ya wiki iliyopita kufanya shughuli za upandaji miti
katika miteremko ya mlima Kilimanjaro. Wakiwa katika
miteremko ya milima Kilimanjaro walipanda miti
2,000. Shughuli hizo za kufanya
usafi ambazo ziliongozwa na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa
Mataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo
la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez, zilifanyika
katika juhudi za kuleta uhalisia wa utunzaji wa mazingira
kama umoja huo unavyofanya. Akizungumza katika
shughuli hizo Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema, ambaye
alimwakilisha Mkuu wa Mkoa aliupongeza Umoja wa Mataifa kwa
kusherehekea miaka 70. "Nachukua nafasi hii
kupongeza watu wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kwa
kufanya shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 70
kwa kupanda miti 2,070 kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro
na hili tendo la leo la usafi kama mwendelezo wa kaulimbiu
inayohimiza utunzaji wa mazingira ya" Sayari moja, watu
bilioni 7: Ulinzi wa mazingira ni wajibu wetu,"
alisema. Akisisitiza umuhimu wa
kutunza mazingira na usafi, Mkuu huyo wa wilaya alisema
wajibu wa kutunza mazingira ni wa kila
mtu.Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa salamu za
Umoja wa Mataifa katika kuadhimisha miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa ikiwemo kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kwa
wananchi na wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo
mwishoni mwa juma. Kushoto ni Kaimu Mwakilishi Mkazi wa FAO
nchini, Patric Otto. Wa tatu kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa
Wilaya Temeke, Sophia Mjema, Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (wa pili
kulia) na Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira manispaa ya
Temeke, Ally Hatibu. "Kutunza mazingira si
wajibu wa mtu mmoja. Ni wajibu wako kama ilivyo kwa jirani
yako. Kunapokuwepo na watu wengi mara nyingi hutokea watu
ambao hawajali wala kuona umuhimu wa kutunza mazingira,
umuhimu wa kufanya haya. " Nawaomba wote
mlioshiriki katika shughuli hii leo kuwa watu wa kuchunga
mazingira katika maeneo yenu mnayofanyia kazi na majumbani
kwenu.Hakikisheni mnafundishana na majirani zako katika
suala hili na kuhakikisha kwamba kila mmoja anayekuzunguka
anawajibika katika kutunza
mazingira." Akisisitiza menejimenti
ya mazingira, Rodriguez, alizungumza kwamba mabadiliko ya
tabia nchi na mazingira endelevu ndio ajenda kuu katika
malengo endelevu ya maendeleo
(SDG's). "Mwaka huu jumuiya ya
kimataifa itakubaliana kuhusu SDGs na kukamilishwa kwa
malengo ya milenia (MDGs). Malengo ya milenia yamewezesha
kupatikana kwa mabadiliko makubwa katika kukabiliana na
umaskini, afya bora na kiwango kikubwa cha watu
wanaojiunga na shule. Mataifa ya Umoja wa Mataifa kwa
kupendezwa na mafanikio ya MDGs sasa wanataka kukubaliana
kuhusu SDGs. " SDG itakuwa na
vipengele 17 kikiwamo cha mabadiliko ya tabia nchi. Umoja
wa Mataifa umechagua suala la mabadiliko ya tabia nchi kuwa
ndio kipaumbele cha mwanzo kwani imebaini kwamba ni tishio
kwa maendeleo endelevu. Hii inatokana na ukweli kuwa
mabadiliko ya tabia nchi ni ya kweli na ni vyema kila mtu
kuwajibika ili kuhakikisha mazingira yetu yanaendelea kuwa
mazuri-tukianzia na mazingira yetu yanayotuzunguka"
alisisitiza. Rodriguez alizitaka
jamii mbalimbali kutoa kiipaumbele katika kusafisha
mazingira na usafi binafsi hasa kipindi hiki ambapo kumezuka
ugonjwa wa Kipindupindu kwa mikoa ya Dar es salaam na
Morogoro. "Usafi wa soko hili
ni muhimu kwa ajili ya afya yako na uhai mrefu. Afya njema
inatuwezesha kuendelea kufanya shughuli zetu mbalimbali za
kuchangia ukuaji wa uchumi.Hebu angalia pembeni mwako
imetuchukua saa chache kusafisha soko la Temeke na je
hamuoni tofauti? Nawaomba wakazi wa Temeke na wafanyakazi wa
soko hili kufanya shughuli hizi kila siku kwani maisha yao,
afya yao na uchumi unategemea soko
hili." Pia aliwaalika wananchi
wote katika sherehe za miaka 70 za Umoja wa Mataifa
zitakazofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Oktoba 13 ili
kushiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku hiyo ya Umoja
wa Mataifa. Pia alihimiza serikali
kuendelea kuelimisha wananchi juu ya utunzaji wa mazingira
na athari za mabadiliko ya tabia nchi.Mgeni rasmi Mkuu wa
Wilaya Temeke, Sophia Mjema akitoa nasaha zake kwa wananchi
na wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo, ambapo
aliwataka kuzingatia usafi wa maeneo yao ya biashara pamoja
na majumbani ili kuepeukana na mlipuko wa
Kipundupindu. Katika hafla hiyo ya
kusafisha soko la Temeke, Umoja wa Mataifa na serikali ya
Tanzania kwa pamoja walitoa vifaa vya kufanyia usafi vyenye
thamani ya shilingi milioni 10. Vifaa hivyo vilikabidhiwa
kwa menejimenti ya soko la Temeke. Watu wengine
walioshiriki katika shughuli hiyo ni pamoja na Mkurugenzi
wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy;
mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Sophia Mjema,
akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na maofisa
wengine wa serikali na wakazi wa
Temeke.Balozi Mushy katika risala
yake ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya usafi aliitaka
jamii kutambua kwamba usafi ni jukumu la kila mmoja wetu
kwani bila usafi madhara yake ni makubwa ikiwamo ya
kutunzwa kwa mazingira.Alilitaka jiji la Dare s
salaam ambalo linalinganishwa na majiji mengine duniani kama
Nairobi, Kenya; Pretoria Afrika Kusini, Washinton DC na
Paris kujifunza kuwa wasafi kwani hata mlipuko wa sasa wa
Kipindupindu ni dalili tosha ya kukosekana kwa
usafi.Aidha alisema kwamba suala
la usafi si lazima kwenda kujifunza nje kwani ipo miji na
mikoa misafi ambayo inaweza kuulizwa wamefanikishaje jambo
hilo. Aliitaja miji hiyo ni Moshi, Iringa na
Mwanza.Alisema katika kuadhimisha
miaka 70 ya Umoja wa Mataifa, wameamua kufanya usafi wa
mazingira katika soko la Temeke kuonesha kwamba inawezekana
kufanya usafi kwa kuwajibika kwa lengo la kufanya mazingira
yawe masafi na ya uhakika.Kwa kutekeleza usafi kwa
maana nyingine kutasaidia kuondoa gharama zinazoambatana na
uchafu wa mazingira.Alitaka kila mmoja katika
soko hilo kuanzia wakulima hadi wachuuzi kuwajibika kwa
usafi ili mazingira yawe salama.Pichani juu na chini
ni wafanyabiashara wa Soko la Temeke Stereo, wananchi na
wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na wa Wziara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia kwa
umakini hotuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Temeke
(hayupo pichani).Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
(katikati) akikambidhi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia
Mjema (kushoto) vifaa vya kufanyia usafi katika Soko la
Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya
Umoja wa Mataifa. Anayeshuhudia tukio hilo kulia
ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Celestine Mushy.Mgeni rasmi Mkuu wa
Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akivaa 'gloves'
tayari kushiriki zoezi la usafi katika soko la Temeke Stereo
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto), Mkuu wa
Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema pamoja na Mkurugenzi wa
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy
wakifanya usafi katika maeneo ya wafanyabiashara katika soko
la Temeke Stereo.Mkurugenzi wa Idara
ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akibeba
taka katika soko la Temeke
Stereo.Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Mkuu wa Wilaya
ya Temeke, Sophia Mjema wakishiriki zoezi la usafi katika
soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya kusheherekea
maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.Wafanyakazi wa Umoja
wa Mataifa wakijumuika na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia
Mjema pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa
Mataifa, Alvaro Rodriguez wakiendelea na zoezi la
usafi.Kaimu Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP),
Titus Osundina (kulia), Beatrice Mkiramweni pamoja na
Jacqueline Namfua wakifanya usafi kwenye maeneo ya soko la
Temeke Stereo.Kaimu Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP),
Titus Osundina akishiriki zoezi la kuzoa taka katika soko la
Temeke Stereo.Umoja ni Nguvu:
Wafanyabiashara wa soko la Temeke Stereo, wafanyakazi wa
Umoja wa Mataifa na Wizara ya Mambo ya Nje wakishirikiana
kwa pamoja kufanya usafi katika soko hilo ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa
Mataifa.Petra Karamagi na
Nasser Ngenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
wakishikishiriki zoezi la usafi katika soko la Temeke
Stereo.Afisa kutoka Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano alipomulikwa na kamera
ya ModewjiblogZoezi
likiendelea.Zoe Glorious katika
ubora wake.#HapaKaziTu
......Usia Nkhoma Ledama akiwajibika katika zoezi la usafi
soko la Temeke Stereo.Wafanyakazi wa mashirika
ya Umoja wa Mataifa na wafanyabiashara wakishirikiana katika
zoezi hilo.Mtaalam wa Mahusiano
na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu
(kulia) akiteta jambo na na baadhi ya maafisa wa Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walioshiriki kwenye
zoezi la kufanya usafi wa mazingira katika soko la Temeke
Stereo.
Zainul A.
Mzige,Operation
Manager,MO BLOG,www.modewjiblog.com+255714940992.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment