Huyu Happness ni wa kusamehewa tu,ameadhirika na mfumo mbovu wa ccm.Msakatonge asiiyekuwa na msimamo,hopeless etc
Nimekumbuka nadharia ya pango (Theory of the cave by Plato)
2015-08-30 1:43 GMT+03:00 'salhabakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wewe Happiness ndo una matatizo, na ndo inayotakiwa kupuuzwa tena ni mjinga wa kupindukia.
Sijawahi kukutana na mwana habari mjinga kama wewe.Unaidhalilisha taaluma ya wanahabari.
Kwa taaluma yako, hustahili kabisa kuandikia hivi.Au ndo nyie mnasindikizaga wengine darasani.
Ngoja tarehe 1.9.2015 ifike , Nadhani Itakuwa wa mfano wa kuchukuliwa hatua.Hatutaki article zako, hazina kiwangoSB
On Aug 29, 2015 8:54 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--LOWASSA UNA TATIZONa Happiness KatabaziLEO Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua rasmi kampeni za uchaguzi Mkuu Katika Viwanja Vya Jangwani Dar Es Salaam. Na ukweli kampeni za UKAWA zimefana hongereni sana.Nimefuatulia kwa makini Uzinduzi huo mwanzo hadi mwisho kupitia Kwenye Televisheni.Nimewasikia wote waliopewa nafasi ya kuzungumza a amezungumza waliyozungumza hata Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye nimemsikia yote aliyoyasema licha yote aliyoyasema Sumaye siyo mapya.Lakini wenye akili timamu tunayapuuza yote aliyoyasema Sumaye Leo kwasababu Sumaye ambaye amewahi kugombea urais mara mbili kupitia CCM na hakufanikiwa.Enzi akiwa Waziri Mkuu wa serikali ya awamu ya tatu aliwahi kusema "UKITAKA BIASHARA ZAKO ZIKUNYOKEE VIZURI UJIUNGE NA CCM". Hadi sasa Sumaye hajafuta Kauli hii ambayo ilizua mjadala Mkali nchini.Nirudi Kwenye mada yangu ya Msingi ya Leo.Mada hiyo nitajadili uamuzi wa Mgombea Urais wa CHADEMA kwa muungSend Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata
"truth shall set you free"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment