Saturday, 29 August 2015

RE: [wanabidii] BAADHI YA WANAJESHI WASUMBUA TENA RAIA KATA YAKIMBIJI WILAYA TEMEKE-DAR

Hapa sioni mada/swala la kujadili. Naona kwa mwandishi hii ni tip ya habari. Kwa vyombo vya usalama ni tahadhari ya brewing motives zinazoweza leta violence eneo tajwa, kwa mamlaka zinazotajwa ni issue ya kutafiti iwapo kweli kuna hilo tishio na linatoka kwa jeshi kama taasisi ama askari binafsi, au mjeshi na kiongoz aliyeweka contacts zake wana personal issue?

From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
Sent: ‎2015-‎08-‎29 08:49 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BAADHI YA WANAJESHI WASUMBUA TENA RAIA KATA YAKIMBIJI WILAYA TEMEKE-DAR

Kuna mambo mawili nayaona katika makala hii.
Sioni sehemu yoyote kusisha kitendo cha askari wetu na Uchaguzi mpaka kichwa kianze na neno: Kuelekea uchaguzi.
Kingine ni kuwa jambo lenyewe linatarajia kutokea 23 September kwa hiyo linaweza kuzuiwa. La sivyo mtoa mada aisahihishe haraka ijadilike.
--------------------------------------------
On Thu, 8/27/15, 'Wanakijiji Kimbiji' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] BAADHI YA WANAJESHI WASUMBUA TENA RAIA KATA YA KIMBIJI WILAYA TEMEKE-DAR
To: "Wanakijiji Kimbiji" <wanakijijikimbiji@yahoo.com>
Date: Thursday, August 27, 2015, 3:43 AM

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WANAJESHI WASUMBUA TENA
RAIA KIMBIJI-DAR
Wakazi wa kata ya Kimbiji wilayani Temeke nje
kidogo ya jiji la Dar,wamejikuta wapo katika mashaka ya maisha
tena,baada ya baadhi ya wanajeshi wanaodaiwa kuwa nania ya kuchukua maeneo
wenyejikwa kutumia nembo ya kofia ya jeshi. wanajeshi hao
walivamia maeneoya Kata ya Kimbiji/Ngobanya wakiwanyanyasa raia
kwa kuwalazimishawahame katika maeneo yao.mkasa huo ulitokea siku
ya jumapili ya 23 -09-2015,Wakazi wa Kimbiji wamekuwa wakipata vitisho kutoka
kwa baadhi yawanajeshi ambao wanataka kuchukua viwanja kutoka
katika maeneo ya raia bila ya ridhaa ya raia ambao ndio wenyeji wa
eneo.Wakazi wa kata ya Kambiji wanaiomba serikali
kulinda masalahi na hakiza msingi za raia ambazo ni haki za binadamu
kuliko kuwaacha baadhiya wanajeshi kusumbua raia.Wakazi wakimbiji wanamiliki maeneo yao tangu enzi
na enzi leowanajeshi wanapotaka kudhurumu ardhi raia wakaishi
wapi?wanajeshi wana eneo lao wamelipima kama shamba
lipo Kimbiji/Kijaka sasa?mbona wanasumbua raia !
VYOMBO VYA DOLA VINAOMBWA KULIINGILIA KATIKA SUHALA
HILI.maelezo zaidi mwenyekiti 0713846688 au
0713768082www.facebook.com/wanakijiji.kimbiji




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment