Tuesday, 4 August 2015

Re: [wanabidii] Team Team Wageni muwe na Nidhamu kwa Viongozi wa Mliowakuta Chadema.!

Lokomoi, Usikate tamaa. Mara baada ya uchaguzi Chadema itaanza kujengwa upya. Ni kweli kuna kupoteza lakini nakumbuka saddam Husei kusema Tumezoea, Tutaanza upya. Ngoja uchaguzi upite
--------------------------------------------
On Mon, 8/3/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Team Team Wageni muwe na Nidhamu kwa Viongozi wa Mliowakuta Chadema.!
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 3, 2015, 9:12 PM



Team
Team Wageni muwe na Nidhamu kwa Viongozi wa Mliowakuta
Chadema.!

Hili kundi ni la ajabu kweli
linatukana kila kiongozi wa
Chadema anaehoji au kupingana na misimamo yao. Hususani
katika mitando ya jamii



Ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa sana, na Vijana wa
Chadema bila
kujijua wamesombwa na mafuriko ya kundi hili kiasi cha
kukashifu viongozi wao
waliokuwa pamoja kwenye jua na mvua usiku na mchana.



Ni kundi lisilo na uchungu na Chama, lenyewe linawaza
madaraka tu, halijui
miiko, misingi, itakadi wala taratibu za Chama.



Ni kundi linalowaza madaraka tu, lina uchu na tamaa ya
madaraka bila kujali
yatapatikana kwa njia gani au kwa kumwathiri nani.



Halina msimamo, wala halijali kitu asubuhi litakusifia jioni
litakuponda halina
uvumilivu wa kisiasa.



Limeua slogan zote za CHADEMA , sasa hivi huwezi kusikia
nguvu ya uma, M4C wala
kukemea ufisadi ...... Hili kundi limeua slogan ya Chadema
safari ya uhakika,
sasa hivi wote tunaimbishwa safari ya matumaini Na Lowassa
tu.



Muda sio mrefu tutaona rangi halisi ya kundi hili, wale
waliosombwa na mafuriko
ya kundi hili watajikuta wako kondeni mithili ya takataka
zilizosombwa na
maji... na maji yamekauka.



Nawaasa Team wageni japo mmekaribishwa mpaka Chumbani muwe
na nidhamu kwa
wenyeji wenu.!





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment