Sunday, 2 August 2015

RE: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA KUGOMBEA URAIS

Ninaomba kurudia tena, kwamba kwa mazingira yetu hakuna msafi hapa Tanzania kwani kama kunayo msafi ni asili mia  chini ya 20 tu.  Iliyopo ni lazima tukubali tuna matatizo, tutafute njia muafaka wa kutatua tatizo hilo hasa la ufisadi.  Tatizo la ufisadi litaweza kutatuliwa kwa njia mbali mbali na mojawapo ni njia ya kutengeneza katiba mpya ambayo inajali rasimali zilizopo ni kwa ajili ya Watanzania wote regardless ni mwanachama wa chama gani au sio mwanachama wa chama chochote.

Tunachopishana hapa ni njia ipi sahihi ya kutuletea katiba ya Watanzania kwa ajili ya Watanzania.  Kwa Maoni yangu binafsi ningefurahi sana kama Mheshimiwa Magufuli anakuwa Rais, na Ukawa wakapata wabunge wa kutosha kujenga hoja bungeni ili tukapata katiba mpya.  Hii itawezekana kwa urahisi zaidi ikiwa Ukawa watapata wabunge zaidi ya asilimia 50 na kuwa na uwezo wa kuchagua Spika kutoka Upinzani au Spika ambaye hataegemea chama chochote au kuwa kwenye kokasi ya chama chochote.   Ikiwa hivyo itabidi tuwe na Serikali ya Mseto.  Na ili Serikali ya Mseto ifanye kazi itabidi tubadilishe Katiba.

Kwa vile tunayo rasimu ya Katiba ya Warioba ambayo inaungwa mkono na Watanzania wengi wakiwepo wana CCM wenye mapenzi mema na Wana Ukawa na Wasio na Chama chochote kwa Watanzania tunaweza kuipitia na kuipitisha ili tuwe na Serikali tatu.  Kutengeneza katiba ya serikali hizi mbili za Unguja na Tanganyika  itakuwa rahisi kwani msingi wa Sheria mama ya Shirikisho tunao.  Tanzania bila umaskini ule uliokithiri inawezekana tututimize wajibu wetu.

Mungu ibariki Tanzania ibariki Afrika

Herment A. Mrema


Date: Sun, 2 Aug 2015 13:24:10 +0300
Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA KUGOMBEA URAIS
From: tamimugillo@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

mzee muhingo nakupongeza kwa kujadili hoja hasa na kuuacha vihoja vya wanaombeba lowassa..

hivi kwani lowassa tope lake ni richmond tu???mbona tunahadaana mchana kweupe,,nani asiyejua kuwa usafi wa lowassa ni wenye shaka kubwa ????....kama taifa linakumbatia watu wa aina ya lowassa basi taifa hili limekwisha ...

  huyu lowassa anataka nini hasa ikulu????,,,kasahau nini alipokuwa waziri mkuu hakuchukua??..



Tamimu Adamu Gillo.
Young Journalist.
Songea,Tanzania.
 +255753337420
"Vijana kwanza"

2015-08-02 13:03 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kazi inayofanyika katika mijadala hii ni kubwa sana. Makosa kama hayo ya tongue slip yanastahili kupita bika kuonwa na tukaenda na maana tu hata hivyo ni uungwana wa kutosha kuliombea radhi.
--------------------------------------------
On Sun, 8/2/15, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA KUGOMBEA URAIS
 To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Sunday, August 2, 2015, 11:31 AM

 Mike na
 wanajamvi wengine,
 Nimefuta
 usemi wa Mkasikazini kwenye comment zangu, nisiwakwaze
 tafadhali. 
 Jumapili
 Njema.
 Omukunirwa
 Ireneus 



  

 2015-08-02 2:53 GMT+03:00
 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Wewe mtoto unalala saa
 ngapi, kwingineko bado mapema. kisa ujibu hoja za
 watu. Nakumbuka tukiwa shule ya
 msingi tulifundishwa sheria za afya, moja wapo, "Lala
 mapema kwa kadiri ya ushauri wa wataalamu wa
 afya."



      On Sunday, 2 August
 2015, 0:44, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:


  Mushongi and muhingo
 Sasa
 kwann slaa hakupeleka ushahud huo mahakamani wazee,it was a
 fake politics,hakuna kitu hapo acheni kujiondoa
 ufaham....nendeni ccm kwa wenzenu,nyie hata week 4
 hamtaelewa na mtabakiw wenyewe ,mnafirce hoja,mkikosa hili
 mnakuja na lile 'kwani makanisani wanasali nani si
 watanzania,umeambiwa ni kosa kufundrise kwa ajili ya kanisa
 au msikiti mzee,
 Mhingo hujui siasa umejaa
 chuki na fitina za kijinga kabisa,huna hoja
 Lesian

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 >Kama Lowasa
 akipona la Richmond anaweza kujiosha na fedha alizokuwa
 akizisambaza makanisani na misikitini na kwingineko??
 alipoulizwa akasema anachangiwa na rafiki zake. lakini
 hakujibu lengo la marafikizake hao ni nini. Bado anaungwa
 mkono kwa saabu ya kujibu la richmond?
 >--------------------------------------------
 >On Sat, 8/1/15, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
 wrote:
 >
 > Subject:
 [wanabidii] RE: [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO LOWASSA
 KUGOMBEA URAIS
 > To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 > Cc: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
 > Date: Saturday, August 1, 2015, 10:45
 AM
 >
 > Mama
 > Nkya
 > Haya yote Ni
 marudio Tu. Tumeshayasikia
 > tokea vinywa
 mbali mbali.
 >
 >
 Kwanini mnapindisha ukweli? Huyu huyu Dr Slaa
 > alisema kuwa Ana ushahidi kuhusu Richmond
 Na Yuko tayari
 > kuuwasilisha 
 mahakamani kama tu ENL atapelekwa kwa
 >
 pilato.
 >
 > Mbona
 hamuhoji hayo
 > tena au siyo ya msingi
 sababu Mkaskazini huyu keshakuwa
 >
 malaika na automatically msafi kwa kubadili jezi? Hawa
 jamaa
 > ni wajanja wamecheza na nyakati
 wamehit kwenye msumari wa
 > moto ukiwa
 haujapoa. Watu wamecheza na fursa adimu. Kimsingi
 > wana malengo tofauti. Huyu ana hasira ya
 kuikomoa CCM hawa
 > wanacheza na akili
 hiyo kujijenga kisiasa zaidi kwani
 >
 popularity itaongezeka, status itapanda, watavuna wafuasi
 > wengi at ago na si lazima waingie ikulu
 but watakuwa
 > wamegain sana hata
 kuongeza wabunge 50 from the current
 >
 number.
 >
 > Next
 move atakuja
 > Chenge. Ukihama CCM si
 unatakasika automatic? Huyu bwana ana
 >
 team oliyojiuzuru naye. Sijawasikia wao kuhama au
 wanapima
 > upepo bado hadi ufanyike
 uchaguzi. Hawa wote ndani ya Ukawa
 > ni
 watukufu na wasafi hivi karibuni watajoin majeshi na
 > kubadili jezi. Hawa hawa waliokuwa
 wanawaponda
 > watawashangilia sana na
 kuwaita majembe!
 >
 >
 Ninaamini Mbowe, Slaa,
 > Lipumba,
 Mbatia,  na UKAWA top yote hawampendi ENL ila
 > wametumia fursa hii kuachieve strategy zao
 za kisiasa. Time
 > will tell. Kumsafisha
 au kutomsafisha haihusu sana.
 > Washasema
 ilikuwa ni mambo ya kisiasa zaidi so watapima
 > matokeo baadaye! Muhimu ni kugain tu kwa
 sasa kabla ENL
 > hajarudi kwenye normal
 senses.
 >
 > Tutaona
 mwisho wa haya... Heri sisi
 >
 tusiofungamana na kipande yoyote.... Tunahitaji
 mabadiliko
 > ya kweli sio ya kinafiki.
 Msituchanganye! Jana mlikuja
 > kivingine,
 Leo mnakuja hivi kesho hatujui mtakuja na lipi.
 > Tuonyeshe dira na dhamira sio mikakati ya
 fursa za zimamoto.
 >
 > Umesababisha mke wa mtu aachwe, 
 alipopewa
 > talaka tu, eti ndio na wewe
 unatangaza ndoa halafu eti
 > tukuchangie.
 Tutafika? Siasa mchezo mchafu!From:
 >
 'ananilea
 > nkya' via Mabadiliko
 Forum
 > Sent:
 >
 ‎01/‎08/‎2015
 > 01:21
 > To:
 > mabadilikotanzania@googlegroups.com
 > Cc:
 > WANA
 > BIDII
 > Subject:
 > [Mabadiliko] NINAMUUNGA MKONO
 > LOWASSA KUGOMBEA URAIS
 >
 > Mimi Ananilea Nkya
 tatizo langu kubwa kwa
 > Lowassa lilikuwa
 ni ufisadi wa Richmond uliotafuna zaidi ya
 > shilingi bilion 172 za wananchi. Baada ya
 kusikia kauli yake
 > alipohojiwa na
 wanahabari siku alipojiunga na CHADEMA, na
 > baada ya kujiridhisha kuwa kama alikuwa
 amehusika na ufisadi
 > wa Richmond leo
 angelikuwa jela kama Yona na Mramba,
 >
 namuunga mkono kugombea Urais. Naamini hata Dr Slaa
 > amemkubali Lowassa kuwa mgombea Urais wa
 vyama vinanyounda
 > UKAWA baada ya
 kujiridhisha kuwa mamlaka ya juu ilimbebesha
 > Lowassa kashfa ya Richmond ili kunusuru
 serikali nzima
 > kuanguka.
 >
 > Lakini zaidi
 > nimeongeza imani yangu kwa Lowassa baada
 ya kubaini kuwa
 > hata Baba wa Taifa
 Julius Kambarage Nyerere alimuona kama
 >
 kijana makini mwenye maono na dhamira safi ya kuwatumikia
 > Watanzania. Mwaka 1995 wakati Rais mstaafu
 Ali Hassan Mwinyi
 > anamaliza muda wake 
 mwandishi wa habari Mwita Matinyi
 >
 alimuliza Mwalimu Nyerere alikuwa anafikiri ni nani
 angeweza
 > kumrithi Mwinyi kuiongoza
 Tanzania. Mwalimu alijibu Matinyi
 > hivi.
 Nanukuu:
 > Ni kweli Mzee Mwinyi
 > anaondoka lakini ndani ya CCM kuna
 viongozi wengi wenye sifa
 > za kuwaongoza
 Watanzania, kikubwa tu awe na dhamira kwa
 > mfano wapo wakina Warioba, Mzee Msuya na
 Mark Bomani na wapo
 > vijana hodari na
 wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete
 > na Lowassa ni jambo la heri sana CCM kuwa
 na watu kama hawa
 > (Majira 26/5/1995)
 ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/95 ukurasa
 > wa 3).
 >
 > Pia nikiwa ripota
 >
 Radio Tanzania Dar es Salaam niliwahi kufanya kazi na
 > Lowassa katika miaka ya 90. Nilivyouona
 utendaji wake wa
 > kazi zama hizo
 nashawishika kwamba anafaa kuwa kiongozi wa
 > nchi yetu. Nilishuhudia akijituma kweli
 kweli kwenye kazi za
 > umma zama hizo.

 >
 > Kadhalika
 > namuunga mkono Lowassa kwa sababu hagombei
 Urais kupitia
 > chama cha CCM ambacho
 kinakumbatia mfumo wa kuwadhawau na
 >
 kuwafukarisha wananchi huku watawala wachache wakineemeka
 > kwa kutumia rasilimali za nchi kama vile
 nchi hii ni mali ya
 > watawala, familia
 zao na marafiki za. Ninaamini kwa kugombea
 > Urais kupitia UKAWA, CCM itapunguziwa
 dharau na jeuri yake
 > dhidi ya wananchi
 ambao ndio wenye mamlaka ya mwisho kuhusu
 > hatma ya nchi yetu. Mfano CCM mwaka jana
 2014 ilionyesha
 > dharau kubwa sana kwa
 wananchi kwa kuizika Rasimu ya Katiba
 >
 iliyotengenezwa kwa kutumia maoni ya wananchi wakati
 fedha
 > zaidi ya bilioni 130 zilitumika.
 Kwa kutumia mabilioni hayo
 > bila Katiba
 Mpya kupatikana ni kufisadi mali za wananchi
 > mchana kweupe. Haikubaliki.
 >
 > Vile vile namuunga
 mkono Lowassa kwa kwa sababu
 > anaukataa
 hadharani umaskini wa kuchongwa ambao watawala
 > wanautumia kwa faida yao ili waendelee
 kuwanunua wananchi
 > mafukara wakati wa
 uchaguzi na wakishapata madaraka
 >
 waendelee kujineemesha na mali za nchi.
 >
 > Nchi yetu siyo
 maskini bali watawala
 > wanaendekeza
 matakwa ya wawekezaji (wakoloni wa zama hizi za
 > utandawazi wizi) ambao wanaliibia taifa
 rasilimali nyingi na
 > na hatimaye nchi
 za wawekezaji hao (donors)wanawapoza
 >
 watawala kwa vijimisaadaa uchwara. Ni aibu sana kwa
 kiongozi
 > wa Tanzania kijipitisha nchi
 moja hadi nyingine Marekani,
 > Ulaya,
 China, India na Ausralia n.k kutembeza bakuli (omba
 > omba kama matonya vile) huku nchi yetu
 ikiwa na rasilimali
 > tele. Tena wakati
 watawala wanakwenda kuomba eti wanapanda
 > ndege daraja la kwanza. Huu ni wenda
 wazimu. Ni kuiaibisha
 > Tanzania na
 Afrika.
 >
 > Sina
 > chama cha siasa ninachofungamana nacho kwa
 sasa, lakini
 > namuunga mkono Lowassa
 kugombea Urais kupitia UKAWA kwa
 > sababu
 naamini akiwa Rais wa nchi yetu upuuzi huu wa
 > kuendekeza umaskini kwa kuomba omba nchi
 za nje huku tukitoa
 > mali za nchi honyo
 hovyo kwa wageni na kuamini kuwa
 >
 maendeleo ya nchi yetu yataletwa kwa misaada kutoka nje,
 > kutakomeshwa. Naamini hata hao wakoloni wa
 zama hizi za
 > utandawazi wizi wanajua
 Lowassa hatachekacheka nao.
 >
 > Lakini zaidi namuunga mkono
 > Lowassa kwa sababu Watanzania wakiridhia
 kwenye sanduku huru
 > la kura hapo Oktoba
 awe Rais wa Tanzania, vyama vinavyounda
 >
 UKAWA vitasimamia kuhakikisha kuwa mamlaka ya wanannchi
 > hayaporwi hivyo hovyo tena. Kwa hiyo
 Rasimu ya Katiba ya
 > wananchi
 itaheshimiwa na nchi yetu itapata Katiba Mpya
 > inayotokana na maoni ya wananchi. Kwa
 kufanya hivyo taifa
 > hili litaanza
 kupiga hatua kubwa ya kuondoa ufukarishwaji wa
 > wananchi walio wengi unaofanya na watawala
 wa CCM kwa
 > kushirikiana na wakoloni wa
 zama hizi za utandawazi wizi.
 >
 > Naridhia andiko langu hili
 > lichapishwe na yeyote anayetaka
 > Ananilea
 > Nkya
 >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
 >
 > --
 > Unapokea
 > Email hizi
 kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
 >
 'Mabadiliko'.
 > Kuchangia mada tuma
 kwenye
 > Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 >
 >
 > For more
 > options,
 visit this group at:
 > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 > ---
 > You received
 this message
 > because you are subscribed
 to the Google Groups
 > "Mabadiliko
 Forum" group.
 > To
 > unsubscribe from this group and stop
 receiving emails from
 > it, send an email
 to
 > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
 > To post to this group, send email to
 > mabadilikotanzania@googlegroups.com.
 > Visit
 > this group
 at
 > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
 > To view this discussion on the web
 visit
 > https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1438381307.95951.YahooMailBasic%40web121006.mail.ne1.yahoo.com.
 > For more options, visit
 > https://groups.google.com/d/optout.
 >
 >
 > --
 >
 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 >  
 >
 > Kujiondoa Tuma Email
 kwenda
 >
 >
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya
 > kudhibitisha
 ukishatuma
 >
 >  
 >
 > Disclaimer:
 >
 > Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility
 > for any legal consequences of his or her
 postings, and hence
 > statements and
 facts must be presented responsibly. Your
 > continued membership signifies that you
 agree to this
 > disclaimer and pledge to
 abide by our Rules and
 > Guidelines.
 >
 > ---
 >
 > You received this
 message because you are subscribed to the
 > Google Groups "Wanabidii"
 group.
 >
 > To
 unsubscribe from this group and stop receiving emails
 > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >
 > For more options,
 visit https://groups.google.com/d/optout.
 >
 >
 >--
 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 >Kujiondoa Tuma Email
 kwenda
 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 >
 >Disclaimer:
 >Everyone posting to this Forum bears the
 sole responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.
 >---
 >You received this message because you are
 subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
 group.
 >To unsubscribe from this group
 and stop receiving emails from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --
 Send
 Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment