Atendaye dhambi ni wa Ibolisi.1Yohana 3:8 Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri na watoto wa ibilisi nao. 1 Yohana 3:10
Sent from Yahoo Mail on Android
| From:"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>1 Yohana 3:8. Date:Sun, Aug 2, 2015 at 19:43 Subject:RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
Misango Kila mtu ni mtoto wa Mungu na kila jambo ambalo mtu analifanya kwa njia nyingine ile kuna mkono wa Mungu. Kwani kama Mungu akikataa jambo fulani lisifanyike halitafanyika. Unataka kuniambia kuwa wachawi, wezi, waongo, wanafiki, wauaji, malaya au wote watendao matendo maovu sio watu wa Mungu? Mimi ninaamini kuwa wote wanaofanya matendo tunayoyaita "movu" kwa uelewa wetu ni watu wa mungu na kama wanatukwaza ni kazi yetu kuwasaidia kujirekebisha kuendana na mawazo yetu na sio kuwalaani, kuwaua, kuwatungia sheria ambazo hazitafanya kazi na kumsaidia mtu. Mimi kwa uzoefu wangu ninaamini watu wenye mapenzi ya jinsia moja wako hivyo kwa sababu fulani. Tutafute hizo sababu tuzitafutie dawa na tunaamini tunaweza kupunguza kwa kiasi fulani kuenea kwa mapenzi ya Jinsia moja Tafakari Herment A. Mrema
Subject: Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A. To: wanabidii@googlegroups.com From: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 2 Aug 2015 09:53:57 +0000 Duu huyu Mrema anatumia nini kufikiri? Mtu mwenye hofu ya Mungu hawezi kamwe kuandika kama huyu ndugu Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 2 Aug 2015 02:45:13 -0700 To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
Ni wapi Mungu alibariki mapenzi ya jinsi moja na kuwaambia zaeni muongezeke mkainaze nchi? Sent from Yahoo Mail on Android
| From:"Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> Date:Sun, Aug 2, 2015 at 10:55 Subject:RE: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A.
Saa nyingine binadamu tunakuwa na ubinafsi ambao hautendi haki. Kutambua au kutotambua mapenzi ya jinsia moja haitazuia mapenzi haya kuwepo au kutokuwepo kwani mapenzi ya jinsia moja yamekuwepo enzi na enzi na hakuna wa kuyazuia. Tunaweza kuweka sheria hata za kuamua kuuwa wapenzi wa jinsia moja lakini sheria hizi haziwezi kuzuia haya mapenzi kuwepo. Kwa maoni yangu ni kukubali kuwa mapenzi ya jinsia moja yapo, vyanzo vyake, madhara yake, na faida zake ili tuwe na mikakati ya kuelimisha jamii kubadili hulka zao na kutengeneza mazingira ya kupunguza kuongezeka kwa mapenzi ya jinsia moja. Kuwanyima haki zao za msingi eti kuwa wana mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha haki za binadamu, ni unafiki mkubwa, ni uonevu, ni dhambi kwa mwenyezi mungu na haina tija kwa mustakabali wa maisha yetu. Lazima tujifunze kukubali ukweli badala ya kuendelea na unafiki ambao haujengi. Tafakari Herment A. Mrema
Date: Sun, 2 Aug 2015 07:31:27 +0000 From: wanabidii@googlegroups.com To: wanabidii@googlegroups.com Subject: [wanabidii] BBC Swahili started a Q&A. Katika mkutano na wanahabari katika ikulu ya Nairobi rais Kenyatta amekana kwa kinywa kipana kuwa serikali yake haitakubaliana katu na shinikizo la rais Obama kwa Kenya kuwatambua wapenzi wa jinsia moja.Tupe maoni yako. em upo? -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
|
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. | |
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment