Bila shaka wako wengine watajiuzulu pia kwa sababu mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi yaliyoporwa na watalala siyo lelemama. Mapambano hayo yanahitaji, ujasiri, kujiamini, kuepuka ubinafsi na dhamira ya dhati kupigani maslahi ya wananchi. Tusubiri mwaka huu tutaona na kujifunza mengi kuhusu siasa za Tanzania katika zama hizi za ukoloni mpya wenye rangi mchanganyiko.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] Prof Ibrahim Lipumba ajiuzuru CUF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 11:51 AM
Hakuna ushujaa
hapo.
Kinachotokea ni mgongano wa kimaslahi. And
nothing else. Woote watakaotoka sasa hivi no unafki wa
maslahi. Kama wangekuwa na lengo zuri kumkataa Edo,
wangeanza kumkataa toka na kabla hajachukua kadi ya CDM.
Juzi tu niliulizia any MOU behind these guys. I
knew what's next. Let's wait and see. Bado mgongano
no mrefu sana. Kumbuka Edo kabla ya kuingia UKAWA tayari
alikuwa na serikali yake mkononi. Na ilikuwa imeshaanza
kumpa support, na sasa bado amekutana na zulia jipya LA
kutandikwa kwa style mpya wakati bado LA ZAMANI lipo
mkononi!
Ukitatandikaje jipya wakati LA zamani huwez
kuliachia? Na itatandikaje la zamani wakati wenye nyumba
wameshakuandalia jipya??
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment