Mollen ndugu yangu. Hizi ni harrasing fires. Zile corosive fire hazijaja. Zikija utafanyaje si utataka ninywe sumu??? Hizi ni rashashara tu.
Ngoja nikweleze. naiangalia tanzania miaka 100+ ijayo. CCm imeharigu Vision ya waanzilishi wake na wa taifa hili. japo mimi ni mwanaCCM inastahili kuondolewa na kuletwa chama makini ili kinyoshe mambo. Nimesema mara kadhaa humu na kwenye vikao ninavyokaribishwa kuwa CCM inaweza kujirekebisha ikiondolewa madarakani. Toka nyuma ninaamini Chama kama CHADEMA KINAO UWEZO WA KULIONGOZA TAIFA HILI. Wakati takweimu ambazo Mbowe anasema numbers never lie zilipotoka Lowasa akionekana anawaongoza wenzake akifuatiwa na Slaqa niliandika humu kuwa kama CCM ikimuenguwa Lowasa zile 27% alizopata zitayeyukiwa kwa atakayeletwa Na nilisema Slaa anaweza kuzikumba zingine. nilidhani kama UKAWA ikimsimamisha anao uwezo wa kuliongoza taifa.
CCM walipomsimamisha Magufuli niliyumba msimamo nimuunge mkono au nisubiri Slaa. nikiwa hivyo CHADEMA wakanyea kambi na kumsimamisha Lowasa. Hapo waliharibu kila kitu na hata wewe ukifika mwisho utaona. Lowasa anapendwa kwa sababu ya ushawishi wa fedha zake si msimamo wake kwa manufaa ya taifsa. Ataanguka tu na wala hutamuona. Kitendo cha Mbowe kuilaziomisha UKAWA kumkaribisha anajimaliza. Baada ya uchaguzi kama kweli CHADEMA si taasisi ya watu binafsi ajiuzuru haraka. Tukimaliza kuMlowesha hasa Lowasa na Mbowe tutamnyoa Mbawa. I am not a DISCOURAGER as you nick me. I am a director. If you dont join me now i will invite you on 29th October possibly the electoral results will be out?
Uppo nami?
Elisa
--------------------------------------------
On Wed, 8/5/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO SANA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, August 5, 2015, 11:35 PM
Mhingo the discourager ever seen
Hv wee baba kwann kila jambo hukubaliana with your poor
logic....kenya imewezeakana why not tz.....mifano kibao ya
nchi za kiafrika lakin wewe hutaki tu huu muungan uwepo kwa
sababu zako,nshakuomba hamia ccm ukakae na wenzako myopiad
wanaodhania ushindi wao ni BAU...business as usual
Lesian
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Unajua baada ya ushindi kutii makubaliano ni fadhila. Ni
vigumu kupata makubaliano ambayo ni binding katika mazingira
ya Tanzania. hakuna msingi wa kisheria vyama hivyo
kukubaliana hivyo mshindi akishaingia Ikulu anao uwezo wa
kufanya lolote hasa mwanachama mgeni kama Lowasa ambaye
anahitaji kujielewesha na kukubali mambo yaliyomo ndani ya
'makubaliano'
>--------------------------------------------
>On Wed, 8/5/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] LIPUMBA; UMECHELEWA JAPO SIO
SANA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, August 5, 2015, 3:41 PM
>
> Am just
> curious,
> Kama ilatokea (Kama) Edo akashinda, mgawanyo wa
> madaraka unakuwaje? Kwa mawaziri na mikoani.
> Au tayari MOU imeshaweka kumbukumbu? Na kama
> tayari, natamani kujua yanasemaje?
> Tusije tukasikia MgM hall ya Maq na Maywe...
> Ikahamia ikulu.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment