Monday, 3 August 2015

Re: [wanabidii] katika hili la Richmond Dr. Mwakyembe atadumu katika mioyo ya watanzania wazalendo

Kaka Muhingo,

Mbavu zangu jamani.




Walewale

On Aug 3, 2015 12:23 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Wewe Wewe Wewe Mtalika. Una maana gani kuwakumbusha watanzania habari hizi??? Unataka wafanye nini sasa??? Unaona Mollel anataka kujiua kwa maneno yetu halafu unaleta ukweli walioanza kuusahau baadhi yetu? unawezaje kuleta habari hizi kabla ya tarehe 4 siku Chadema itakapofanya uteuzi wa mwisho wa mgombea wa urais. Ingekuwa zamani wakati Yona ni moderator ningerpendekezwa ufungiwe kama nilivyofungiwa kwenye mtandao fulani ambao siruhusiwi kuweka comment. Umeharibu sana. ngoja uwasikie wanaojadili kwa hoja wakishaisoma hii hadithi chafu. Mogittu. Twende shule ya marketing labda itasaidia.
--------------------------------------------
On Mon, 8/3/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] katika hili la Richmond Dr. Mwakyembe atadumu katika mioyo ya watanzania wazalendo
 To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Monday, August 3, 2015, 12:03 PM





    (16) Uhuru mkubwa
 ambao viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini waliutumia
 bila wasiwasi katika
 kuhakikisha kwamba kampuni waliyoitaka, Richmond Development
 Company LLC,
 inapewa zabuni ya umeme wa dharura; maelekezo ya mara kwa
 mara ya Waziri Mkuu
 kwa Wizara katika kila hatua ya mchakato huo; upendeleo wa
 dhahiri ambao
 Richmond Development Company LLC iliupata kutoka taasisi
 mbalimbali za Serikali
 k.m Kituo cha uwekezaji (TIC) ambacho kilifikia hatua ya
 kufumbia macho baadhi
 ya taratibu zake za msingi ili kuipa kampuni tanzu ya
 Richmond Development
 Company LLC cheti cha uwekezaji haraka iwezekanavyo;
 kutotimiza masharti ya
 Bodi za Makandarasi na Wahandisi na Wizara ya Nishati na
 Madini kuikingia kifua
 kampuni hiyo isichukuliwe hatua za kisheria; uteuzi wa
 mwisho wa Richmond
 Development Company LLC kuwa mkandarasi kufanywa na Waziri
 Mkuu mwenyewe tarehe
 21 Juni 2006;
  uamuzi wa kuiteua Richmond
 Development Company LLC kuwa
 mkandarasi kusafishwa na TAKURU ( sasa TAKUKURU) kuwa
 ulikuwa wa wazi na wa
 haki; uamuzi wa Serikali kuizuia TANESCO isivunje mkataba na
 kampuni hiyo licha
 ya sababu zote kisheria kuwepo, ni baadhi tu ya viashiria
 vya nguvu kubwa iliyo
 juu ya Wizara ya Nishati na Madini kutumika katika suala
 hili na Kamati Teule
 kutokana na ushahidi wa kimaandishi, kimazingira na wa
 mdomo, inaiona nguvu
 hiyo kuwa ni Waziri Mkuu.


   Ibara ya 52 ya
 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977
 inatamka wazi kuwa
 Waziri Mkuu ndiye mwenye madaraka ya juu ya udhibiti,
 usimamiaji, utekelezaji
 wa siku hadi siku wa kazi na shughuli za Serikali ya Jamhuri
 ya Muungano na
 ndiye Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni.


  Kamati Teule
 haikufurahishwa hata kidogo na taarifa hizo zinazomgusa moja
 kwa moja Mhe.
 Waziri Mkuu katika kuipendelea Richmond Development Company
 LLC. Hata hivyo
 Kamati Teule imetimiza wajibu wake kwa uwazi na ukweli kama
 ilivyoagizwa na
 Bunge letu Tukufu.


  Kwa kuzingatia
 umuhimu wa nafasi aliyonayo Mhe. Waziri Mkuu katika
 uendeshaji wa shughuli za
 Serikali na uongozi wa nchi kwa ujumla, ni wajibu wake yeye
 mwenyewe kupima
 uzito wa matokeo ya uchunguzi huu na wajibu wake kikatiba
 ndani na nje ya
 Bunge. Vile vile ni wajibu wa Bunge ambalo linathibitisha
 uteuzi wake kwa
 mujibu wa Ibara ya 51 inayothibitisha uteuzi wake.

  Kuangalia ikiwa
 matokeo ya uchunguzi huu hayajaathiri hadhi na uzito wake
 ndani ya Bunge.


 Mheshimiwa Spika, kwa kumalizia Kamati
 Teule ya Bunge
 ilifadhaishwa sana na tabia ya baadhi ya watendaji wa
 Serikali ya kukaidi amri
 ya kuwasilisha nyaraka zinazohitajika na Kamati Teule.
 Kamati Teule inaliomba
 Bunge litafakari kitendo cha aina hii na kufikiria hatua za
 kuchukua dhidi ya
 watendaji wa namna hiyo.


   Mhe. Dk. Harrison G. Mwakyembe

   MWENYEKITI

  KAMATI TEULE YA BUNGE

  06 Februari 2008




  





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment