Monday, 3 August 2015

Re: [wanabidii] katika hili la Richmond Dr. Mwakyembe atadumu katika mioyo ya watanzania wazalendo

Usicheke sana wasikuone
--------------------------------------------
On Mon, 8/3/15, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] katika hili la Richmond Dr. Mwakyembe atadumu katika mioyo ya watanzania wazalendo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, August 3, 2015, 12:29 PM

Kaka
Muhingo,


Mbavu zangu jamani.





Walewale
On Aug 3, 2015 12:23 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Wewe Wewe
Wewe Mtalika. Una maana gani kuwakumbusha watanzania habari
hizi??? Unataka wafanye nini sasa??? Unaona Mollel anataka
kujiua kwa maneno yetu halafu unaleta ukweli walioanza
kuusahau baadhi yetu? unawezaje kuleta habari hizi kabla ya
tarehe 4 siku Chadema itakapofanya uteuzi wa mwisho wa
mgombea wa urais. Ingekuwa zamani wakati Yona ni moderator
ningerpendekezwa ufungiwe kama nilivyofungiwa kwenye mtandao
fulani ambao siruhusiwi kuweka comment. Umeharibu sana.
ngoja uwasikie wanaojadili kwa hoja wakishaisoma hii hadithi
chafu. Mogittu. Twende shule ya marketing labda
itasaidia.

--------------------------------------------

On Mon, 8/3/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] katika hili la Richmond Dr. Mwakyembe
atadumu katika mioyo ya watanzania wazalendo

 To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Monday, August 3, 2015, 12:03 PM











    (16) Uhuru mkubwa

 ambao viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini
waliutumia

 bila wasiwasi katika

 kuhakikisha kwamba kampuni waliyoitaka, Richmond
Development

 Company LLC,

 inapewa zabuni ya umeme wa dharura; maelekezo ya mara
kwa

 mara ya Waziri Mkuu

 kwa Wizara katika kila hatua ya mchakato huo; upendeleo
wa

 dhahiri ambao

 Richmond Development Company LLC iliupata kutoka
taasisi

 mbalimbali za Serikali

 k.m Kituo cha uwekezaji (TIC) ambacho kilifikia hatua
ya

 kufumbia macho baadhi

 ya taratibu zake za msingi ili kuipa kampuni tanzu ya

 Richmond Development

 Company LLC cheti cha uwekezaji haraka iwezekanavyo;

 kutotimiza masharti ya

 Bodi za Makandarasi na Wahandisi na Wizara ya Nishati
na

 Madini kuikingia kifua

 kampuni hiyo isichukuliwe hatua za kisheria; uteuzi wa

 mwisho wa Richmond

 Development Company LLC kuwa mkandarasi kufanywa na
Waziri

 Mkuu mwenyewe tarehe

 21 Juni 2006;

  uamuzi wa kuiteua Richmond

 Development Company LLC kuwa

 mkandarasi kusafishwa na TAKURU ( sasa TAKUKURU) kuwa

 ulikuwa wa wazi na wa

 haki; uamuzi wa Serikali kuizuia TANESCO isivunje mkataba
na

 kampuni hiyo licha

 ya sababu zote kisheria kuwepo, ni baadhi tu ya
viashiria

 vya nguvu kubwa iliyo

 juu ya Wizara ya Nishati na Madini kutumika katika
suala

 hili na Kamati Teule

 kutokana na ushahidi wa kimaandishi, kimazingira na wa

 mdomo, inaiona nguvu

 hiyo kuwa ni Waziri Mkuu.





   Ibara ya 52 ya

 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977

 inatamka wazi kuwa

 Waziri Mkuu ndiye mwenye madaraka ya juu ya udhibiti,

 usimamiaji, utekelezaji

 wa siku hadi siku wa kazi na shughuli za Serikali ya
Jamhuri

 ya Muungano na

 ndiye Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni.





  Kamati Teule

 haikufurahishwa hata kidogo na taarifa hizo zinazomgusa
moja

 kwa moja Mhe.

 Waziri Mkuu katika kuipendelea Richmond Development
Company

 LLC. Hata hivyo

 Kamati Teule imetimiza wajibu wake kwa uwazi na ukweli
kama

 ilivyoagizwa na

 Bunge letu Tukufu.





  Kwa kuzingatia

 umuhimu wa nafasi aliyonayo Mhe. Waziri Mkuu katika

 uendeshaji wa shughuli za

 Serikali na uongozi wa nchi kwa ujumla, ni wajibu wake
yeye

 mwenyewe kupima

 uzito wa matokeo ya uchunguzi huu na wajibu wake
kikatiba

 ndani na nje ya

 Bunge. Vile vile ni wajibu wa Bunge ambalo
linathibitisha

 uteuzi wake kwa

 mujibu wa Ibara ya 51 inayothibitisha uteuzi wake.



  Kuangalia ikiwa

 matokeo ya uchunguzi huu hayajaathiri hadhi na uzito
wake

 ndani ya Bunge.





 Mheshimiwa Spika, kwa kumalizia Kamati

 Teule ya Bunge

 ilifadhaishwa sana na tabia ya baadhi ya watendaji wa

 Serikali ya kukaidi amri

 ya kuwasilisha nyaraka zinazohitajika na Kamati Teule.

 Kamati Teule inaliomba

 Bunge litafakari kitendo cha aina hii na kufikiria hatua
za

 kuchukua dhidi ya

 watendaji wa namna hiyo.





   Mhe. Dk. Harrison G. Mwakyembe



   MWENYEKITI



  KAMATI TEULE YA BUNGE



  06 Februari 2008









  











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment