Saturday, 15 November 2014

Re: [wanabidii] Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

Pia sikiliza hiyo...!

Nzweke Mussa Tugutu (Mr)
Cooler Executive Lake Zone
Nyanza Bottling Co Ltd
Nyakato Industrial Area
P.O. BOX 2086
Mwanza, Tanzania ( EA)
Mobile:+255784894535,+255754894535.

On Nov 15, 2014 11:01 AM, "Fatima Husenali" <husenalif@gmail.com> wrote:

-Aliwahi kufukuzwa na baba yake kwa wizi wa ng'ombe wa familia ndipo akaamua kukimbilia kwenye siasa

Alikula hela aliyopewa na Mwl Nyerere kwa ajili ya kujengea ofisi ya ccm Arusha

Alifanya ufisadi mkubwa kipindi akiwa mkurugenzi wa AICC Arusha

Kaliingizia taifa hasara kubwa baada ya kuingia mkataba wa kifisadi na Richmond ambao mpaka leo unawagharimu Watanzania kwa kupanda kwa bei ya umeme.

Haitoshi kaona autafute urais kwa gharama yoyote ile, alianza kuhonga viongozi wa nec wa ccm, akaja kwa viongozi wa dini, akaendelea kwa baadhi ya mbumbumbu wa vyuo vikuu wasio jitambua, na sasa yupo kwenye vyombo vya habari na baadhi ya taasisi binafsi kama TW.....EZA.

Mbaya zaidi Kuna wapuuzi wanaojinasibu kama wasomi wamekuwa wakijaribu kumsafisha kama mtu safi kwa kisingizio eti ana maamuzi magumu lakini hawatuambii hayo maamuzi magumu yamelisaidia taifa kiasi gani zaidi ya kulitia hasara tu, 
wengine wanasema deal ya richmond alitumwa na wakubwa kuifanya lakini swali la kujiuliza kama anaweza kutumwa kutekeleza uhalifu dhidi ya taifa lake na akakubali hivi tukimpa uraisi wa nchi yetu atashindwa kuliweka rehani taifa letu kwa mabepari kama anavyofanya jk?

Huyu fisadi kalima ya wizi ipo kwenye damu tangu akiwa ndani ya familia yake hivi akipata urais ni kweli utakuwà mwisho wa hiyo tabia mbaya? 
Na atawezaje kukomesha wizi wa mali ya umma wakati yeye mwenyewe ni mwizi aliyekubuhu?

ikulu kuna deal gani mpaka akukimbilie kwa kutumia fedha nyingi sana na hizo fedha atazirudisha vipi?
Kuna wapuuzi wengine wanasema kwa sababu ana fedha basi apewe urais kwa kuwa hawezi kuiba tena, bila shaka huo ni uvivu wa kufikiri maana siku zote mwenye fedha hutaka kuwa na fedha zaidi ya zile alizonazo na ni wazi kwa hiyo hoja yao inaonesha ni jinsi gani wasivyoelewa hulka ya watu matajiri, na zaidi ya yote huyu mtu wizi upo kwenye damu kutokana na historia yake ilivyo.

Nihitimishe kwa kuwaomba Watanzania tusijaribu kufanya makosa kumpa fisi atuchungie mbuzi wetu maana ipo siku tutajuta pale tutakapoona mbuzi wetu wameliwa wote.

On Friday, November 14, 2014 8:37:08 PM UTC+3, paroko stey wrote:

Ha ha ha ha ha ha ha

On Nov 14, 2014 2:55 PM, "Emma Kaaya" <emma...@gmail.com> wrote:
Edward Lowassa ndio waziri mkuu aliewai kukaa katika kiti cha uwaziri mkuu kwa muda mfupi zaidi kuliko waziri mkuu yeyote yule; sasa angalia hii record yake ya kushangaza!!!!

One,
Ndani ya muda mfupi sana alionyesha nia ya dhati kukabiliana na foleni ya jiji la dsm; ambalo kimsingi ni kama jinamizi kwa sasa!!!!

Two,
Ndani ya muda mfupi sana alionyesha kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Pale Bandarini kulikuwa na watu waliokuwa vibarua kwa muda wa zaidi ya miaka 15 lakini alipoingia uwaziri mkuu, ile hali kaisimamia jamaa wale wakapa mkataba wa kudumu.

Three,
Ndani ya muda mfupi alionyesha kujali elimu kwa wananchi. Hizi shule za kata ambazo ndizo zinazosaidia wananchi kuamka kwa sasa ni matunda ya Lowassa.

Four,
Tatizo la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Akiwa bungeni mara nyingi amekuwa akiongelea suala hili la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kiasi kwamba ilibaki kidogo tu ingekuwa malalamiko ya mikopo kwa wanafunzi ingekuwa historia.

Five,
Wakati akiwa waziri mkuu, kwa muda mfupi sana ilionekana kuwa uchumi sasa utapaa; na tayari kulikuwa na indicators za kutosha kuashiria hilo

Six,
Kwa muda mfupi sana utendaji serikalini ulikuwa unaenda kwa kasi ya ajabu. Kuanzia mdogo hadi mkubwa.

Seven,
Kwa muda aliokaa hajawahi hata mara moja kutoa kauli tata za kuashiria ubabe kwa wale wanaopingana naye. Kauli zake siku zote zimekuwa very straight kuwakabili watumishi wazembe na watendaji wanaotenda kazi katika mfumo wa business as usual.

Eight,
Ndio kiongozi pekee serikalini ambae ana record ya kutoa individual support kwa mwananchi mmoja mmoja pale atakapobaini kuwa panahitajika support kwa ajili ya huyo mwananchi. Hata bbc swahili walishawahi kuripoti kuhusu hili.

Nine,
Akiwa waziri mkuu alimbeba sana Kikwete kwenye utendaji wa kiserikali! Hadi sasa Kikwete amekata tamaa kabisa na mambo ya serikali. Anatamani siku anarudi toka maryland akute tayari 2015 imefika maana hana hamu kabisa na mwenendo wa mambo ndani ta taifa hili.

Ten,
Kikwete hatakaa amsahau kwa kumpoteza katika utendaji wa serikali yake. Na ndo maana uchaguzi wa 2010 Kikwete alipata shida sana! Na hadi leo anamlilia sana, ila mfumo wa chama chake unamgandamuiza sana.

etc,

HAYA SASA
Kuna waliokaa kwa muda waliokaa waliishia kuwaambia wafanyabiashara ukitaka mambo yako yawe mazuri jiunge na ccm!!!

Kuna waliokaa kwa kipindi walichokaa lakini kwa muda mfupi sana walionekana mara kidume kinalia bungeni, mara katoa kauli tata za kuwatisha wapinzani; eti wapigwe tu. Uwapige wapinzani ili iweje?

Hii nchi ya kwako peke yako?

Ahsanteni wakuu

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment